Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Huwezi kuutenganisha uislamu na hayo mambo ya hovyo sababu hizo ndio tamaduni za waanzilishi wa hiyo dini na wakaziingiza mpaka ktk dini ili hata wakiisambaza hiyo dini, watu wafuate sheria/sharia za tamaduni yao kilazima wakisingizia ni Mungu kaamrisha watu watii hizo sheria/sharia kumbe ni kanuni ty wamejitungia wao.

Dini zote za hovyo hakuna hata moja ina ukweli, bora yako ukomae na asili+tamaduni za babu zako na sio huo ujinga wa watu weupe
 
Ajabu uislamu ndio dini inayokua kwa kasi sana hapa ulimwenguni tujiulize wakristo tunakosea wapi hasa wakatoliki.
Inakua kwa kasi sababu ya waislam kuoa wake zaid ya mmoja na kuzaa sana, tizama mtaani kwako je hizo data za uislam kukua zina match? Majibu unayo, dini zote zinapungua ushawishi kwa sababu ya vijana wa sasa kuhoji undani wa hizo stories tulizoaminishwa
 
Wanaojiita Wakristo wangefanya hata yale robo ya robo ya aliyofanya kristo mwenyewe wangekua watu safi zaidi.. Ila waislam wamefanya hata ambayo mtume hajafanya sasa sijui wameyatoa wapi
Leta mfano wa hayo mambo
 
vita ya kidini huanza hivi hivi kidogo kidogo, kwamba uhuru ni wa kutoa maoni au haki ya kutoa maoni ,kumbe unaumiza imani za watu.......
 
Wazee wa jino kwa jino hao
 
MBS asingemuua Khashoggi ningesubiri kuona kwa Saudi inakuwa vipi chini yake...amefanya Mambo mengi,,tatizo lake ni lile lile la madictactor wanaamini wao na wao pekee ndio wanaweza kufanya maamuzi sahihi kwahiyo wakikosolewa mtakiona Cha moto.
 
MBS asingemuua Khashoggi ningesubiri kuona kwa Saudi inakuwa vipi chini yake...amefanya Mambo mengi,,tatizo lake ni lile lile la madictactor wanaamini wao na wao pekee ndio wanaweza kufanya maamuzi sahihi kwahiyo wakikosolewa mtakiona Cha moto.
Ukitaka kupika zege lazima mayai uyavunje.
 
Mfumo wa kiislam ndio mfumo Bora wa haki kuongozea watu, unaondoa matabaka kwenye jamii, unaboresha ustawi na maendeleo ya watu. Palipo na mfumo wa kiislam hakuna umasikini.

Tofaut ya maendeleo baada ya uhuru kwa nchi za Kaskazini na za kusini mwa jangwani la Africa ni mfumo wa dini ya Islam.

Baada ya Uhuru nchi za kiafrika zenye maendeleo na Maisha Bora kwa watu wake ni Tunisia Libya Misri Algeria Morocco na zote ni kwa sababu ya dini.

Kwenye uislam ni haki bin haki hakuna ufisadi, rushwa, upigaji, kuchezea Kodi za wananchi, wizi, umalaya, adhabu yako ni panga ili iwe fundisho kwa wengine
 
Kaka umeongea points sana tusio na elimu tulishamkubalia huyo bwana hoja zake
 
Facts sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…