Uingereza yazidisha kasi ya upanuzi wa kambi zake za kijeshi nchini!

Uingereza yazidisha kasi ya upanuzi wa kambi zake za kijeshi nchini!

14608849_1129970657039651_5146510213310557978_o.jpg
KDF na BATUK wakifanya mazoezi pamoja kule jangwani Archer's Post.
 
CuZrU2RWcAErCyo-1024x764.jpg
Officers wa KDF na BATUK wakijadiliana wakati vijana wao wakifanya mazoezi pamoja kule Laikipia.
 
14566232_1129970810372969_3439991734534179140_o.jpg
Vijana wa BATUK na KDF wakiwa na waziri wao Rachael Omamo kule Nanyuki.
 
Tanzania ukipiga picha kama hivi unapewa kesi ya uhaini
 
Bora ata ya Tanzania walioshtukia na CIA kuwa wana share teknolojia ya kivita na north Korea aise kuliko huu ujinga wa kdf

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
WAPO WEUPE SANA , NA WANATUMIKA KAMA RUBBER STUMP
Jwtz wapo vizuri saana aise nimefatilia mazoezi yao toka 2012 yanahusu kupambana na ugaidi hasa wa mall na utekaji wa meli au ndege

Sasa hawa bado wapo ZAMA za mazoezi ya kivita aliyakuwa tishio kwao kubwa ni UGAIDI wa al shabab

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Sisi tuliwakubalia China waje kujenga Naval Base hapa Bagamoyo na hakuna nchi ya kiafrika Pure ambayo inajitengenezea Silaha zake,Kwa hiyo hakuna Afrika wakenya wameshagundua hilo.
 
Wabongo bana. Kambi ni ya mafunzo na mazoezi ya makurutu wa British Army(BATUK) wakishirikiana na KDF, sio kambi ya kivita. Maeneo ambayo wamekubaliwa kutia kambi ni mali ya Kenya Airforce, Nanyuki, na wanalipia! Vibali vya kufanya shughuli zote hizi wanapewa na GOK sio wao ndio wanajiamulia. Hivi ni vitu vya kawaida sana duniani, kutoka Ufilipino, Taiwan, S.Korea hadi Djibouti. Nyie tu ndio mnashangazwa na vitu vya kawaida kama hivi, aisee ujamaa uliwalemaza akili kweli kweli. Acheni ushamba majirani. [emoji1][emoji1][emoji1] Sidhani duniani kuna mtu ambaye anaogopa mzungu zaidi ya mtz. Yaani mkiwaona tu wanajeshi wenye sura nyeupe zaidi ya mia hapo tayari mnaanza kulia tumevamiwaaa! [emoji23] Ndio maana baada ya lile shambulizi la kigaidi la Dusit mlifungua nyuzi zaidi ya hamsini humu mkimsifia mzungu mmoja tu! Eti ni Commando kama wale wa filamu za action. Badilikeni bana.
 
Back
Top Bottom