Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Zamani nchini kwetu Tanzania Uislamu wa Shia ama ushia ulikuwa ukitambulika kama ni wa waumini kutoka Asia pekee.
Ila miaka ya Karibuni Kuna ongezeko kubwa Sana Kwa watanzania asilia kujiunga Katika madhehebu tukufu ya Shia.
Nigeria inaongoza Kwa mashia Sub Sahara.
Tafiti za kweli na uhakika zinaonesha idadi ya mashia katika uislamu ni 30% na ifikapo 2050 itakuwa 50% nusu Kwa nusu na suni.
Yani inapendeza Sana. Allah ashukuriwe.
Hapo Chini ni kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
WOTE MNAKARIBISHWA KULA KIAPO CHA UTII KWA IMAM WETU KIPENZI CHETU CHA DHATI IMAM HUSSAIN IBN ALI A.S.
adriz Lamborghini Akhi Makonde plateu Al-mukheef Monetary doctor makilo Mufti kuku The Infinity