Uislamu dini ya haki yenye ustaarabu, hekima na busara

Naomba advance ya mabikra japo watatu tu
 
Mkuu duniani una option mbili either uchague kuwa mtenda haki au mpenda amani nadhani umeelewa
 
😁😁😁 Yaani bao litaboreshwa kutoka dakika 3 hadi miaka 28,800,000! Huu sasa ni zaidi ya upumbavu.
Hiyo ndiyo dini ya haki shekh wangu. Huwa najiuliza wanawake watapewa nn huko akhera na Allah?
 
Hiyo ndiyo dini ya haki shekh wangu. Huwa najiuliza wanawake watapewa nn huko akhera na Allah?
Mwenyezi Mungu kaumba kiumbe mwanamke kikiwa kiumbe kinachopenda kjiremba na kupendeza ndio maana utawaona wanawake wanavyo hangaika kubadili maumbo na shepu

Basi huko peponi Mungu atawafanya wenye kubadilika wapendavyo yani ile kufikiria tu angekuwa kama hivi kashakuwa na watakuwa na rangi nzuri zaidi ya huu weupe wanauhangaikia huku duniani kwa kujichubua yani watabadilika rangi kulingana na matakwa yao hayo ni mfano tu wa watakavyopewa huko peponi cha msingi ni kujibidiisha katika kuitafuta hiyo pepo la si hivyo kinyume chake ni majuto
 
Kwenye hii Dunia Imani ya Mayahudi na Uislam ndio Imani za hovyo sana.
Ogopa Imani inayokuelekeza uuwe mtu. Tena wanaua huku wakisema Allah Akbar.
Wakristo tuendelee na Imani na Upendo aliotuachia Yesu kristo. Alitufundisha amri kuu ni upendo.
Sio mudi aliyeacha tafrani ya kuchinjana.
 
😁😁😁😁😁😁😁
 
Ni wayahudi na siyo mayahudi. Kwanini usiandike maislamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…