WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ndoto za mchana hizoNgoja Russia iiangushe Marekani, then mkuje hapo muone uzuri wa ujamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto za mchana hizoNgoja Russia iiangushe Marekani, then mkuje hapo muone uzuri wa ujamaa.
Umeweza kujua mazuri na mabaya ya Marekani kwa sababu wako Transparency mno tofauti na China na Urusi ambako msemaji wa mwisho ni Serikali hata kama ni bovu namna gani bado itakupa takwimu chanya ambazo hazina faida kwako,na ukumbuke kuwa hakuna mtu mwizi duniani kama Mchina endeleeni kumpamba huku akiendelea kuwafilisi taratibu kwa ujinga wenu na upumbavu wenu,Madini yataisha,wanyama wataisha na mwisho atawanyang'anya nchi yenu.Kuna aina za ujamaa. So inabidi uwe makini sana. Mfano china ni nchi ya kijamaa na uchumi wao wanafanya kutumia mbinu za kisasa za kijamaa kusurvive. Pia mataifa ya kiarabu wahindi wengi ni wajamaa ila shida tuna elimu ndogo sana ya ujamaa na namna unatakiwa kufanya kazi.
Ujamaa una hasara kama kuna idadi kubwa ya wazembe wanategemea wachache wapate wao watumie.
Mfano Tanzania kuna idadi kubwa ya raia wanataka serikali ifanye mambo yote wao wakiwa na mchango mdogo sana wa kodi au mapato kwa serikali. Matokeo yake pesa zinakuswanywa Dar zinakwenda kuzikwa huko vijijini ujenzi wa miradi ambayo haina mapato na inaishia kuligharimu taifa mabilioni ya Pesa yanayopotea bila kurudi.
Nenda kausome tena uchumi wa china namna una operate halafu utaelewa wao wanadeal na aina gani ya uchumi na kwann wanaipitia marekani.
Urusi pamoja na kuanguka miaka yote tokea miaka ya 90 mbona bado yupo juu na hatikisiki kiuchumi.
Mtazame marekani, nje anaongea sana propaganda nyingi ila ndani huko changamoto alizonazo afrika ikifunga nae mipaka jamaa atakuwa katika hali mbaya sana maana anategemea kuishi kwa kusumbua wengine ndipo yeye apate.
So kwa kumalizia acheni hizi propaganda za magharibi. Kitu chochote ni kizuri ukikifanya kwa balance nzuri. Huwezi ukawa 100% mjamaa au 100% bepari. Kunahitajika balance. Jambo ambalo China ndio analifanya kwa sasa anatumia mifumo yote ya communists na ubepari.
Kweli kabisa,China wamevumbua nini kama siyo kutuibia rasilimali zetu kutokana na ujinga wetu?Vumbuzi na uboreshaji(inventions and innovations) wa teknolojia muhimu zilizofanyika na kubadili maisha ya binadamu duniani kwa asilimia 90% zimetokea katika mfumo wa ubepari
Kama hutaki ku link na Baba mwenye Nyumba, kwenye usafi ili Nyumba mnayoishi isimame iwe safi, hata choo hutaki kusafisha lkn unakitumia sidhani kama una akili nzuri!!Ipo hivi hao mabepari wachache kwenye mfumo wa ujamaa ni lazima wawe wanalink na watawala au watawala wananufaika direct au indirect Ili waweze kusurvive nje ya hapo ni lazima washughulikiwe. Tanganyika bus alisurvive kwa kutoa mabus yake wakati wa vita vya kagera, wapo matajiri walioshughulikiwa baada ya kugoma kutoa au kushindwa kutoa mali zao
Hao wazungu siyo wezi??? wao waliiba mpaka watu eti kwa kisngizio cha Utumwa!! tena hao mabwana zako ndo hatari kabisa DRC,SOMALIA,Nigeria leo, alshaababu Boko haram nk hii hakuna amani ajili yao.. hao unaowasifia!Umeweza kujua mazuri na mabaya ya Marekani kwa sababu wako Transparency mno tofauti na China na Urusi ambako msemaji wa mwisho ni Serikali hata kama ni bovu namna gani bado itakupa takwimu chanya ambazo hazina faida kwako,na ukumbuke kuwa hakuna mtu mwizi duniani kama Mchina endeleeni kumpamba huku akiendelea kuwafilisi taratibu kwa ujinga wenu na upumbavu wenu,Madini yataisha,wanyama wataisha na mwisho atawanyang'anya nchi yenu.
Angalia sasa unavoingia chaka ILE NDO ZUGA YA KIBEBERU SASA KM HUJUI!! umjue beberu ummalize?? walikuaminisha ujinga eti wako transparency na wewe bichwa hilo!!meweza kujua mazuri na mabaya ya Marekani kwa sababu wako Transparency mno tofauti na China na Urusi
Huo ni mtazamo wako,lakini nchi nyingine zinasumbuliwa na ukabila(DRC) Na nyingine udini(Nigeria,Sudani na Somalia) hapo unawasingizia Wazungu,mbona nchi nyingi za Waafrika zilitawaliwa na hao hao Wazungu na hakuna machafuko???Umaskini wetu wa fikra unatupeleka huko.Hao wazungu siyo wezi??? wao waliiba mpaka watu eti kwa kisngizio cha Utumwa!! tena hao mabwana zako ndo hatari kabisa DRC,SOMALIA,Nigeria leo, alshaababu Boko haram nk hii hakuna amani ajili yao.. hao unaowasifia!
wanahostoria mbaya/chafu Barani africa, kwanza walitakiwa tusiwape hata jamboo!! tangu zama za ALEXANDER. hawatupendi wanatuua hovyo wanatuita nyani juzi juzi hapa wamemuaa george floyd,
weusi wamelia weee!! muuajai Beberu kaambulia kwenda kuka State House, bado weye unawakumbatia basi umelishwa limbwata kiuno, na bado utakula sana, sisi hatukuui ila utakuwa Mnyonge milele mpaka ufe!
bora unyonywe na usiye mjua kuliko nyonyaji sugu unaye mjua vyema na hana jipya! macho unayo lkn huoni. siku nikiwa Rais lazima jumuiya ya Madola ife!kifo cha mende!
Wewe ni mkoloni mweusi bila shaka.Angalia sasa unavoingia chaka ILE NDO ZUGA YA KIBEBERU SASA KM HUJUI!! umjue beberu ummalize?? walikuaminisha ujinga eti wako transparency na wewe bichwa hilo!!
hayo unayo yaona leo ni ya mwaka 45, sasa jifanye umewaweza uone moto wa Gesi!
Hakuna kitu kama hicho cha russia kuiangusha America , never,Ngoja Russia iiangushe Marekani, then mkuje hapo muone uzuri wa ujamaa.
AFadhali mara mia mkoloni mweusi mwenzangu, tuliye nae hapa! hapa kwetu miaka yoote!!! anaweza ona huruma akakutupia hata fupa bovu!! kuliko mweupe anaye chukua na kwenda kulia kwao mafichoni tusipo pajua!Wewe ni mkoloni mweusi bila shaka.
China bado ni wakomunist mpaka leo japo wanaendesha uchumi wa kibepari. Kuna viwanda vingi sana china ambavyo ni mali ya serikali. Nchi za Scandinavia za Norway, Sweden na Finland ni za kijamaa, lakini uchumi unaendelea kibepari. Ujinga katika uongozi wa nchi ndio unaorudisha nyuma nchi, siyo siasa za ujamaa. Tulipata viongozi wajinga ambao hawakuwa na vision bali kutaka kukamilisha term zao tu na hivyo wakaanza kuuza viandwa na mashirika kiholela na kuiacha nchi haina dira. Ujamaa wenye dira hauurudishi nchi nyuma.
Atakupa nini wewe ulivyo mburura,Magufuri aliiba rasilimali nyingi za Tanzania akapeleka kwao Chato na Burigi akiwa na maono ya kuwa siku moja CHATO iwe nchi huru inayojitegemea na hapo ndipo wapenda mapambio mnapokwama.AFadhali mara mia mkoloni mweusi mwenzangu, tuliye nae hapa! hapa kwetu miaka yoote!!! anaweza ona huruma akakutupia hata fupa bovu!! kuliko mweupe anaye chukua na kwenda kulia kwao mafichoni tusipo pajua!
tena walivyo wanakuja kwa zamu wale !! hawataki mazoea! mara aje mkali, safari hii nyingine mpole, mara wa wastani, yaani full vituko lkn baadhi yenu hawastukii mchezo!
Hapo unakosea sana Mkuu! Mzungu ni mtu mbaya ever!! kwa nini sisi tusiwe na ukabila Bongo??? Nyerere aliliona hilo mapema sana!! sisi wazungu walitugawa kikanda!! kusini Wanyakyusa walifanywa BoraHuo ni mtazamo wako,lakini nchi nyingine zinasumbuliwa na ukabila(DRC) Na nyingine udini(Nigeria,Sudani na Somalia) hapo unawasingizia Wazungu,mbona nchi nyingi za Waafrika zilitawaliwa na hao hao Wazungu na hakuna machafuko???Umaskini wetu wa fikra unatupeleka huko.
Jiwe anahusika ! Ndiye aloweka utaratibu wa uchumi kuwa centralized na government na kuuwa kabisa sekta binafsi, hii ndizo mindsets za kijamaa ,Hoja Ujamaa na Ubepari! Hayo ya Jiwe yanatoka wapi? Kwani hapa Africa kuna inchi ngapi ambazo zenyewe zina mlengo wa kibepari na bado maskini?
Hata hujui kuwa weye ndo Mburula!! sasa hiyo chato ni ulaya??? au unafikiri kutumia makalio??....hata chato ikiwa nchi huru tofauti ilimradi ni Muafrica safi sana! tungeomba uraia huko! kwanza wanatuona wenzao tu!Atakupa nini wewe ulivyo mburura,Magufuri aliiba rasilimali nyingi za Tanzania akapeleka kwao Chato na Burigi akiwa na maono ya kuwa siku moja CHATO iwe nchi huru inayojitegemea na hapo ndipo wapenda mapambio mnapokwama.
Unajidanganya mchana kweupe kuanguka kwa USA ni suala la Historia tu!! super powers zooote Duniani zinakwenda kwa zamu!! zamu!! kwa mzunguko wa kidunia.....Hakuna kitu kama hicho cha russia kuiangusha America , never,
Kitu pekee ujamaa umefanikiwa ni uongo na unafiki . Ndo mana umasikini hautuachi
Jibu rahisi ni NDIYO. Jibu refu siwezi kuliandika; kuna waliokuwa na vision ambazo hazikukamilika na kuna ambao hawana vision kabisa.Tumebadilisha viongozi mara 6, unataka kusema kuanzia Nyerere mpaka Samia wote hawana vision?
ExactlyMagufuli ndio alitaka kuturudisha huko, mambo ya serikali kufanya kila kitu, sekta binafsi kuonyeshwa kuwa ni wanyonyaji na wimbo wa mkombozi wa wanyonge ukatamalaki
Ndio maana hata serikali ya sasa waseme ina upigaji namna gani, attitude yake kwa sekta binafsi na uwekezaji ni nzuri na ndipo ninapoona unafuu
hakuna cancer kubwa inayoua uchumi na ubunifu wa nchi kama ujamaa