inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Naona msaidizi wa mungu tayari ushahukumu swaumu za watuWaambieni wenzenu wanaotesa watu mitaani kulazimisha ana wote tusile
Actually hata hao wanaozuia wengine wasila hakuna Swaumu hapo ni waste of time tu
Kwani walio waislam na wasio waislamu wakila shida iko wapi?,na kama mtu ni muislamu na akaamua kula mchana dhambi si anapata mwenyewe shida iko wapi,na je kama ni wagonjwa?, wewe kama umefunga na una imani kwelikweli unatakiwa ushindane na matamanio sio kuingilia uhuru wa watu wengine,mi nadhani mambo ya kulazimishana kwenye dini hayana maana yoyote,imani inatoka moyoni sio kuigiza, kila mtu afanye kile moyo wake unataka bila kuingilia uhuru wa mwingine.Wacha tu wakatazwe kula hadharani. Wakiachiwa mpk walio waislam watakula mchana wa Ramadhan tena hadharani kabisa. Halafu nani atabeba hio dhimma!?
HahahahaaaaNaona msaidizi wa mungu tayari ushahukumu swaumu za watu
Ni dini ya hakiHalafu utasikia "dini ya haki".
Kafiri si tusi bali ni yeyote yule anayepinga uwepo wa Allah pekee asiye na mshirika, AnayepingaHiyo dini watu wake ni watu wa mihemko sana tena umkute Mwafrika amesoma soma basi anakuwa ndio kiranja wa kubagua wenzake kwa misingi ya kuita watu makafiri
Kuchangamana unakusudia nini ?Zichangamane na imani yao
أَمْ لَمْ يُنَبَّأْ بِمَا فِي صُحُفِ مُوسَىٰHalafu nani atabeba hio dhimma!?
Dini zingine zifanye shughuli zao maeneo/ nchi zenye uislamu bila kubughudhiwaKuchangamana unakusudia nini ?
Waislamu waingize ibada za dini zingine kwenye misikiti ?
Au washirikiane katika mambo ya kijamii yasiyohusisha ibada ?
Au unakusudia nini hasa ukisema neno kuchangamana mkuu ?
Shughuli za ibada.Shughuli gani hizo ?
Za ibada sio ?
HONGERA KAMA UNALIJUA HILOUsiishie kula tu.
Uliza kuna mtu amezuiwa kula mchana wa ramadhani hadharani ?
Unafunga ili ujitakase na kujiweka karibu na muumba wako ama unafunga kwa sababu hamna namna utafanyaje ni lazma iwe hvyo?Wacha tu wakatazwe kula hadharani. Wakiachiwa mpk walio waislam watakula mchana wa Ramadhan tena hadharani kabisa. Halafu nani atabeba hio dhimma!?
Yaani wewe umeona hili ni suala la competition [emoji3]Na kwann uislamu uogope competition kutoka imani zingine
Point yako ni ipi?Msaada wandugu; hivi dhambi unapambana nayo uishinde au unaipiga marufuku isiwepo?.
Na utaonekana vipi mshindi endapo hakuna kitu unachotakiwa kukishinda?.