Uingereza yazidisha kasi ya upanuzi wa kambi zake za kijeshi nchini!

Na sisi tunataka kufungua kambi ya kijeshi nchini kwao vipi watakubali??

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hawa jamaa mababu zao walipigana Mzungu Aende Ulaya Mwafrika Apate Uhuru (MAU MAU), wao sasa wanaona sifa Mzungu Aje Afrika, Mwafrika Awe Mtawaliwa (MAA MAM); ha ha ha kaaz kweli kweli.
 
mungu awasaidie sana wakenya..yani mnafuruhi nchi nyingine kujenga kambi ya jeshi nchini mwenu??nmesikitika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…