Jamaa unakuaga na udini sana weweUngeuliza boko Haram basi na al shababu
Dickhead unawashwawashwaNdugu zangu waislamu hawana kosa ila wanashindwa kuelewa kuwa dini yao ina madhehebu.
madhehebu ni kwamba watu watakuwa wakitumia imani moja ila sheria,katiba na ufikiri mkawa tofauti.
Tumeona kwenye ukristo sasa mpaka wengine wanauza maji na udongo kwa kisingizio ni wakristo wakijiita dhehebu walokole ndani ya ukristo.
Hapa mada ilifutwa kuhusu waislamu kutokujua kwa sasa duniani hakuna dini inaitwa uislamu sema kuna madhehebu ya waislamu ambao kila mtu anaweza kuja na lake.
Jaribu kufocus kwa mambo ya msingi ambayo hayotokuja kututenganisha sawaHizi ID zenu mbona zinatoka ofisi moja za Abdul mikocheni