Usishangae hapo akija mtalii akauziwaNimeingia Kula Ice Cream kwenye Moja ya Canteen za Bakhressa zinazouza ICE Cream TU
kama kawaida nimeingia naenda nachukua vitu kwa Fridge,naambiwa HAPANA BOSS hairuhusiwi
nikauliza hairuhisiwi kwa maana ipi? nikaambiwa Ice Cream zote mpk Saa 12 ndio zinaanza kuuzwa
Wameniboa sana wakati nipo pale niliukumbuka huu uzi nikasema kweli,Waislam ni watu kwa kuwatazama Tu.
Nimejibu kwanza hoja zako ambazo umeweka nadhani umeona.Ulichojibu sicho nilichouliza ndugu, ni wapi kwenye maelezo yangu nimegusia suala la kuwaadhibu watu 'waislamu au wasiokuwa waislamu' wasiofunga mchana wa Ramadhani? naomba yanukuu kisha nionyeshe
Hatari sana.Nimeingia Kula Ice Cream kwenye Moja ya Canteen za Bakhressa zinazouza ICE Cream TU
kama kawaida nimeingia naenda nachukua vitu kwa Fridge,naambiwa HAPANA BOSS hairuhusiwi
nikauliza hairuhisiwi kwa maana ipi? nikaambiwa Ice Cream zote mpk Saa 12 ndio zinaanza kuuzwa
Wameniboa sana wakati nipo pale niliukumbuka huu uzi nikasema kweli,Waislam ni watu kwa kuwatazama Tu.
Nimesema hakuna dalili ya kuadhibu watu kula mchana wa ramadhani.
Kama ipo naomba ninukulie.
Maneno matupu ya maulamaa itabaki kuwa ni maoni kama yangu mimi na wewe endapo hayajaegemezwa na dalili.
Ishu sio maneno ya ulamaa ishu ni je hayo maneno(fatawa) yana dalili gani ya kutegemea.
Sio kweli,dini kwa asilimia fulani lazima iendeshwe na rai na maoni ya watu.
Mjinga ni nani kwa mujibu wa sheria ya dini ?
Mpaka Mtume wa allah anakufa kuna hadithi ambazo umar/abubakar hakupata kuzisikia,akiwasikia watu anawataka ushahidi chini ya usimamizi mkali.
Hii ina maana ya kwamba omar mwenyewe alikuwa anaendelea kupata mambo mapya ya dini licha ya kuwa ni mtawala.
Uwanafunzi haueshi,mpaka unakufa ni mwanafunzi.
Ukisema mtafuta elimu haruhusiwi kutoa rai katika dini maana yake watu wote wasitoe rai kwa sababu unaowaita wewe wanachuoni wote ni wanafunzi.
Kwa ufupi ndugu hakuna dalili katika uislamu inayokataza watu kula hadharani mchana wa ramadhani maadamu watu hao hawajalazimishwa na sheria.Akhy, mbona maswali yangu yalikuwa mepesi sana, au nilikosea kuyauliza kiasi cha kushindwa kunielewa nilichokusudia? hadi dakika hii nimepigwa na butwaa: umenifafanulia mambo ambayo nilikuwa siyahitaji na mbaya zaidi mengine umefafanua kwa ufahamu mbovu ...
Kipengele cha kwanza cha swali langu: ulichojibu sicho, na badala yake ukanivisha swali linaloashiria naunga mkono vitendo ambavyo hata sikufikiri wala kuviashiria kuvigusia wala kuvielezea kwenye maelezo yangu
Kipengele cha pili cha swali langu: ungejibu moja kwa moja tu kwamba "sina fatawa ya mwanazuoni yeyote inayo-support maoni 'mada' yangu, au ninazo fatwa: lakini hazina dalili za kisharia, au dalili zake ni shaz au dhwaif, au ungenijibu kwa dalili ya kudhania: kwamba huenda zikawepo lakini hazijakudiriki". Hivyo tu ingejitosheleza. Kwenye hichi kipengele cha pili kwa haraka kasome Majmoo Al Fatawa juzuu ya 8 ukurasa wa 75 - 80 cha mwanazuoni Shaykh Muhammad Ibn Salih Al Uthaymeen
Wallah nikisema nikosoe kila ufahamu mbovu ulioeleza kwenye ufafanuzi wako hii mada itatoka nje ya mstari, kwa heshima naomba niweke nukta.
Kwa bahati mbaya sifanyii kazi mambo kama haya.kasome Majmoo Al Fatawa juzuu ya 8 ukurasa wa 75 - 80 cha mwanazuoni Shaykh Muhammad Ibn Salih Al Uthaymeen
Ni jukwaa huru unaruhusiwa kuweka uovu pale unapopenda.mbaya zaidi mengine umefafanua kwa
Lazima tutoke nje ya maudhui kwa sababu utategemea hpja zingine kutetea hoja yakoWallah nikisema nikosoe kila ufahamu mbovu ulioeleza kwenye ufafanuzi wako hii mada itatoka nje ya mstari,
Kwa ufupi ndugu hakuna dalili katika uislamu inayokataza watu kula hadharani mchana wa ramadhani maadamu watu hao hawajalazimishwa na sheria.
Hiyo ndio point yangu mkuu.
Uliza maswali kutoka katika point hiyo.
Kwa bahati mbaya sifanyii kazi mambo kama haya.
Kama una hoja ya hadithi ama Qurani unaweza kuweka lakini sio maneno ya mwanachuoni.
Ni jukwaa huru unaruhusiwa kuweka uovu pale unapopenda.
Lazima tutoke nje ya maudhui kwa sababu utategemea hpja zingine kutetea hoja yako
Sina tatizo na hilo na mimi nitatoa hoja zingine kutetea hoja yangu,na mimi kwa wema tu niko tayari kwa hilo ikiwa utakuwa na muda.
Kwa sababu hujitambui bado, si kosa lako. Chunguza jamii inayokuzunguka inaishije.Unataka uniambie mpaka leo waislamu bado tunatumia ngamia na farasi kama chombo cha usafiri na tunawasiliana kwa njia ya barua zilizoandikwa kwenye ngozi?
Au nini maana ya kuishi kama Karne ya saba?
Wewe hapo👉Thibitisha...
Kimsingi uislamu unakwaza sana sometimes basi tu tunawavumilia. Imagine lile sakata la kuchinja wakati wa kikwete. Yani mwislam analazimisha akuchinjie kisa ni ibada kwake sasa mimi ibada yako inanihusu nini?Nimeingia Kula Ice Cream kwenye Moja ya Canteen za Bakhressa zinazouza ICE Cream TU
kama kawaida nimeingia naenda nachukua vitu kwa Fridge,naambiwa HAPANA BOSS hairuhusiwi
nikauliza hairuhisiwi kwa maana ipi? nikaambiwa Ice Cream zote mpk Saa 12 ndio zinaanza kuuzwa
Wameniboa sana wakati nipo pale niliukumbuka huu uzi nikasema kweli,Waislam ni watu kwa kuwatazama Tu.
Kunani huko china mkuu....Akhy, ingekuwa vema mngejadili na kadhia ya waislamu wa nchini China yanayowasibu na hali za funga zao mwezi wa Ramadhani, natumai yanayoendelea kule yanafahamika na wengi wetu, ukitazama kwa haraka 'kiakili' unaweza ukahisi ni kadhia mbili tofauti lakini 'kimaana' ni kadhia moja
Serikali ya CHINA iliweka marufuku kwa waislamu kufunga mwezi wa RAMADHANI, nguvu zilielekezwa zaidi kwa waislamu wanaoishi UYGHUR, wanaokiuka wanaadhibiwa kwa kufungulishwa kwa nguvu, kupigwa, kifungo na mengine mengiKunani huko china mkuu....
Sijapata habari za china zinazohusiana na waislamu..
Huo ni mtihani kwa waislamu wa china.Serikali ya China iliweka marufuku kwa waislamu kufunga mwezi wa Ramadhani, nguvu zilielekezwa zaidi kwa waislamu wanaoishi UYGHUR, wanaokiuka wanaadhibiwa kwa kufungulishwa kwa nguvu, kupigwa, kifungo na mengine mengi
Tatizo hilo neno likitumika kwa kiswahili wanaliona kama halina uzito ila kwa kiarabu wanaona bonge la tusi,utumwa wa kifikra mbaya sana.KAFIRI=MPINGAJI.Kwa nini mnaita watu wengine wasio waislamu ni makafir?
Mkuu unataka kusemaje hapo kabla sijakujibu ?So mkuu tunatofautitishaje kipindi hiki cha ramadhan kwamba huyu ni muislam na yule ni mkiristo..?
Kama kuna mtu ajitambui hapa ni wewe maana huwezi kunyoosha maelezo?Kwa sababu hujitambui bado, si kosa lako. Chunguza jamii inayokuzunguka inaishije.
Tatizo kila kilichofanywa na mwarabu kwao ni cha allah hakuna kuhoji.Zanzibar wanaiga arabuni na hata uafrika hawapendi basi tu.Yaani chakula changu mwenyewe nipangiwe na mtu nisile kwa masuala yake binafsi kheeee.
Explain how?Wewe hapo[emoji117]