DR VRM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 3,933
- 3,071
Kule mtabaki single milele, labda ufe ukiwa bikira ndyo utapata bwanaNiambie sisi wanawake huko peponi, tuna thawabu Gani zaidi ya kutufanya vyombo vyenu vya umalaya?
Kule mtabaki single milele, labda ufe ukiwa bikira ndyo utapata bwanaNiambie sisi wanawake huko peponi, tuna thawabu Gani zaidi ya kutufanya vyombo vyenu vya umalaya?
Naomba advance ya mabikra japo watatu tuWewe ambao si muislamu fanya hima haraka sana ya kuingia kwenye dini ya kiislamu kwani ndiyo dini itakufanya upate kuiona pepo shime shime ndugu zangu tufanye haraka tuingie kwenye dini hii ya haki,dini ya kweli na dini isiyokuwa na ubabaishaji ili uje kuienjoy maisha baada ya kifo ndugu zangu msije mkasema sijawaambia ndugu zangu mimi nimewafikishia tu ujumbe ndugu zangu.
Mkuu duniani una option mbili either uchague kuwa mtenda haki au mpenda amani nadhani umeelewaDini zote ni man made, hakuna dini ambayo ni absolutely perfect, pia Vyama vya siasa, Ideology zao ni kama ilivyo dini/madhehebu , huwezi sema you belong to a perfect political party or religion, while others are on wrong side (non believers), majority of people do not subscribe to any religion or political party, nyie wachache wenye vyama na dini mnasumbua walio wengi.
Hiyo ndiyo dini ya haki shekh wangu. Huwa najiuliza wanawake watapewa nn huko akhera na Allah?😁😁😁 Yaani bao litaboreshwa kutoka dakika 3 hadi miaka 28,800,000! Huu sasa ni zaidi ya upumbavu.
Mwenyezi Mungu kaumba kiumbe mwanamke kikiwa kiumbe kinachopenda kjiremba na kupendeza ndio maana utawaona wanawake wanavyo hangaika kubadili maumbo na shepuHiyo ndiyo dini ya haki shekh wangu. Huwa najiuliza wanawake watapewa nn huko akhera na Allah?
😁😁😁😁😁😁😁Mwenyezi Mungu kaumba kiumbe mwanamke kikiwa kiumbe kinachopenda kjiremba na kupendeza ndio maana utawaona wanawake wanavyo hangaika kubadili maumbo na shepu
Basi huko peponi Mungu atawafanya wenye kubadilika wapendavyo yani ile kufikiria tu angekuwa kama hivi kashakuwa na watakuwa na rangi nzuri zaidi ya huu weupe wanauhangaikia huku duniani kwa kujichubua yani watabadilika rangi kulingana na matakwa yao hayo ni mfano tu wa watakavyopewa huko peponi cha msingi ni kujibidiisha katika kuitafuta hiyo pepo la si hivyo kinyume chake ni majuto
Ni wayahudi na siyo mayahudi. Kwanini usiandike maislamu?Kwenye hii Dunia Imani ya Mayahudi na Uislam ndio Imani za hovyo sana.
Ogopa Imani inayokuelekeza uuwe mtu. Tena wanaua huku wakisema Allah Akbar.
Wakristo tuendelee na Imani na Upendo aliotuachia Yesu kristo. Alitufundisha amri kuu ni upendo.
Sio mudi aliyeacha tafrani ya kuchinjana.