Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Walimchinja Hussain ili Ibilisi atawale.
Ahh! Hebu toeni maujinga yenu ya dini za wazungu na waarabu hapa!!Zamani nchini kwetu Tanzania Uislamu wa Shia ama ushia ulikuwa ukitambulika kama ni wa waumini kutoka Asia pekee.
Ila miaka ya Karibuni Kuna ongezeko kubwa Sana Kwa watanzania asilia kujiunga Katika madhehebu tukufu ya Shia.
View attachment 3410009
Nigeria inaongoza Kwa mashia Sub Sahara.
Tafiti za kweli na uhakika zinaonesha idadi ya mashia katika uislamu ni 30% na ifikapo 2050 itakuwa 50% nusu Kwa nusu na suni.
Yani inapendeza Sana. Allah ashukuriwe.
Hapo Chini ni kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
View attachment 3410004
View attachment 3410006
adriz Lamborghini Akhi Makonde plateu Al-mukheef Monetary doctor makilo Mufti kuku The Infinity
Huko wapi Mzee wa makasiriko na maumivu kimsboyZamani nchini kwetu Tanzania Uislamu wa Shia ama ushia ulikuwa ukitambulika kama ni wa waumini kutoka Asia pekee.
Ila miaka ya Karibuni Kuna ongezeko kubwa Sana Kwa watanzania asilia kujiunga Katika madhehebu tukufu ya Shia.
View attachment 3410009
Nigeria inaongoza Kwa mashia Sub Sahara.
Tafiti za kweli na uhakika zinaonesha idadi ya mashia katika uislamu ni 30% na ifikapo 2050 itakuwa 50% nusu Kwa nusu na suni.
Yani inapendeza Sana. Allah ashukuriwe.
Hapo Chini ni kipenzi chetu cha dhati Imam Hussain ibn Ali aliyeuwawa kikatili kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
View attachment 3410004
View attachment 3410006
adriz Lamborghini Akhi Makonde plateu Al-mukheef Monetary doctor makilo Mufti kuku The Infinity
Muhimu hawakumchinja yesu
Mkuu wewe kweli ni Shia au unatuenjoy tu
Hilo ni kafiri lenye mapembe HasaMkuu wewe kweli ni Shia au unatuenjoy tu