Ujamaa ni sababu mojawapo kubwa ya umasikini na uharibifu wa nchi nyingi za Afrika

Haya maelezo yako ya ukabila, ukanda na udini yanahusiana vipi na ujamaa na ubepari?
 
JPM kama maji usipoyaoga, utayanywa, usipoyafulia, utayapikia na mwisho itamwagilia roho yako ya chuki kujifariji, baada ya hapo unakumbuka umesahau kuchamba kinyesi kilicho kichwani kama dagaa kamba. Ukikumbuka unaosha uso ndiyo unakumbuka aaaha kumbe JPM sio muasisi wa ujamaa. Wenye akili wanakushangaa uzi unahusu ujamaa na JPM sio muasisi wa ujamaa sasa hapa kaingia je ! Unakuja kugundua kama kinachosumbua ni kutu zilizo kwenye vichwa ambavyo zitaitajika brashi ya waya kusugua.
 
Haya Bwana.
 
Ni lini middle east waliwahi kuwa superpower?
 
Jamani jamani!! UJAMAA NA USHIRIKA!! ...KUNA Shida gani watu kufanya kazi pamoja?? aumie ndo sielewi??
kwanza kuna faida lukuki moja mnamaliza mapema na kukuza urafiki!!

Kama Baba yako alikuwa mzembe anashinda kirabuni kutwa kucha! inatuhusu nini sisi?? siyo sababu za kulaumu ujamaa wetu mtuacheeee!!.... sasa nikitamka moja wewe malizia la mbele .
ELimu,.... .primary hadi chuo kikuu!
AFYA. .....
Usafiri!....
Warrant!
Jifunze kusoma na kuandika...
Usharikani kwetu tulikuwa na Duka la Kijiji safiii!! ma trekta ya kijiji weee!! mashine ya kijiji bei fair kabisa!...Basi la kijiji mpaka leo lipo! linafanya shanting! sema kijijini kwenu huko Mahulunga Mungu aliwalaani tu!

Usisingizie ujamaa!!.......hata mbinguni ni ujamaa wa utatu mtakatifu weye nani ukatae Ujamaa wetuuu!...mtuachie ujamaa wetu hauwahusu na siku nikikamata mtayamba kifukuto!

Leo hii!! nani atakupa mambo hayo bureee?? kama wewe siyo mchawi basi utakuwa mchawi!! usinakiri kila unachoambiwa wee kijana tumia akili kidogo!!
 
Ni lini middle east waliwahi kuwa superpower?
Mwaka 332 BC, Alexander the great alikamata Misri ya kale ...as kwa nini alipigana vita kuelekea Kusini mwa Ugiriki?? badala ya kaskazini? alikuwa ana tafuta nini huko? kwa nini hakuelekea Kaskazini au Mashariki mwa ugiriki penye maendeleo leo??

Ni hapo hapo kwenye ushindi wa Alexander the Great ndo wazungu walianza kuwa na ma nguvu ya kijeshi hasa hasa baada ya kuitia mkononi Misri ya kale ndo kabisaa akawa na nguvu kama zooote,

Over time utawala wa Misri na pesian vilikuwa vinaenda altenatively Alipoishinda kivita Persian Empire! na wanajeshi wake na yeye mwenyewe hakuona haja ya kuendelea India.

so baada ya ealex kufa wajeda wake wakaanzisha Ptolemaic empire! wakazigawana nchi hizo wao kwa wao hapo waliendaaa ndo wakamzaa yule Mama mremboooo Dunia nzima haijawahi kumpata Mdada mrembo km yule!

sababu kwingine koote hakukuwa na Maendeleo sana!! na pia utajiri na Maendeleo ya Misri ulimvutia!! hakuna nchi ya Middle East ktk historia bali ni political geographical Areas iliyoundwa na wahuni wa G.Britain!!

Hiyo Middle East ya Leo icluding Modern Israel ni part ya North East Afrca tu!! rejea East africa Lift valley km ulisoma shule vizuri hili bonde linaanzia Tel aviv! na kuishia Msumbiji then linapiga km v......

zamani za Yesu kutoka Misri walikuwa wanakatisha kwa miguu tu faster! wanawahi minada kule! hata Yesu alipowindwa na Herode alipiga kwa miguu tu kwenda ukimbizini nasema hayo ujue kuwa ni karibu!!

nchi ya ahadi ina mito minne!! sasa jiulize kwa nini inaeleweka miwili tu? kwa nini?

Wakati tuna pata uhuru nchi nyingi za kiafrica zilikuwa njema kiuchumi kuliko nchi nyingi za Asia!! lkn Colonial Masters' Nepotism ilizinyanyua HIZO NCHI ! maksudi tu. any way ntarudi.....
 
Haya maelezo yako ya ukabila, ukanda na udini yanahusiana vipi na ujamaa na ubepari?
Mbona rahisi tu!! Ukanda ni ili wamsaidie Mkoloni kutawala kirahisi, ktk maeneo hayo!! hao ndo wangekuwa tabaka la juu!! ktk kanda husika! mfano kanda ya ziwa wangekuwa ni wahaya!!

wenye hela ndefu/Elimu kubwa na bora /maofisa wakubwa serikalini, kuliko makabila mengine yoote pale kandani! walikuwa wahaya! na kweli wahaya walishaanza kulewa mafanikio ya mtego huu!!

mpaka leo wahaya wana jisikia sana! wabinafsi mnoo! umimi! na ni walugha lugha sana! haya yoote ni matokeo ya Mkoloni sijui aliwaroga na nini>?? hata ofisini hkn ajabu utasikia ''wabonaki waitu''!

asingekuwa Nyerere!! mjanaki wangewapanda kichwani woote nyie mbuzi wakafara achilia mbali kanda ya ziwa! ivoivo na kanda nyingine ndo alivyo fanya!

asa nchi jirani maweeee ndo sisemi kabisaaa! hao wanatoana hata ngeu waziwazi na bado wazungu wamo humo!! hawaachii kamwe!! AL SHAABABU ITAWAKOMESHA!

kiukabila na wale ni makabila tofauti tofauti wanatoa wapi pesa??maskini wale?? wanaionea wivu Tanzania wanatamani kama ule mpaka unge nyoooka kutoka Tanga basi jua tu...

Nyerere, Butiku, Waryoba, kiaro Nyarusarenk , wangekuwa WAkenya! NDo nasemaga mumuheshimu san mjerumani huenda mngekuwa hamjapata uhuru mpaka leo! make nyerere angekuwa kenya
 
UKWELI MTUPU. Nyerere alituvuruga sana, Bado kuna wapuuzi wanaendelea kumtukuza.
 
UKWELI MTUPU. Nyerere alituvuruga sana, Bado kuna wapuuzi wanaendelea kumtukuza.
We ungejiua tu? au kamaba huna?? au uende tu usiko vurugwa?? kwa nini ulikaaa nasi! wenzako kina Mohamed Babuu!! kambona walikimbia mazimaa!...na bado! sisi tutawavuruga zaidi!

na ndo ivo nchi nzima wauza watumwa hawanaga amani na Nyerere!..sababu ile Damu iliyomwagwa na Babu zao ina walilia!
 

Kwa hiyo China na Russia ni masikini wa kutupwa!?
 

Umechanganyikiwa wewe
 
Umechanganyikiwa wewe
Ndo ivo! watu wenye akili nyingi kama Yesu tunaambiwaga ivo!...hata Julius Nyerere alipokuwa anadai uhuru aliambiwa ivo ivo na kupuuzwa mnooo! hata makazini humo ukibezwa bezwa km ivi ujue una akili mingi ndani yako!
 
Ndo ivo! watu wenye akili nyingi kama Yesu tunaambiwaga ivo!...hata Julius Nyerere alipokuwa anadai uhuru aliambiwa ivo ivo na kupuuzwa mnooo! hata makazini humo ukibezwa bezwa km ivi ujue una akili mingi ndani yako!

Nyerere sie alieleta harakati za kudai uhuru acha kupotosha, ALizikuta harakati zipo tayari mjini kitambo akadandia Basi
 
Sijui mnautafsiri vipi Ujamaa, ila nendeni mkajifunze upya.


Halafu kuhusu suala la Sera ya ujamaa kuzuia uwekezaji kutoka nje kulitokana na Nchi nyingi za kiafrika kutengeneza "Total Sovereignty", Wakenya wao wali adopt Ubepari kitambo, hatukatai wametuzidi kiuchumi, ila nakuhakikishia. Nchi inayoitwa KENYA leo hii, sio Total governed by indigenous.

Tafuta kijitabu cha UJAMAA:ESSAYS ON SOCIALISM, kasome vizuri alichoandika Mwalimu, kisha urudi hapa
 
Ujamaa cyo mbaya
 
Venezuela provides Iran with 1 million hectares of farmland

According to Iranian officials, Venezuela has provided one million hectares of agricultural land for cultivation, "while the world is facing a shortage of strategic reserves"


(HIYO HAPO NDO MAANA HALISI YA UJAMAA, mnawawekea vikwazo ili waonekane wamefeli....sasa wanapigana tafu...... ujamaa ndio mkombozi wa kweli)

 
Ungeniambia wizi wa kura ungenishawi maana uchaguzi uliopita niliona tani za viroba vya kura kwamacho yangu.
 
Venezuela sio nchi ya Kijamaa, ni mchanganyiko unaokaribiana lakini pia daraja la watawala wanatumbua sana raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…