HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kwanini kambi zetu za jeshi ni siri sana wakati za wenzetu hawana siri
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It's true but the reality is different at times.eh ktk hilo kwa kweli ndugu zetu hongereni ..ss al shabaab hawata fua dafu tena hapo bila shaka au sio wana 254 ?
okay ! good point ... that will shock them !It's true but the reality is different at times.
Terrorist organizations just need to get lucky once and their will make headlines.
while the security apparatus need to be on top of their game 100 percent of their time. That the sad nature assymetrical of warfare .
Zana aina mbali mbali za kivita zikifanyiwa testing.. View attachment 1042755View attachment 1042757View attachment 1042758View attachment 1042759View attachment 1042760
Sent using Jamii Forums mobile app
Wambie wakenya wenzako tukisema sisi tunaoneka washamba na wajamaaI am completely uncomfortable with these white pigs colonizing Kenya again. Hakuna kitu ya kucelebrate hapa. Hawa mashetani tuliwapiga miaka hamsini iliyopita sasa wamerudi kututawala tena halafu waafrika wajinga wanacelebrate eti mzungu amerudi na zana zake za vita. Huu ni upumbavu mkubwa.
acha kuwadanganya wakenya wewe, nchi ilishauzwa zamaniSisi tuliwakubalia China waje kujenga Naval Base hapa Bagamoyo na hakuna nchi ya kiafrika Pure ambayo inajitengenezea Silaha zake,Kwa hiyo hakuna Afrika wakenya wameshagundua hilo.
na kama siyo yule commando wa kiingereza, kenya ingesimama zaidi ya mwezi na wangekufa maelfu ya watu.Wabongo bana. Kambi ni ya mafunzo na mazoezi ya makurutu wa British Army(BATUK) wakishirikiana na KDF, sio kambi ya kivita. Maeneo ambayo wamekubaliwa kutia kambi ni mali ya Kenya Airforce, Nanyuki, na wanalipia! Vibali vya kufanya shughuli zote hizi wanapewa na GOK sio wao ndio wanajiamulia. Hivi ni vitu vya kawaida sana duniani, kutoka Ufilipino, Taiwan, S.Korea hadi Djibouti. Nyie tu ndio mnashangazwa na vitu vya kawaida kama hivi, aisee ujamaa uliwalemaza akili kweli kweli. Acheni ushamba majirani. [emoji1][emoji1][emoji1] Sidhani duniani kuna mtu ambaye anaogopa mzungu zaidi ya mtz. Yaani mkiwaona tu wanajeshi wenye sura nyeupe zaidi ya mia hapo tayari mnaanza kulia tumevamiwaaa! [emoji23] Ndio maana baada ya lile shambulizi la kigaidi la Dusit mlifungua nyuzi zaidi ya hamsini humu mkimsifia mzungu mmoja tu! Eti ni Commando kama wale wa filamu za action. Badilikeni bana.
wazungu wapo pale wakilinda masilahi yao ya kiuchumi vikiwamo, estates, mashamba, viwanda na mabiashara yao, nyangau anashangilia tu hajui anaibiwaMakenya majinga mweee... Mbaya zaidi hayo mazungu yanapanua kambi afu mikenya ikipigwa na al shabab hata wazungu hao na kambi zao hawawasaidii saa cjui hiyo mikambi ya kaz gani
Sent using Jamii Forums mobile app