25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,762
uwisilamu unakataza kuzulumu pia aruhusu muisilamu akubali kudhurumiwa ukiwadhurumu wakumwage maviMagaidi wanakuja hapa muda sio mrefu wakiwa na mabomu ya kujitoa mhanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uwisilamu unakataza kuzulumu pia aruhusu muisilamu akubali kudhurumiwa ukiwadhurumu wakumwage maviMagaidi wanakuja hapa muda sio mrefu wakiwa na mabomu ya kujitoa mhanga.
walishindwaje kama sio unafiq wako nn?Kwakweli hawa watu ni hatari.
Walitaka kunichinja 2009 wilayani Liwale
wanajiamiHivi ni kwanini watu wenye akili ndogo huwa wanalazimisha kuonekana wana akili sana kwa kupenda kuongea au kuandika sana?
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]Baada ya kupigwa sipana zakutosha naona umekimbilia huku kufungua uzi wa kujifariji.
tupe vigezo vinavio kufanya uwe nyaniWatu weusi wote sisi ni NYANI. Tena ile minyani ngwengwe. Wazungu na waarabu wanalitambua Hilo vizuri na wanajitahidi kurithisha vizazi nyao
wote hao ni waisilamu haya sasa shangiliaKwa hiyo al-Shabaab na al-Qaeda wanaoua watu Kwa jina la mungu wao, na Boko Haram wanaoua watu, kulipua makanisa na kuteka mabinti wadogo na kutokomea nao misituni kwenda kuwabaka, wote hao ni dini gani?!
wasomali hawatiki wavamizi wamezingilwa na majeshi ya amisom na makomandoo wa amerika kutoka jibuti ulitaka wakae tu wapangiwe jinsi ya kuishi na wazungu hali yakuwa uwezo wa kubeba silaha wanao hacha wapambane tu mpaka kieleweke kumkalibisha mzungu ni kukaribisha ushoga ukahaba wasomali hawatiki waiteni mtakavio lakini hawako tayali kutawaliHabari wananchi.
Neno uislam ni neno lenye asili ya Kiarabu ambalo maana yake ni unyenyekevu.
Kwa uhalisia uislam hauna unyenyekevu na uvumilivu ndani yake.
Wanachokifanya Alshabab, Alqaeda, Islamic state, Bokko haram, na vikundi vingine vya itikadi kali ndio taswira halisi ya Uislam.
Vikundi hivi ni kama tu vinatoa ujumbe au vinajiandaa na kile ambacho kitatokea siku za mbele.
Nasikitika kusema kitu hicho (Jihad) hakuna anayeweza kukizuia. Lazima kitatokea, labda Yesu arudi haraka kunyakua kanisa lake takatifu hivi karibuni ndio itakuwa njia pekee ya kublock hii Jihad.
Bokko haram, IS, Alqaeeda, Alshabab n k hufadhiliwa na matajiri wakubwa wa Kiislamu kwa kuwamwagia mabilioni hawa vijana wanaompigania Allah ( Mungu wa waislamu).
Matajiri hawa wanamwaga mabilioni wakitaraji thawabu, na wapiganaji hawa hutoa hata uhai wao kwasababu ya Allah wakiamini ni ibada takatifu ya kuwapeleka Peponi.
Ni wasomi wazuri wa Quran kwa ngazi ya Diploma, degree na Master's. Kwahiyo hawa hufanya kile dini inataka. Na huo ndio Uislam.
View attachment 2423279View attachment 2423280View attachment 2423281View attachment 2423282View attachment 2423284View attachment 2423286View attachment 2423287View attachment 2423289View attachment 2423298
wapi qur aan alipo andika kuwa waisilam wageuzwe begi la kujifunzia ngumi wao wakae kimia wasijibu?wote hao wanao pambana na mfumo wawa zungu ni waisilm wasio kubali kuonewa mfano jirani zetu somali jibuti kuna kituo cha waamerika kwaajiri ya kuwadhibiti wasomali kuna amisom kisa kupadikiza mila zao hapo wao wakae tu hacha wapambane naou nailed it bro uzi ufungwe na wasichokijua ni kwamba wanaona kwa macho mawili sio matatu wakibrainwashiwa kidogo tu wanaanzisha nyuzi afatilie ukweli hata u tube zipo documentaly zinaeleza vyema mfano tukio la sept 11 wanadai ni osama lakini ukifatilia mitandaoni ni michezo yao wenyewe, ISIS ni product za wamarekani zote, same to ALSHABABY....hata wewe ukivaa kanzu ukijiripua watasema waislamu kumbe ni mgalatia mmoja kajiripuaa......SIKUZOTE KIZURI KINAPIGWA MAWE SANA
amka blaza na kuanzia leo uelewe anaejilipua sio muislam ,sio mafundisho ya Mungu wala Mtume wake.....ISLAAAM ......(AMANI)
nakupa mtihani kidogo ukiweza uutafute andika GOOGLE (UTATA KATIKA BIBLIA UONE MISTARI ILIVYOPISHANA KWENYE MAANA NA UWE NA BIBLIA PEMBENI halafu ukimaliza andika UTATA katika Quraan kama utapata utata wowote njoo hapa tujadili
kitabu kinabadirikabadirika kama ANDROID VERSION ila Quraan ni ileile tangu karne ya 6 hadi leo haijaongezwa wala kupunguzwa na imeeleza vitu hadi duniaa iishe......ukiwa na quraani tu inatosha kuwa katiba na mkaanzisha state kwa maana imeeleza maisha yote mfano namna ya kuoa,utawala ,biashara,sherehe ,vyakula ila ukiwa na biblia utahitaji na katiba iliyotungwa na wanaadamu ndo mambo yaende
NAFURAHI SANA KUZALIWA MUSLIM.
NAULIZA WAMEENDA KUANGALIA KOMBE LA DUNIA AU KUNYWA POMBE?
Sio kweli,mbona Zenj, Turkey,nchi zenye Islam wengi hakuna shida,Wala vita,Habari wananchi.
Neno uislam ni neno lenye asili ya Kiarabu ambalo maana yake ni unyenyekevu.
Kwa uhalisia uislam hauna unyenyekevu na uvumilivu ndani yake.
Wanachokifanya Alshabab, Alqaeda, Islamic state, Bokko haram, na vikundi vingine vya itikadi kali ndio taswira halisi ya Uislam.
Vikundi hivi ni kama tu vinatoa ujumbe au vinajiandaa na kile ambacho kitatokea siku za mbele.
Nasikitika kusema kitu hicho (Jihad) hakuna anayeweza kukizuia. Lazima kitatokea, labda Yesu arudi haraka kunyakua kanisa lake takatifu hivi karibuni ndio itakuwa njia pekee ya kublock hii Jihad.
Bokko haram, IS, Alqaeeda, Alshabab n k hufadhiliwa na matajiri wakubwa wa Kiislamu kwa kuwamwagia mabilioni hawa vijana wanaompigania Allah ( Mungu wa waislamu).
Matajiri hawa wanamwaga mabilioni wakitaraji thawabu, na wapiganaji hawa hutoa hata uhai wao kwasababu ya Allah wakiamini ni ibada takatifu ya kuwapeleka Peponi.
Ni wasomi wazuri wa Quran kwa ngazi ya Diploma, degree na Master's. Kwahiyo hawa hufanya kile dini inataka. Na huo ndio Uislam.
View attachment 2423279View attachment 2423280View attachment 2423281View attachment 2423282View attachment 2423284View attachment 2423286View attachment 2423287View attachment 2423289View attachment 2423298
Aisee..Hivi vikundi ni products za Wakristo pia, Osama bin Laden ni CIA product.
Habari wananchi.

hata kama ni waisilam sawa tu yatupasa tuweke ushabiki pembeni tujikumbushe miaka 20 nyuma dunia ilikuwa katika hali gani?Aisee..
Basi hao CiA ni hatari kama ndo wanatekeleza hiyo milipuko na mauaji..
![]()
Waliokufa mashambulizi ya msikitini Pakistan wafikia 100 – DW – 01.02.2023
Shambulizi la kujitoa muhanga lililotokea ndani ya msikiti ulioko katika makao makuu ya polisi nchini Pakistan mapema wiki hii lilikuwa la kulipiza kisasi.www.dw.com
hacha wauane hili heshima ipatikane hata mtume wako paulo alikuwa hanithi pia mwanasheria aliwaua sana wanafunzi wa yesu paulo na wazungu wanao waangamiza waisilam wanatofaoti ganiKama watu wanauana unategemea hiyo dini ina akili?
kwahiyo qur,aan inaruhusu waisilam kupigwa wasilipe kisasi?Usiikashifu dini kwa sababu ya tabia za watu au kikundi fulani cha watu waotumia mwavuli wa uislam kwa kufanya mabaya! Hakuna sehemu kwenye dini imeelezea kama unavyoelezea ww!
Kwahiyo wale alshabab wasomi wa Quran na wafadhili wao matajiri na wanaoijua Quran tangu utotoni umewazidi elimu ya dini?Usiikashifu dini kwa sababu ya tabia za watu au kikundi fulani cha watu waotumia mwavuli wa uislam kwa kufanya mabaya! Hakuna sehemu kwenye dini imeelezea kama unavyoelezea ww!
Uislamu ukiwaondoa waislamu bado ile dini itaitwa uislamu na itakuwa hai?KAKA UNA UMRI GANI? IV KWELI UMESHINDWA KUTOFAUTISHA KATI YA UISLAM NA WAISLAM
UISLAM NI UNYENYEKEVU NA IPO KMA ILOVYO HAINA MAFUNDISHO YA KUVUNJA AMAN HAYA CKU MOJA
WAISLAM NI WATU KAKA MFANO UNAISIKIA SHEIKH AMEBAKA KWAHIYO UISLAM NDIO UMEBAKA
HAPO KUNA DIN NA KUNA WATU
UISLAM WENYEWE KMA WENYEWE HAUNA HATA HAYA MOJA INAYOCHOCHOE HAYO MAMBO BALI INAFUNDISHA HAKI
LAKIN WAISLAM SISI NDIO WAOVU KAKA