Ujamaa ni sababu mojawapo kubwa ya umasikini na uharibifu wa nchi nyingi za Afrika

Umeweza kujua mazuri na mabaya ya Marekani kwa sababu wako Transparency mno tofauti na China na Urusi ambako msemaji wa mwisho ni Serikali hata kama ni bovu namna gani bado itakupa takwimu chanya ambazo hazina faida kwako,na ukumbuke kuwa hakuna mtu mwizi duniani kama Mchina endeleeni kumpamba huku akiendelea kuwafilisi taratibu kwa ujinga wenu na upumbavu wenu,Madini yataisha,wanyama wataisha na mwisho atawanyang'anya nchi yenu.
 
Vumbuzi na uboreshaji(inventions and innovations) wa teknolojia muhimu zilizofanyika na kubadili maisha ya binadamu duniani kwa asilimia 90% zimetokea katika mfumo wa ubepari
Kweli kabisa,China wamevumbua nini kama siyo kutuibia rasilimali zetu kutokana na ujinga wetu?
 
Kama hutaki ku link na Baba mwenye Nyumba, kwenye usafi ili Nyumba mnayoishi isimame iwe safi, hata choo hutaki kusafisha lkn unakitumia sidhani kama una akili nzuri!!

Vita haikutegemewa sasa basi ili muishi inabidi mpigane tu! kwani huyo Tanganyika si ni mTanzania?? na zile ndege za Idd Amin zilizo tupa Mabomu kisiwani sanane Tanganyika Bus unadhania alikuwa na amani Moyoni?? mali zooote zile?

siyo huyo tu wakurya Tarime wasukuma wamasai Arusha waliambiwa kuchangia ng'ombe wanne, wanne lkn wakatoa kumi kumi! ule ni moyo wa kupenda nchi unayopatia kipato!!

Ni sawa na wewe jambazi anakuvamia mkeo najichekesha tu na kaka jambazi tena anamzawadia papuchi! ivi huyo mke utampenda kweli??
 
Hao wazungu siyo wezi??? wao waliiba mpaka watu eti kwa kisngizio cha Utumwa!! tena hao mabwana zako ndo hatari kabisa DRC,SOMALIA,Nigeria leo, alshaababu Boko haram nk hii hakuna amani ajili yao.. hao unaowasifia!

wanahostoria mbaya/chafu Barani africa, kwanza walitakiwa tusiwape hata jamboo!! tangu zama za ALEXANDER. hawatupendi wanatuua hovyo wanatuita nyani juzi juzi hapa wamemuaa george floyd,

weusi wamelia weee!! muuajai Beberu kaambulia kwenda kuka State House, bado weye unawakumbatia basi umelishwa limbwata kiuno, na bado utakula sana, sisi hatukuui ila utakuwa Mnyonge milele mpaka ufe!

bora unyonywe na usiye mjua kuliko nyonyaji sugu unaye mjua vyema na hana jipya! macho unayo lkn huoni. siku nikiwa Rais lazima jumuiya ya Madola ife!kifo cha mende!
 
meweza kujua mazuri na mabaya ya Marekani kwa sababu wako Transparency mno tofauti na China na Urusi
Angalia sasa unavoingia chaka ILE NDO ZUGA YA KIBEBERU SASA KM HUJUI!! umjue beberu ummalize?? walikuaminisha ujinga eti wako transparency na wewe bichwa hilo!!

hayo unayo yaona leo ni ya mwaka 45, sasa jifanye umewaweza uone moto wa Gesi!
 
Huo ni mtazamo wako,lakini nchi nyingine zinasumbuliwa na ukabila(DRC) Na nyingine udini(Nigeria,Sudani na Somalia) hapo unawasingizia Wazungu,mbona nchi nyingi za Waafrika zilitawaliwa na hao hao Wazungu na hakuna machafuko???Umaskini wetu wa fikra unatupeleka huko.
 
Wewe ni mkoloni mweusi bila shaka.
AFadhali mara mia mkoloni mweusi mwenzangu, tuliye nae hapa! hapa kwetu miaka yoote!!! anaweza ona huruma akakutupia hata fupa bovu!! kuliko mweupe anaye chukua na kwenda kulia kwao mafichoni tusipo pajua!

tena walivyo wanakuja kwa zamu wale !! hawataki mazoea! mara aje mkali, safari hii nyingine mpole, mara wa wastani, yaani full vituko lkn baadhi yenu hawastukii mchezo!
 

Tumebadilisha viongozi mara 6, unataka kusema kuanzia Nyerere mpaka Samia wote hawana vision?
 
Atakupa nini wewe ulivyo mburura,Magufuri aliiba rasilimali nyingi za Tanzania akapeleka kwao Chato na Burigi akiwa na maono ya kuwa siku moja CHATO iwe nchi huru inayojitegemea na hapo ndipo wapenda mapambio mnapokwama.
 
Hapo unakosea sana Mkuu! Mzungu ni mtu mbaya ever!! kwa nini sisi tusiwe na ukabila Bongo??? Nyerere aliliona hilo mapema sana!! sisi wazungu walitugawa kikanda!! kusini Wanyakyusa walifanywa Bora

kanda ya ziwa Wahaya, Kaskazini Wachaga hao walipendelewa maksudi ili wawasaidie kutawala weye bado mtoto mdogo hujui haya! Nyerere kalipiga pin hilo!! kitu kingine vita ya 1 naya pili ya Dunia vilisaidia sana!

kwa vita ile Mkoloni hakukaa sana Bongo hata mrithi wake alijua tu hii iko siku ataachia tu!! kule wakoloni waliko kaa sana ndo pameathirika tena sikupeleki mbali Kenya, Burundi, Rwanda & Uganda hapo weee!

Mnajua Muziki wake kwa nini hao! hao wakimbizi wakija Bongo hawana shida???na wameolewa na kuwowa?? jibu ni mapandikizi ya chuki yanakuwa sponsored na hao hao weupe!!

Kwa nini anafanya hivo ni ili aendelee kuishi na kunyonya!! anajua tukiwa wamoja hivi hawezi...lkn pia SISI NI WABANTU...UKABILA UNATOKA WAPI ....NA UKO WAPI NA

Historia ya Wabantu asili yao ni moja tu piga ua! HAIBADILIKI HIYO labda km hukusoma!
 
Hoja Ujamaa na Ubepari! Hayo ya Jiwe yanatoka wapi? Kwani hapa Africa kuna inchi ngapi ambazo zenyewe zina mlengo wa kibepari na bado maskini?
Jiwe anahusika ! Ndiye aloweka utaratibu wa uchumi kuwa centralized na government na kuuwa kabisa sekta binafsi, hii ndizo mindsets za kijamaa ,
Afrika nchi karibu nyingi ni masikini , ila zinazoongoza kwa umasikini ni nchi zinazo practise ujamaa.
 
Atakupa nini wewe ulivyo mburura,Magufuri aliiba rasilimali nyingi za Tanzania akapeleka kwao Chato na Burigi akiwa na maono ya kuwa siku moja CHATO iwe nchi huru inayojitegemea na hapo ndipo wapenda mapambio mnapokwama.
Hata hujui kuwa weye ndo Mburula!! sasa hiyo chato ni ulaya??? au unafikiri kutumia makalio??....hata chato ikiwa nchi huru tofauti ilimradi ni Muafrica safi sana! tungeomba uraia huko! kwanza wanatuona wenzao tu!

tunafanana Rangi lafudhi! zanzibar mbona hao hapo!! atanipa nini!! sikajenga Hospital/shule/ofisi nzuri/ barabara kwani anapita mwenyewe?? ukiumwa/mzazi mkeo unawaishwa faster kwenye kabarabara ka lami fyaaa!

then unarudi home fyaaa! unaanda makange kumpelekea mkeo mzee huyo hosp. fyaa na kibaiskeli cha mkopo wa kijiji!..huoni unafuu huo?
 
Hakuna kitu kama hicho cha russia kuiangusha America , never,
Kitu pekee ujamaa umefanikiwa ni uongo na unafiki . Ndo mana umasikini hautuachi
Unajidanganya mchana kweupe kuanguka kwa USA ni suala la Historia tu!! super powers zooote Duniani zinakwenda kwa zamu!! zamu!! kwa mzunguko wa kidunia.....

mwanzo Ilianzia Middle East ya leo!! ikaenda kwa mzunguko mpaka sasa ni USA lazima itafuata China tu haina ubishi hiyo! na china iko njema na bado itakuwa njema! na Afirica iliwahi kuwa super power kwa miaka mingi sana!
 
Tumebadilisha viongozi mara 6, unataka kusema kuanzia Nyerere mpaka Samia wote hawana vision?
Jibu rahisi ni NDIYO. Jibu refu siwezi kuliandika; kuna waliokuwa na vision ambazo hazikukamilika na kuna ambao hawana vision kabisa.
 
Exactly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…