Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
Haki ya kuwalala watoto wa miaka 9? Huu ni ushetani dhahiriWewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
Haki ya kuwalala watoto wa miaka 9? Huu ni ushetani dhahiriWewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
Niambie sisi wanawake huko peponi, tuna thawabu Gani zaidi ya kutufanya vyombo vyenu vya umalaya?Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
Na kulawiti vitoto vidogo tena kanisa takatifu ni kitu kile?Haki ya kuwalala watoto wa miaka 9? Huu ni ushetani dhahiri
Wewe ushakufa mpaka ukajua maisha baada ya kifo yakoje?Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
Hizo ni propaganda mlizolishwa na marekaniKwa nini kwenye nchi za waislamu utulivu hakuna? Na asilimia 99 ya magaidi ni watu wa dini hiyo?
Ukristo sio dini ya haki hajawahi kujinadi kuwa ni dini safiNa kulawiti vitoto vidogo tena kanisa takatifu ni kitu kile?
ni kweli, ni dini ya kistaarabu sana, ndio maana wanachinja wakristo na drunze kule syria, hawapendi kabisa fujo hawa jamaa.Wewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
πππ Yaani bao litaboreshwa kutoka dakika 3 hadi miaka 28,800,000! Huu sasa ni zaidi ya upumbavu.Kweli ni dini ya hakiππππ
Huwezi pinga aliyoelekeza Mungu wa dini husika, kila dini ina tafsiri ya Mungu wao.Haki ya kuwalala watoto wa miaka 9? Huu ni ushetani dhahiri
Dini zote ni man made, hakuna dini ambayo ni absolutely perfect, pia Vyama vya siasa, Ideology zao ni kama ilivyo dini/madhehebu , huwezi sema you belong to a perfect political party or religion, while others are on wrong side (non believers), majority of people do not subscribe to any religion or political party, nyie wachache wenye vyama na dini mnasumbua walio wengi.Duniani kuna dini kuu mbili
Dini ya haki Vs dini ya Amani
Yani ni sawa na CHADEMA vs CCM