gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
An Extensive Rift System on the Moon? An Extensive Rift System on the Moon?Wakuu
Leo nataka tuweke pembeni hadithi za "Abunuwasi" na tutumie akili kidogo. Baada ya kufanya utafiti wa kina, nimegundua kuwa Uislamu haukuandikwa na Muumba wa Ulimwengu (Universe), bali uliandikwa na watu wa kijijini kule Uarabuni ambao walikuwa hawajui hata kilomita 2,000 mbele yao kuna nini.
Hapa kuna nondo 5 za kuwazibua masikio:
1️⃣ MUNGU HAJUI GEOGRAPHY (MTEGO WA NORWAY) 🗺️❄️
Kwenye Quran (2:187), Mungu anasema funga kuanzia uzi mweupe mpaka uzi mweusi (jua linapozama). Swali kwa wataalam: Kule Norway, Sweden na Finland, wakati wa kiangazi jua halizami kwa miezi mitatu (Midnight Sun). Kama Mungu ndiye aliyetengeneza dunia na mhimili wake, kwanini alitoa sheria inayofanya kazi Makka tu lakini inaua watu wa North Pole? Mungu alisahau kuwa aliumba nchi zenye barafu na theluji?
2️⃣ FANTASY YA NGONO PEPONI (HOOR AL-AYN) 💫👰♂️
Inasemekana peponi kuna warembo bikira (Surat An-Naba 78:33) wenye "matiti yaliyochuchumaa" (Kawa'ib Atraba). Tena mwanaume atapewa nguvu za kiume za wanaume 100 (Tirmidhi 2562).
Ukweli Mchungu: Hii siyo sifa ya sehemu takatifu, hii ni fantasy ya mwanaume wa jangwani aliyekuwa na kiu ya wanawake. Je, wanawake wa duniani wakishaingia peponi wanapata nini? Au wao ni watazamaji tu huku waume zao wakicheza na mabikira 72? Huu ni mfumo dume uliovikwa koti la dini!
3️⃣ MWEZI KUPASULIWA (HOJA YA KICHINA) 🌙🇨🇳
Quran (54:1) inasema mwezi ulipasuka vipande viwili. Hii ni "Global Event" ambayo kila binadamu duniani angeiona. Lakini cha ajabu, Wachina, Wahindi, na Wagiriki waliokuwa na wataalam wa anga kipindi hicho, hakuna hata mmoja aliyeandika tukio hilo. Ni Waarabu wa kijijini kimoja tu ndio waliona mwezi unapasuka. Hii ni hadithi ya kusadikika, sayansi ya NASA inathibitisha mwezi haujawahi kupasuka!
4️⃣ MUNGU NI MWARABU? 🕋🗣️
Mnasema Quran lazima isomeke kwa Kiarabu ndipo iwe na maana. Hivi Mungu wa bilioni 8 za watu ameshindwa lugha nyingine mpaka amng'ang'anie Mzaramo wa Manzese ajifunze Kiarabu ili asali? Kwahiyo Mungu anapokea maombi kwa lugha ya Waarabu tu? Huu ni Imperialism wa kiutamaduni uliolenga kuwafanya Waarabu waonekane watu wa juu.
5️⃣ SAYANSI YA MABAVU (MAJI YA UZAZI) 🦴🔬
Quran (86:6-7) inasema mbegu za kiume zinatoka kati ya uti wa mgongo na mbavu. Biology 101 inatuambia mbegu (Sperm) zinatengenezwa kwenye Kende (Testicles). Je, muumba wa binadamu amekosea biolojia ya kiumbe alichokiumba mwenyewe? Au muandishi wa Quran alikuwa anajikisia tu?
Wafrika acheni kukariri vitabu vilivyopitwa na wakati. Uislamu ni dini ya mazingira ya jangwani (ndio maana wanataja tende, ngamia, na mito ya pombe). Mungu hawezi kuwa mbinafsi, mbaguzi wa kijinsia, na asiyejua ramani ya dunia aliyoiunda.
Tumieni AKILI, acheni UJINGA wa kufuata mkumbo! 💡🚫
👇👇👇Kama unapinga
Leta facts
Ukileta mihemko we ni fala tu wa waarabu
Kwamba dunia ingekua na lugha moja tu ambayo Mungu angetumia kuwasiliana nasi?Wakuu

Wataalam mbalimbali, tangu uidlam ulipoanzishwa, wanakubaliana kuwa uislam ulibuniwa ili waarabu kuwa na nguvu ya pamoja kupambana na Wayahudi.
Ili kuupata umoja huo wakataka wawakusanye waarabu wote waliokuwa wanafuata dini kuu mbili za nyakati hizo, yaani Ukristo na Uyahudi, na wadanganywe kuwa uislam ni bora kuliko hizo dini mbili. Waliotengeneza uislam walichukua baadhi ya mafundisho kutoka dini ya Kiyahudi na mengine toka kwenye dini ya Kikristo, na kuyabadilisha kiasi au kupungiluza, kuondoa na kuongeza baadhi. Tukio mojawapo ambalo lilidhihirika, baadaye walivyoona lile lengo la kuwafanya waarabu wote wawe waislam halitimii, mwaka 1400, wakabuni andiko jingine walililoliita Injili ya Barnabas wakidai kuwa iliutabiri uislam, wakati kwa miaka yote hakukuwahi kuwa na Injili hiyo. Lakini walilitangaza sana andiko hilo wakidai injili ilitabiri ujio wa uislam.
Tofauti na dini nyinhine kama Ukristo na Uyahudi, ambazo zimejengwa kwenye miujiza iliyoshuhufiwa na watu, miujiza iliyoshindwa kuelezeka kwa kutumia elimu yoyote ile, na hivyo kudhihirisha nguvu na mamlaka ya Mungu, kwenye uislam, hakuna tukio lolote la kiimani lililowahi kudhihirika mbele za watu kwenye, ni habari zilizokuwa zimetengenezwa na waliokuwa wamejifungua sehemu kutafuta mbinu ya kuwaunganisha Waarabu ili waweze kupigana na Waisrael ambao nyakati hizo walikuwa wakipigana vita wakiamini kuwa ni Mungu wao pekee ndiye huwaongoza katika kushindi, huku wakiamini katika Mungu mmoja Yahwe. Wanzilishi wa uislam waliamini kuwa wao wanashindwa vita kwa sababu wametengana sana kupitia miungu wengi, wakaazimia waifute miungu yote 320 waliyokuwa nayo, wabakia na Allah aliyekuwa miongoni mwa miungu hiyo ya kale akitumia alama ya mwezi, ambaye tayari alikuwa na wafuasi wengi kuliko ile mingine 329. Chini ya mungu Allah, wafuasi wake waliungana na kufanikiwa kuanzisha vita dhidi ya wayahudi mwaka 636 ili kuuteka mji wa Jerusalem.
Uislam ni dini iliyoanzishwa kwa malengo ya kivita, ukiwapa wapiganaji wao ujasiri wa kutenda uovu bila hofu, wakiwaaminisha kuwa wakifa vitani, ni heri kubwa kwa sababu wanaenda kwenye starehe nzuri na nyingi maradufu huko ahera, pombe na wanawake wazuri kibao. Waliamrishwa wawaue wasioukubali uislam, wawachome kwenye mafuta, wawakate watu shingo, wakiamini kuwa kawa wakiwalazimisha waarabu wote kuwa waislam, hayo maovu yatakuwa yakitendwa dhidi ya maadui zao wayahudi.
Kwa kifupi uislam ulilenga zaidi kuwapa ujasiri waarabu dhidi ya maadui zao, yaani wawafanyie kila uovu wakiaminishwa uovu huo ndiyo matakwa ya nadharia ya Allah waliyekuwa wamemtengeneza. Ndiyo maana mpaka leo kuna makundi ya waislam katili kupindukia, wakiwaua watu, tena wengine kwa kuwakata shingo huku wakisema Allah Akbar, wakiamini ndiyo mapenzi ya huyo Allah. Ilisistizwa sana kuwa kusiwepo na ile miungu mingine waliyokuwa wakiabudu kwa sababu itapunguza umoja wa waarabu dhidi ya maadui zao.
Kinachoshangaza, ni hawa wa sasa wanaoendelea kuutumikia huo uovu dhidi ya watu katika mataifa baadhi ya mataifa, bila ya kutambua lengo la uislam kwa nyakati za kuanzishwa kwake. Hii inadhihirisha waislam wa nyakati hizi ni duni sana kifikra kuliko wale wale wa kale waliotengeneza falsafa ya uislam kwa dhamira ya kutafuta umoja katika mapigano ya kivita dhidi ya maadui zao.
kale kitimoto ugundue utamu wakeMCHAMBUZ mbobevu akiripot kutoka kijiwe cha kitimoto NASOMA LOUNGE, Mama John mbeya
Kwann nile kitimoto? Kwahyo kuwa mkristo maana yake ni kufanya vitu haramu au? Maana nyie watu ni waajabu sanakale kitimoto ugundue utamu wake
we unatakiwa ule hadi punda, sio kiti moto tuKwann nile kitimoto? Kwahyo kuwa mkristo maana yake ni kufanya vitu haramu au? Maana nyie watu ni waajabu sana
Punda ni halalwe unatakiwa ule hadi punda, sio kiti moto tu
Karibu uweke facts💪Vilaza hawa wanajifunza kutumia ChatGPT na alivyo mbulula Kabeba na mazagaza yake yote
Mwamedi amwamrisha hadi Allah wake amuabudu yeye:
Hii ni zaidi ya ajabu:
33:56
"Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika wake wanamsalia Nabii. Enyi mlio amini! Msalieni na mumsalimu kwa salamu"
Anasisitiza kabisa "hakika"
Anataka
Allah
Malaika
Waislamu
Wote wamsalie sijui kwa nani
Wanatimiza Maandiko:Kuna wakati ukiyasoma maandiko kama haya, unabakia kujiuliza kama hao wanaoyafuata wapo kwenye utimamu wa akili au huwa wanaharibiwa akili kwanza!!