Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
- Thread starter
-
- #21
Kuna tofauti ya kusema historia ilivyo na matokeo yake kwetu leo na kulia wakoloni hivi na vile. Inaonekana unatabia ya kulaumu 'mabeberu' maana umekazania hiyo point. Soma historia yako vinginevyo utakuwa unalaumu wengine kila siku kwa yanayokupata.Siyo dini tu mkuu huyo ana lenga mbali. Macho yote kwa beberu. Anamlaumu beberu kwa lolote. Mark my words - lolote.
Haya kwa watakaoelewa.Ukisoma title ukaelewa utaona kwanini nomezungumza mfano wa Shehe.
Na ukisoma mada hadi mwisho utaona mifano mingine inayoonyesha kwanini nasema hatukuwa tunabagua wanawake.
Ngoja nikusaidie kuelewa. uwepo wa Matrineal Societies unaonyesha kuwa katika waafrika mwanamke aliweza kuwa kiongozi.Haya kwa watakaoelewa.
Ilikuwa karne ipiii iyo mpaka kisabengo namiliki magobore kwenye ulinziiiiiKatika historia ya Tanzania kuna mtu aliyeitwa Kisabengo. Kisabengo alikuwa ni mtumwa wakati ambapo Sultani wa Zanzibar anatawala Zanzibar na pwani ya Afrika mashariki. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu sana. Baada ya muda akatoroka atumwa akiwa na watumwa wengine akiwa kiongozi wao.
Baada ya kutoroka akaanza kuwa mbabe wa kivita, akivamia na kupora maeneo ambayo leo ni mikoa ya Pwani na Morogoro. Kokote lilikosikika jina Kisabengo watu waliingiwa na hofu kuu. Baadaye akaanzisha mji. Aliuita mji huo Simbamwenni/Simbamwene. Mji aliojenga leo ndiyo Moro Town. Ulikuwa mji wa maana sana. Ulikuwa na Kuta za mawe. Minara miine ya ulinzi iliyojengwa kwa mawe na ulilindwa na maaskari wenye magobole. ulijengwa kando ya mto na ulikuwa na milango minne ya mpingo kila pande, milango yake ilipambwa vizuri sana. Mji ulikuwa moja ya vituo muhimu ya misafara kutoka bagamoyo kwenda Ujiji kituo.
Huyu Kisabengo alikuwa na binti yake ambaye alimwita Simbamweni. Alimpenda sana binti yake. Hata alipokufa alimuachia usultani wa mji ule. Kipindi H. M Stanley anapita kwenda unyanyembe aliweka kambi Simbamwene. Alistaajabu uzuri wa mji ule uliokuwa ukiongozwa na mwanamke. Askari wakakamavu wenye silaha wakimtii.
Stori hii inaonyesha jinsi Waafrika hatukua na habari za ubaguzi wa kinjinsia wala kuwadharau wanawake. Ushahidi mwingine ni lugha. Lugha yetu haina habari za She/He/Her/Him. Haibagui jinsia.
Ushahidi mwingine ni uwepo wa Matrineal Societies. Huko mikoa ya kusini urithi ulikuwa unapita kwa mwanamke, hata jamii nyingine kama wanyakyusa utakuta ni semi -matrineal. Na hii habari ya matrineal ipo sehemu nyingi africa.
Sasa zikaja dini za kutoka Mashariki ya kati na utamaduni wa watu wa eneo hilo kudogosha na kudharau mwanamke. Wakatulisha maneno kibao kibao na kutufanya hata sisi tuanze kufikiri kama wao. Hizi dini za middle east ndiyo zimefanya muafrica aanze kudharau mwanamke.
HM Stanley alipita Simbamwenni mwaka 1871Ilikuwa karne ipiii iyo mpaka kisabengo namiliki magobore kwenye ulinziiiii
Historia uliyoandikiwa ndiyo inataka kukuaminisha hivyo.Africa hii hii ambako wanawake walipigwa na kukosa sauti?
Huku huku ambako wanawake hawakufanya chochote kwa maamuzi yeyote
Ni wasomali sio waarabu.Umesahu na waarab, wao wanatahiri wanawake wao pia
Hayo ni maneno yake binafsi,sio ya dini.Mwanamke katika dini zote mbili kapewa nafasi kubwa,katika uislamu Bi Khadija,Bi Aisha,Asma bint Abubakar,Maryam(mama wa Nabii Issa),Bi Asiya(Mke wa Firaun),Balkiss(alikuwa mtawala),na wengine wengi,ni mfano bora wa kupewa nafasi kubwa katika uislamu.hujasikia shehe anasema mwanamke hafai kuwa Rais.
Mkuu nadhani jeshini hakuna dini.Katika historia ya Tanzania kuna mtu aliyeitwa Kisabengo. Kisabengo alikuwa ni mtumwa wakati ambapo Sultani wa Zanzibar anatawala Zanzibar na pwani ya Afrika mashariki. Alikuwa ni mtu mwenye nguvu sana. Baada ya muda akatoroka atumwa akiwa na watumwa wengine akiwa kiongozi wao.
Baada ya kutoroka akaanza kuwa mbabe wa kivita, akivamia na kupora maeneo ambayo leo ni mikoa ya Pwani na Morogoro. Kokote lilikosikika jina Kisabengo watu waliingiwa na hofu kuu. Baadaye akaanzisha mji. Aliuita mji huo Simbamwenni/Simbamwene. Mji aliojenga leo ndiyo Moro Town. Ulikuwa mji wa maana sana. Ulikuwa na Kuta za mawe. Minara miine ya ulinzi iliyojengwa kwa mawe na ulilindwa na maaskari wenye magobole. ulijengwa kando ya mto na ulikuwa na milango minne ya mpingo kila pande, milango yake ilipambwa vizuri sana. Mji ulikuwa moja ya vituo muhimu ya misafara kutoka bagamoyo kwenda Ujiji kituo.
Huyu Kisabengo alikuwa na binti yake ambaye alimwita Simbamweni. Alimpenda sana binti yake. Hata alipokufa alimuachia usultani wa mji ule. Kipindi H. M Stanley anapita kwenda unyanyembe aliweka kambi Simbamwene. Alistaajabu uzuri wa mji ule uliokuwa ukiongozwa na mwanamke. Askari wakakamavu wenye silaha wakimtii.
Stori hii inaonyesha jinsi Waafrika hatukua na habari za ubaguzi wa kinjinsia wala kuwadharau wanawake. Ushahidi mwingine ni lugha. Lugha yetu haina habari za She/He/Her/Him. Haibagui jinsia.
Ushahidi mwingine ni uwepo wa Matrineal Societies. Huko mikoa ya kusini urithi ulikuwa unapita kwa mwanamke, hata jamii nyingine kama wanyakyusa utakuta ni semi -matrineal. Na hii habari ya matrineal ipo sehemu nyingi africa.
Sasa zikaja dini za kutoka Mashariki ya kati na utamaduni wa watu wa eneo hilo kudogosha na kudharau mwanamke. Wakatulisha maneno kibao kibao na kutufanya hata sisi tuanze kufikiri kama wao. Hizi dini za middle east ndiyo zimefanya muafrica aanze kudharau mwanamke.
Hivi nyinyi mnaojifanya waarab koko mmesoma kweli au mnakariri tu vitu bila kujuwa.....acheni story za vijiweni. Hizi nchi zifuatazo ni za wapi > Jordan, Iraq, Syria, Oman, United Arab Emirates and Qatar?Ni wasomali sio waarabu.