Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Huwezi kuutenganisha uislamu na hayo mambo ya hovyo sababu hizo ndio tamaduni za waanzilishi wa hiyo dini na wakaziingiza mpaka ktk dini ili hata wakiisambaza hiyo dini, watu wafuate sheria/sharia za tamaduni yao kilazima wakisingizia ni Mungu kaamrisha watu watii hizo sheria/sharia kumbe ni kanuni ty wamejitungia wao.

Dini zote za hovyo hakuna hata moja ina ukweli, bora yako ukomae na asili+tamaduni za babu zako na sio huo ujinga wa watu weupe
 
Ajabu uislamu ndio dini inayokua kwa kasi sana hapa ulimwenguni tujiulize wakristo tunakosea wapi hasa wakatoliki.
Inakua kwa kasi sababu ya waislam kuoa wake zaid ya mmoja na kuzaa sana, tizama mtaani kwako je hizo data za uislam kukua zina match? Majibu unayo, dini zote zinapungua ushawishi kwa sababu ya vijana wa sasa kuhoji undani wa hizo stories tulizoaminishwa
 
Wanaojiita Wakristo wangefanya hata yale robo ya robo ya aliyofanya kristo mwenyewe wangekua watu safi zaidi.. Ila waislam wamefanya hata ambayo mtume hajafanya sasa sijui wameyatoa wapi
Leta mfano wa hayo mambo
 
Uislamu ingekuwa Dini nzuri sana endapo baadhi ya Tabia zinazohusushwa na Dini zingeachwa. Siongelei huu uislamu wa gongo la mboto, waislamu jina. Naongelea wakulungwa wenyewe.

Mfano: Tabia ya kufinya haki za wanawake, kwenye dini ya uislamu mwanamke ni kiumbe kinachopewa daraja la chini sana kwenye karibia baadhi ya mambo kwenye familia hadi jamii, kuanzia kwenye maamuzi na utendaji wa kazi, ambapo mwanaume amejisimika ufalme kwenye kila mambo. Nchi nyingi zinazoongozwa na Uislamu zinapinga uongozi wa wanawake, kuendesha magari japo juzi kati ndipo walianza kuruhusu, mtindo wa maisha na mambo kadha wa kadha yanayowahusu wanawake.

Kuchukua sheria mkononi: hapa siongelei puchu au mgalala, la ashah, hapa nazungumzia sheria nyingi za Uislamu zinaamuru kujichukulia sheria mkononi endapo mtu ataenda kinyume na matakwa ya uislamu mfano, mtu akitaka kuhama Dini ya kiislamu anaweza kuuliwa, mtu akidhini au kuchepuka apigwe mawe mpaka kufa, ukimkubatia mwanamke si wako uchapwe viboko 99, juzi tu umeona mchezaji mpira Cristiano Ronaldo akimkumbatia msichana mlemavu baada ya kumletea zawadi ya picha hiko Iran, lakini serikali ya Iran inayoendeshwa chini ya uislamu ikaamuru Ronaldo akirudi tena Iran atandikwe viboko 99 kwa kosa la kumkumbatia yule dada mlemavu kama shukurani. Yapo mambo mengi ya kujichukulia sheria mkononi ya kuua au kumdhuru mtu endapo atafata sheria za Uislamu.

Wazee wa Suicide mission: Hapa sizungumzii ile Movie ya Suicide Squad ya Will Smith, hapa nazungumzia wale wakulungwa wa Imani kali wanaoanzisha vikundi vinavyojulikana kama vikundi vya Jihad kama Islamic State (IS), Balochistan Liberation Army (BLA), Al-Qaida, Al-shabab, Jumaat Nusrat Al-Islam wal Muslimeen (JNIM), Islamic State Khorasan (ISK), Islamic State Sinai (ISS) na vikundi vya namna hiyo huko Africa magharibi (Islamic State West Africa) kama Boko Haram na vinginevyo vya imani kali ambavyo lengo lao ni kusambaza Uislamu kwa nguvu na kupambana na serikali zisizo za kidini. Hawa wazee wanajulikana kwa mashambulizi yao dhidi ya raia na serikali ikiwemo majeshi, na kuua watu bila sababu zenye mashiko, wengine wamejizolea umaarufu kwa kujitoa muhanga na kuua watu wengi bila kujali kwamba wanafamilia au hawana. Na pia Al-Qaida walikuwa wanafahamika kwa kuchinja raia wa kimarekani na wa nchi za ulaya, kupelekea Nchi za Mashariki ya kati kuogopwa kutembelewa na wageni kutoka nchi nyingine.

Ukijaribu kuwagusia hawa waislam wa bonyokwa wanakwambia Uislamu unakataza mambo hayo, lakini ukifuatilia kwenye vitabu vyao ukatili wa aina hiyo umeandikwa kwenye kitabu chao kama kuchampa mtu viboko, kuua kama aendani na itikadi za kiislamu na mambo kadha wa kadha. Hata hawa waislam wa bonyokwa washukuru tu kwa sababu wanaishi Tanzania na sio nchi ya kidini ila wangekuwa wanaishi huko Iran au afaghanstan, wangeelewa shoo.. juzi kati tu ndege ya Marekani ya kijeshi ilivyokuwa inaondoka Afaghanstan, waafaghan wengi walitaka kuondoka nayo kuonesha hawataki kubaki nchini kwao kupelekea watu wengine kuanguka na kufa, inaonesha hata nchi nyingi za uarabuni haziruhusu wananchi wao kuondoka hovyo hovyo bila sababu,wanabanwa na kunyimwa passport.

Endapo waislamu wangeacha hayo mambo ya ukatili wangekuwa Dini moja safi sana ulimwenguni.
vita ya kidini huanza hivi hivi kidogo kidogo, kwamba uhuru ni wa kutoa maoni au haki ya kutoa maoni ,kumbe unaumiza imani za watu.......
 
Wazee wa jino kwa jino hao
 
MBS asingemuua Khashoggi ningesubiri kuona kwa Saudi inakuwa vipi chini yake...amefanya Mambo mengi,,tatizo lake ni lile lile la madictactor wanaamini wao na wao pekee ndio wanaweza kufanya maamuzi sahihi kwahiyo wakikosolewa mtakiona Cha moto.
 
Ukitaka kupika zege lazima mayai uyavunje.
 
Mfumo wa kiislam ndio mfumo Bora wa haki kuongozea watu, unaondoa matabaka kwenye jamii, unaboresha ustawi na maendeleo ya watu. Palipo na mfumo wa kiislam hakuna umasikini.

Tofaut ya maendeleo baada ya uhuru kwa nchi za Kaskazini na za kusini mwa jangwani la Africa ni mfumo wa dini ya Islam.

Baada ya Uhuru nchi za kiafrika zenye maendeleo na Maisha Bora kwa watu wake ni Tunisia Libya Misri Algeria Morocco na zote ni kwa sababu ya dini.

Kwenye uislam ni haki bin haki hakuna ufisadi, rushwa, upigaji, kuchezea Kodi za wananchi, wizi, umalaya, adhabu yako ni panga ili iwe fundisho kwa wengine
 
Kitu kibaya ni kwamba hujui kuhusu uislamu na huo ndio mtazamo wako ,sikulaumu na ulichoongea hakina ukweli kwa asilimia zote .

Mbaya wengi wanaosma uislamu ndio wanasilimu ,uliloongea hapo halina ukweli kabisa zote ni nadharia za kimagharibi.

Uislamu umempa mwanamke cheo hata tunaamini pepo ipo chini ya nyayo ya mama(mwanamke) na sio baba ,kuna sehemu inafundisha katikq daraja nne basi tatu anabeba mwanamke katika wazazi(mama na baba) kwamba mama ana daraja 3 na baba ana moja.

Ukienda kweny kusoma hata utume alimpendelea binti ,sasa njoo kweny mirathi ndio utajua yaani mwanamke anapewa mirathi yake ila bado kaka yake anahusika kumlea kwa nguvu zake mpaka atakapoelewa huku akiwa hatumii hata thumni ya mirathi yake (Mwanamke).....Mwanamke huyo ndie ambaye hata mahari anataja yeye na sio mzazi na maamuzi ya kuolewa ni yeye....Mwanamke katika uislamu ukiangalia majukumu ya ndoa hata akizaa akinyonyesha mtoto wako wewe mwanaume unatakiwa kumlipa na hakuna sehemu imeonyesha kwamba mwanamke ni mama wa kufanya kazi za nyumbani....Ni mengi nikikutajia hapa hata nikuambia mwanamke anapewa stare ili kumpa thamni nyie mnasema haki za binadamu ila akitembea uchi ndio uhuru🙄.

Hakuna ugaidi na kama hukumu zipo kisheria mbona hata bible imetoa hukumu nyingi ,bible ilisema mwanamke hawezi kuwa kiongozi wala hatakiwi kuuliza swali kanisani ila anaenda kumuuliza mmewe nyumbani 😅😅haya hamyaon?...Sababu uislamu upo practical tukichambua hapa utajua sheria nyingi zinafana ila ukristo umathirika na wazungu ndio maana kwa sababu hata vipedo kanisani havikuhusu na utashangaa sanamu la maria na masister wamevaa hijabu ila waumini hawavai..😅

Hakuna hukumu uislamu kama dhambi tunasema haijalishi nan kafanya ..
Kaka umeongea points sana tusio na elimu tulishamkubalia huyo bwana hoja zake
 
Mfumo wa kiislam ndio mfumo Bora wa haki kuongozea watu,unaondoa matabaka kwenye jamii,unaboresha ustawi na maendeleo ya watu.
Palipo na mfumo wa kiislam hakuna umasikini.
Tofaut ya maendeleo baada ya uhuru kwa nchi za Kaskazini na za kusini mwa jangwani la Africa ni mfumo wa dini ya Islam.
Baada ya Uhuru nchi za kiafrika zenye maendeleo na Maisha Bora kwa watu wake ni Tunisia Libya Misri Algeria Morocco na zote ni kwa sababu ya dini.
Facts sana
 
Back
Top Bottom