Uislamu ungeacha kuambatana na ukatili ingelikuwa dini moja safi sana

Ni ngumu sana kutofautishwa na ukatili kwasababu huyo anayesema nani katili na nani siyo katili ni Magharibi, yeye ndio anayetoa ushahidi wa uongo duniani kote hata umoja wa mataifa na dunia nzima inamuamini either kwa kumuogopa kutokana na nguvu zake na uwezo wake wa ku influence mambo ya kidunia mfano;

1. Marehemu collin powell alisimama kwenye un security counsel na kutoa hotuba na picha za ushahidi kwa masaa mawili kwamba saddam anamiliki weapons of mass destruction wakaenda nchi zote za magharibi wakaungana wakaanzisha vita na wakamuua saddam kwa kum demonize kitu ambacho baadae dunia nzima ikagundua haikuwa kweli na juzi juzi Tony Blair akaomba msamaha kwamba anajutia kwa walichofanya eti Mossad waliwadanganya.

2. Hili shambulio la hamas juzi Biden alitoa hotuba na kusema eti kaona video za watoto wakichinjwa na Hammas kwenye uvamizi ule, kesho yake Ikulu ya Marekani ikakanusha kwamba haikuwa na ushahidi kuhusu watoto wa Israel kuchinjwa na Hamas ukiacha madhara ya kushambuliwa.

Haya yote kama huna akili ya kunyambua mambo unaweza kuchukia waislamu kwa propaganda za hawa wamagharibi ambao wapo kimaslahi sana, na hawajali kuhusu vifo wala chochote ila maslahi yao ya kidunia. Kuwa makini sana huoni wazungu wrngi ulaya na marekani wanaisupport palestina?

Wanaujua ukweli, jeremy corbin kiongozi wa Uingereza abaisupport palestine hadi kwrnye maandamano na anejipatia umaarufu kwa kupigani haki za binaadamu ikiwemo wakimbizi bila ya kujali kupigwa vita na wazungu wenzake ambao hawapendi sera zake za ubinaadamu.
 
Anti Baraka nao pale Afrika ya kati tuseme ndio ukristo wenyewe chief.....?

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
Ronaldo kamkumbatia mchoraji kwa kumchora huko Iran kagewa adhabu ya viboko 99.

Ubalozi wa Iran umesema adhabu haipo ila watu wamekomaa naye kiasi kwamba yawezekana asirudi tena Iran
 
Za kwako ndio porojo, huoni hata haya waislam wote wanatetea ugaidi wa juzi kule Israel?

Jambo lingine, waislam sio waelewa kabisa...mmejazwa chuki sana
 
Za kwako ndio porojo, huoni hata haya waislam wote wanatetea ugaidi wa juzi kule Israel?

Jambo lingine, waislam sio waelewa kabisa...mmejazwa chuki sana
Wakristo hasa wa tanzania ndio wana roho mbaya kama wakaanga sumu tukio la juzi la hamas ni moja tu wao wamekuwa eakiuliwa kea miaka zaidi ya 60 na israel na hakuna mtu yoyote anayewatetea acha watetee ardhi yao, hata baadhi ya wazungu huko matekani na uingereza wamekataa kuwaita magaidi bali ni wanatetea ardhi yao akiwemo muandishi wa bbc , jeremy corbyn na wengi walioshiriki maandamano london , wewe umeshiba magimbi yako huko ileje unapanua domo lako eti magaidi , hata ukiuluzwa maana ya neno gaidi hujui unafuata mkumbo tu
 
Bila ukatili hakuna uislam mwanangu. Uislam, umezaliwa na ukatili, kufanya ukatili, kueneza ukatili na kuishi kikatili hadi kufa kikatili kama ukristo. Ukisikia ushenzii, upagani na ukafirii ndo huu mwanangu
 
Hata wasingekuwa na hiyo mentality ya kueneza dini kikatoli au kulipa kisasi Ina makorokocho mengi ya ajabu kwenye sheria zake taratibu na matendo mbalimbali ya kiibada ,kitamaduni na inatia mashaka kama ni kweli Mungu wanayemwabudu na sifa sawa na yule wanayemwabudu wakristu au Kuna mtu aliwapiga chenga na kuwapeleka kwa mkuu mwingine?
 
Una akili ndogo, hukumu tendo ovu bila rejea..kama mababu walioneana huwezi halalisha kisasi cha kutoa roho leo.
Waislam ni zero brain
Mko kama mikondoo na minyumbu
 
Dini ya kishamba sana
 
Ajabu uislamu ndio dini inayokua kwa kasi sana hapa ulimwenguni tujiulize wakristo tunakosea wapi hasa wakatoliki.
Uislamu unakuwa kwa kasi kwa sababu zipo keys codes wameziweka wazi pia ndiyo dini yenye mfumo mzima wa maisha ya binadamu, tafuta kwenye biblia ndoa inatakiwa ifungwaje kama utapata maelekezo yake!, ukiyapata inbox ujishindie wekundu!, am Christian Nawahi kanisani misa ya kwanza!
 
Huu uzi unaruhusiwa kujibiwa na waislamu wa bunyokwa ama?
Tunazungumzia kuhusu ukamilifu wake na dosari yake, ITABIDI WANAZUONI WAINGILIE KATI WAINDOSHE VIFUNGU KATILI NDANI YA KURAAN. ILI IWE DINI BORA ZAIDI.
 
hujaelewa vizuri tofautisha uislamu na matendo ya watu hata kama ni uislamu,hakuna maelekezo ya kiislamu yanayosema wafanye ukatili
 
Umejazwa ujinga ukakujaa. Uislam hauna ukatili na wala haufundishi ukatili.

Mnajazwa ujinga na mashetani ili msiusome Uislam.
 
Mambo ya uislamu waachie waislamu, wewe angalia yanayokuhusu. Hao mayahudi walioia Hadi mitume wa Allaah hujawaona umekaa kizungumzia uislamu?! Ukristo unaozuia viongozi wa kanisa kuoa huo sio ukatili? Kumuwekea mtu limit ya wanawake wa kuoa sio ukatili?! Mtu kaoa halafu kagundua kuwa mtu aliyemioa sio sahihi kaamua abadilishe aoe mwingine unamwambia hapana ikifungwa duniani imefungwa mbinguni hamna kuachana Hadi kifo huo sio ukatili kumlazimisha mtu kuishi na mtu asiyempenda??!! Ukatili kama ukatili upo katika jamii nyingi za makabila hata mifumo ya vyama vya siasa na tawala za nchi ila KILA JAMII INA UKATILI WAKE AMBAO IMEUHALALISHA NA KUNYOOSHEA KIDOLE UKATILI WA JAMII NYINGINE.
 
Acha mwembwe wee . Dini ibafanyiwa marketing na promotion za kuhonga watu kama bidhaa zisizo na UBORA sokoni? Uliwahi kuona wakristu wakishawishi watu maarufu kujiunga nao kwa kuwalipa kiasi kikubwa Cha fedha na baadaye kutangaza dunia nzima ili followers wake labda wamfuate? Uliwahi kuona wakristu wakitumia wanawake kuwarubunj wanaume wabadili dini ili wawaoe? Uliwahi kuona wakristu Wana vikundi vya wanamgambo karibia Kila nchi eti ni wapigania dini kwa waliokataa wauawe?

Hapo jiongezi Mzee ilipo , na itafakari hiyo anayemwita jibril eti ndie aliyempa wahay akawa anashushiwa hizo Aya za kinyumenyume je, ni kweli zilitoka kwa Muumba au Kuna nguvu nyingine ambayo iliwahi kupewa nguvu na upeo mkubwa na Mungu na akaaza kibri kwa Mungu kujiona eti imemzidi Mungu na Mungu hakuingamiza akaileta duniani ili kutafuta wapambe wa kwenda kuchomwa nayo ndio imechukua mifumo inayokaribia kufanana na ile ya Mungu iliyokuwepo na kutengeneza mfumo wake?
 

Uzuri ukimwekea muislam SAUD ARABIA na UJERUMAN atataka kwenda Ujerumani

Iran na Poland atachagua Poland

Italy na Maka atachagua Italy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…