CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Nimeingia Kula Ice Cream kwenye Moja ya Canteen za Bakhressa zinazouza ICE Cream TU.
kama kawaida nimeingia naenda nachukua vitu kwa Fridge, naambiwa HAPANA BOSS hairuhusiwi.
nikauliza hairuhisiwi kwa maana ipi? Nikaambiwa Ice Cream zote mpaka Saa 12 ndio zinaanza kuuzwa.
Wameniboa sana wakati nipo pale niliukumbuka huu uzi nikasema kweli, Waislam ni watu kwa kuwatazama Tu.