Kwahio alikuwa Tapeli kwa kusena kwamba TANU hawaangalii imani yako kuweza kujiunga (Ni Chama cha Siasa na si Vinginevyo) kumbe hupewi uanachama mpaka uwe na Imani fulani ? Na motive ya Utapeli wake ilikuwa nini kwa muktadha huu ?Tanzania udini upo toka kipindi cha Nyerere Uislam na Ukristo.
Nyerere alikuwa tapeli
Alikuwa tapeli mpuuzi yule TANU hakikuwa chama cha kijamaa.Kwahio alikuwa Tapeli kwa kusena kwamba TANU hawaangalii imani yako kuweza kujiunga (Ni Chama cha Siasa na si Vinginevyo) kumbe hupewi uanachama mpaka uwe na Imani fulani ? Na motive ya Utapeli wake ilikuwa nini kwa muktadha huu ?
TANU kilikuwa Chama cha Nini na yeye itikadi yake ilikuwa nini..., By the way badala ya kujadili Ideas au Ideology unajadili mtu jambo ambalo haliongezi tija yoyote katika mjadala at hand.....Alikuwa tapeli mpuuzi yule TANU hakikuwa chama cha kijamaa.
Wewe nae ni tapeli kama zee lile puuuzi.
Unajua maana ya UJAMAA kwamba Ukomunisti ndio Ujamaa au Ukomunisti na ideas hizi zilianzia CHINA ? Hivi unadhani alipokulia yeye au wananchi wenzake kwenye makazi yao kabla ya Ukoloni waliishi maisha ya namba gani ? na Anti-Dote ya kunyonywa kwa majority ilikuwa nini kifanyike ?Kwenda China mara moja tu udenda wa ukomunisti ukamtoka akadhani mawazo yake ya kipuuzi yatafanikiwa Tz. Utapeli wa kufanya TANU chama cha kijamaa ulifeli vibaya kwa kuanza kwake yeye mwenyewe.
Kwanini ajiondoe ? Yeye ni Muumini ila Uumini wake au lack of unaingilia vipi na mwingine atakayekuja kama hana Imani ? Hii inampunguzia vipi hoja za atakayekuja kama sio Muumini ? Hivi hata umesoma hio Hutoba na kujibu Hotuba kwa Hoja au una Hoja yako ya Utapeli wa Nyerere (Kama ndivyo nadhani ni vema kuanzisha uzi mwingine wa Utapeli wake sababu hapa tutakuwa tunajaza server kwa nonsensical na allegations ambazo haziingiliani kabisa na Hoja at hand....Alipaswa kwanza yeye mwenyewe ajiondoe kwenye dini abaki mtupu awe mfano ndio aanze kushawishi wanachama wake kuhusu habari za dini na kuamini au kuto kuamini habari za Mungu.
Nadhani ungesoma hio Hotuba ungejibiwa na ulichoweka hapa..., Paragraph za mwanzo kabisa kasema haya Kwamba Socialism ya huko sio ya Hapa kuna wale wanakuuliza kama una Imani basi hauna nafasi ila TANU hayo hayapo yoyote na aje wala hakuna mjadala wa Pepo au Uwepo au kutokuwepo kwa Mungu....., Nadhani ukitumia muda kuangalia hio Hotuba itapunguza kujirudia rudia....Wale wakubwa zake wakina Mao wale sasa na chama chao cha kikomunisti ndio unaweza kuzungumzia habari hizo za dini kutokuwa na nafasi ndani ya chama ila Nyerere alikuwa anafanya utapeli wa kipumbavu.
Na wewe hapa unaleta utapeli wa kipumbavu wa lile zee puuzi.
Kwamba nimekosea Ku-attach hio PDF sio ya Hotuba au ya sio ya JKN ? au niliochoqoute kwa ufupi kwa ambao hawajasoma PDF nimepotosha ? Nadhani cha maaba ni kuonglea ujumbe aliotaka kuuweka katika hili suala la Kwamba CHAMA / NCHI hakina DINI rasmi kwahio hapa tukiongelea tija au mapungufu ya kwenda njia hio nadhani ndio jamba la maana na sio semantics za Usekyula au lack of thereof... kwa kwenda huko hata kina JKN wangejikita huko na sio kuzungumzia Maharage, Maji na Mabarabara.....
What has this got to do with anything ? Kwamba anayeabudu Mungu Nusu, Robo au anayeabudu Mizimu inaingiaje kwenye Mjadala wa watu ambao hawajadili suala hilo ? ni Kwamba uamuzi ni either kuweka Imani kwenye Menu au Imani kuwa kigezo cha wanaokutana au kutokuwa Kigezo hivyo kila ajaye na aje sababu kinachowaunganisha sio Imani yao.......
Kwamba wakijunga TANU au wakiwa wa-TANZANIA under Nyerere wasiende kwenye Ibada zao ?
Kwamba!!! wamelazimisha wapi ? Sheria Ipi ya Watanzania aliyoivunja Nyerere kwa kusema alichosema ? Utamaduni wao kina nani na Utamaduni wao Upi ?!!!!;
Hapa tukianza mambo ya semantics na definitions za vitu kwa mtizamo wako au mtizamo wa mtu / watu fulani tutatoka kwenye point ya maana kwahio hio argument ya kwamba Itikadi ni Imani na separation of Church and State nayo ni Imani ni different argument ambayo nadhani tukiiweka peke yake tunaweza kufika mbali zaidi kuliko kugusa gusa hapa na paleUfafanuzi: Secularism ni imani kama ambavyo itikadi ni imani.
Kwahio kwa macho makavu kabisa unaamini kwamba mtu akiwa mjamaa anamkana Mungu ? By the way aliyoweka hii definition Universal kwamba Ujamaa ni kutoamini uwepo wa Mungu ni Nani ? Na aliyesema version zote za Ujamaa lazima ziwe sawa na hawawezi wakaja watu wakaamua kujiongoza wachukue hiki na kile na kusema wanaishi kijamaa (kama ndugu ) ni nani wa kuwakataza kwamba nyie sio wajamaa sababu mna Imani zenu individually ?!!!Ujamaa ni imani kama ambavyo dini ni imani.
Theology ya imani ya Ujamaa kama imani ya Usekyula ni KUTOAMINI UWEPO WA MUNGU.
Ilisimikwa na nani na lini ? Ni lini watanzania walikatazwa kuamini wanachotaka ? Au ni lini Tanzania imekuwa na Dini Rasmi au ni nini kinapungua ilivyo sasa kwamba wasio waumini na hata waumini ambao wana Haki ya kuabudu kila mtu anaisha maisha yake ? Tukiongelea originality ya chimbuko la mababu zetu kwenye hizi nyanja hizi Imani zilizopo leo ndio zilikuwepo wakati huo ? Kwahio you can argue hata hizi Imani zilisimikwa na Wakoloni....kwa lugha ingine ni imani iliyosimikwa tz wakitambulishwa watz kuwa hiyo ndio imani ya taifa.
Na ikasimikwa kwa katiba ya nchi.
Kuna mtu alikatazwa kuabudu ushasema issue ya baadhi kwahio utaona tatizo la kuleta mambo ya Imani kwenye vitu vinavyounganisha watu katika their common goals ambazo zinawagusa wote no matter Imani zao..., kwahio tungeweza kuamua kwamba Vyama vya Kidini pia viweze kuwa vyama vya Siasa na hao baadhi kuweza kuanzisha Chama chao kiongelee mambo ya Kiimani pia..., Je unaona hio ingekuwa na Tija zaidi ? Yaani hili la vyama kutokutenga watu kutokana na Imani zao ni baya kuliko lile linalobagua baadhi ya Imani ?Kimsingi imani hii ya taifa haikuwa ni matakwa ya watz wote kwani imani hii inakwenda kinyume imani za baadhi ya watz.
Hivyo imani hii ya Usekyula si universal ideology. Kwa hiyo its unconstitutional.
Imani ya Taifa kwamba kila mtu ana haki ya kuamini au kutokuamini anachotaka inaendana against Imani zao ? Kwamba wanapangia na wengine cha kuamini ?!!!!Hiki ndio chanzo cha baadhi ya jamii kuacha nyuma. Kwani hawakubaliani na imani ya taifa.
Hivi ni nani kasema wananchi wa Tanzania hawana Dini ? Hapa kinachoongelewa Tanzania kama nchi haina Dini rasmi ila wananchi wake ndio wana Dini as well as hata wapagani pia wapo, haijalishi imani yako wala lack of Imani haikuondolei Utanzania wako; Ukishaanza kusema Kikatiba Tanzania ni nchi yenye Dini zote wapagani watakuwa wanatenda kosa Kisheria..., ila mambo yalivyo Dini ni kitu cha individual / personal Imani yako wewe mimi hainihusu so long as sio Imani korofi sababu ikiwa korofi ni kwamba unakuwa nuisance kwa wengine hizo ni fujo....Tutafute itikadi universal na kama yatosha kusema tanzania ni mkusanyiko wa jamii tofauti zilizokubaliana kuishi pamoja. Sisi ni Wadaivasi. We are Diversity state na kwamba hii ndio iwe imani na itikadi ya nchi
Kisiasa tanzania ni taifa la dini zote, na sio taifa lisilo na dini.
Sasa hivi wanakatazwa ?Itikadi hii ina maana watu wa dini, kabila na makundi yote yanajumuishwa ktk kupigania ustawi wa nchi.
Tanzania / Serikali haina Dini ni sawa na kusema kwamba Wananchi wa Tanzania hawana Dini ? Kama Taifa / Serikali ina Dini ni Dini gani au Dhehebu gani ?Moja ya udhaifu mkubwa wa Usekyula kwa maana taifa lisilo na dini nin wamba baadhi ya jamii zimetengwa kwa kile kinachosemwa hawana weledi.
Hayo mambo ya kukosa weledi au kuwa na weledi ni nani ameyasema ? Kwanza unamaanisha nini katika neno Weledi ? Na kuna tatizo gani kujumuisha wote katika kujenga nchi yao (kunakofanyika sasa) na je kuna ulazima wa kumwambia mtu kwamba kabla haujajiunga kujenga taifa lako kwanza utuambia uwepo au kutokuwepo kwa Mungu ? Akikupa jibu either way kunapunguza vipi nguvu zake katika kuchangia katika ujenzi wa TaifaTaifa la dini zote litajumuisha jamii zote, kwani kiukweli jamii zote zina watu wenye weledi
Aliyesema Tanzania ni ya Wapagani ni nani ? Kwanini unapenda hizi labels ? Mwenyewe umesema watanzania wengi wanaamini uwepo wa Mungu (hence unajipinga katika statement yako) na je wale wachache wasioamini sio Watanzania ? Sasa kwanini tuingie kwenye mjadala wa uwepo au kutokuwepo wakati kila mtu ana haki ya kuamini na kufuatilia anachotaka bila kutengwa katika ujenzi wa Taifa ?Tusilazimishwe imani ya taifa kuwa ni taifa lisiloamini uwepo wa Mungu imani ya wapagani wakati asilimia kubwa ya watz inawakilishwa na watu wanaoamini uwepo wa mungu
Ndugu nadhani kuna nadharia ambayo inekurengeneza kiasi kwamba bado hujaelewa nachosema.Hapa tukianza mambo ya semantics na definitions za vitu kwa mtizamo wako au mtizamo wa mtu / watu fulani tutatoka kwenye point ya maana kwahio hio argument ya kwamba Itikadi ni Imani na separation of Church and State nayo ni Imani ni different argument ambayo nadhani tukiiweka peke yake tunaweza kufika mbali zaidi kuliko kugusa gusa hapa na pale
Kwahio kwa macho makavu kabisa unaamini kwamba mtu akiwa mjamaa anamkana Mungu ? By the way aliyoweka hii definition Universal kwamba Ujamaa ni kutoamini uwepo wa Mungu ni Nani ? Na aliyesema version zote za Ujamaa lazima ziwe sawa na hawawezi wakaja watu wakaamua kujiongoza wachukue hiki na kile na kusema wanaishi kijamaa (kama ndugu ) ni nani wa kuwakataza kwamba nyie sio wajamaa sababu mna Imani zenu individually ?!!!
Ilisimikwa na nani na lini ? Ni lini watanzania walikatazwa kuamini wanachotaka ? Au ni lini Tanzania imekuwa na Dini Rasmi au ni nini kinapungua ilivyo sasa kwamba wasio waumini na hata waumini ambao wana Haki ya kuabudu kila mtu anaisha maisha yake ? Tukiongelea originality ya chimbuko la mababu zetu kwenye hizi nyanja hizi Imani zilizopo leo ndio zilikuwepo wakati huo ? Kwahio you can argue hata hizi Imani zilisimikwa na Wakoloni....
Kuna mtu alikatazwa kuabudu ushasema issue ya baadhi kwahio utaona tatizo la kuleta mambo ya Imani kwenye vitu vinavyounganisha watu katika their common goals ambazo zinawagusa wote no matter Imani zao..., kwahio tungeweza kuamua kwamba Vyama vya Kidini pia viweze kuwa vyama vya Siasa na hao baadhi kuweza kuanzisha Chama chao kiongelee mambo ya Kiimani pia..., Je unaona hio ingekuwa na Tija zaidi ? Yaani hili la vyama kutokutenga watu kutokana na Imani zao ni baya kuliko lile linalobagua baadhi ya Imani ?
Imani ya Taifa kwamba kila mtu ana haki ya kuamini au kutokuamini anachotaka inaendana against Imani zao ? Kwamba wanapangia na wengine cha kuamini ?!!!!
Hivi ni nani kasema wananchi wa Tanzania hawana Dini ? Hapa kinachoongelewa Tanzania kama nchi haina Dini rasmi ila wananchi wake ndio wana Dini as well as hata wapagani pia wapo, haijalishi imani yako wala lack of Imani haikuondolei Utanzania wako; Ukishaanza kusema Kikatiba Tanzania ni nchi yenye Dini zote wapagani watakuwa wanatenda kosa Kisheria..., ila mambo yalivyo Dini ni kitu cha individual / personal Imani yako wewe mimi hainihusu so long as sio Imani korofi sababu ikiwa korofi ni kwamba unakuwa nuisance kwa wengine hizo ni fujo....
Na haya mambo hayajatokea kwenye Vacuum kabla ya separation of church and state kuna watu Kanisa liliwasurubu refer mtu kama Galileo na Kazi zake kuwa banned eti zinakwenda agaist the Church.... Galileo angezaliwa kipindi hiki ambacho tunasema Serikali / Chama hakina Dini huenda asingewekwa katika House arrest and we might have gained more from the genius....
Sasa hivi wanakatazwa ?
Tanzania / Serikali haina Dini ni sawa na kusema kwamba Wananchi wa Tanzania hawana Dini ? Kama Taifa / Serikali ina Dini ni Dini gani au Dhehebu gani ?
Hayo mambo ya kukosa weledi au kuwa na weledi ni nani ameyasema ? Kwanza unamaanisha nini katika neno Weledi ? Na kuna tatizo gani kujumuisha wote katika kujenga nchi yao (kunakofanyika sasa) na je kuna ulazima wa kumwambia mtu kwamba kabla haujajiunga kujenga taifa lako kwanza utuambia uwepo au kutokuwepo kwa Mungu ? Akikupa jibu either way kunapunguza vipi nguvu zake katika kuchangia katika ujenzi wa Taifa
Aliyesema Tanzania ni ya Wapagani ni nani ? Kwanini unapenda hizi labels ? Mwenyewe umesema watanzania wengi wanaamini uwepo wa Mungu (hence unajipinga katika statement yako) na je wale wachache wasioamini sio Watanzania ? Sasa kwanini tuingie kwenye mjadala wa uwepo au kutokuwepo wakati kila mtu ana haki ya kuamini na kufuatilia anachotaka bila kutengwa katika ujenzi wa Taifa ?
Duh, katika bandiko hili tunaipima waziwazi chuki ya dini ya amani dhidi ya makafiri.Nikwambie kitu?Mnaitukanisha na kuidharaulisha sana dini ya haki na amani pamoja na mtume wa Mungu wake.Kumbe kuwa mfuasi wa dini ya haki na amani kunabadilisha watu kuwa watata na wenye chuki isiyomithirika dhidi ya wasio wa dini yao.Kama dini haiwezi kukubadilisha kuwa mtu bora, mwema na mwenye upendo achana nayo.Haikufai kabisa.Utakufwa n sononaAlikuwa tapeli mpuuzi yule TANU hakikuwa chama cha kijamaa.
Wewe nae ni tapeli kama zee lile puuuzi.
Kwenda China mara moja tu udenda wa ukomunisti ukamtoka akadhani mawazo yake ya kipuuzi yatafanikiwa Tz. Utapeli wa kufanya TANU chama cha kijamaa ulifeli vibaya kwa kuanza kwake yeye mwenyewe.
Alipaswa kwanza yeye mwenyewe ajiondoe kwenye dini abaki mtupu awe mfano ndio aanze kushawishi wanachama wake kuhusu habari za dini na kuamini au kuto kuamini habari za Mungu.
Wale wakubwa zake wakina Mao wale sasa na chama chao cha kikomunisti ndio unaweza kuzungumzia habari hizo za dini kutokuwa na nafasi ndani ya chama ila Nyerere alikuwa anafanya utapeli wa kipumbavu.
Na wewe hapa unaleta utapeli wa kipumbavu wa lile zee puuzi.
Unajua ingawa naweza ku-sound kama an idealist am a pragmatist..., Hizi theory / idelogies ni kama guidelines wala sio Msahafu tukichukulia Socialism na Capitalism (na hapa sitaki kusema Ujamaa) theory inaweza ikakwambia kwamba moja ni opposite ya nyingine lakini realistically hakuna nchi ambayo ni 100 sociliast wala 100 percent capitalist..., Nchi kama USA pomoja na kujinasibu kama ya Kibepari lakini kuna Social welfare ya kufa mtu..... Now Je Ujamaa tunaongelea nini kama ni Commanding Heights za Economy kuwa kwenye State Ownership that is good, kama ni planned economy ya kupangiana Bei (kama sasa hivi sukari n.k. sijui bei elekezi n.k.) hio will never work and meddling will make it worse....Ndugu nadhani kuna nadharia ambayo inekurengeneza kiasi kwamba bado hujaelewa nachosema.
1. Pamoja na utetezi wako kuwa taifa halina dini.... but ukweli taifa lina imani.
Kumbuka dini ni imani. Na taifa letu inaongozwa na imani ya Ujamaa.
Kwani Ujamaa ni imani.
Unajua kwanini tuongelee kuwalinda hawa au kuwaonea hawa ? Kwanini wote wasiishi no matter wingi wao au uchache wao ? Point unayotaka kusema kwamba Ujamaa ni kulinda baadhi ya watu sikubaliani nayo unless hao watu ni so called wanaonyonywa (sikatai kwamba practically Ujamaa mwingi ulikuwa ni Ubepari kwenye ngozi za Kijamaa ambapo wachache waligeuza kula Keki wakati wengine wanashangaa) ila hio sio Misingi.... Na tatizo la kuangalia hizi theory ni kuchanganyana.... Mfano niki-qoute Hotuba....Kazi ya falsafa na itikadi ktk taifa ni ktk nchi za kijamaa ni kudhibiti walio wengi/ wachache AU kulinda walio wengi/wachache.
kwa hali halisi wapagani na jamii zenye unasaba na upagani ktk mataifa ya kijamaa hulindwa.
Haya ni maneno ya wajuzi wa mambo ya utawala sawa na attachment.
Hio ni sababu ya Kijamaa ? (kwamba tunachagua rangi) au ilikuwa sababu ya kijamaa kwamba most companies ni state owned hivyo automatically hawa sio kwamba walitengwa bali walijitenga; Vilevile sitaki kujikita kwenye theory sababu practically kilichotokea na utendaji mbovu sio necessarily what the theory / ideology says na hapa unaongelea Ujamaa versus Liberalism na Sio Ujamaa vs Capitalism of the time Kitu ambacho the Socialist at the time were fighting against....Na kwamba ni bora tz tungekuwa na version yetu ya Ujamaa na Usekyula ambao badala ya kudhibiti baadhi ya jamii na hasa wenye dini ungelinda dini zote.
Tofauti na mataifa ya kijamaa, mataifa ya kiliberali hulinda makundi yote ya kijamii.
Ndio huwezi kukuta siku moja nafasi za teuzi kuna watz wenye asili ya Asia.
Kwamba uwepo wa Sheria mbovu au uonevu wa baadhi ya watu ni sababu ya watu kufuata Ujamaa, Ubepari au hata Imani fulani ? Hivi unajua hadi watu kuamua Separation of Church and State ilikuwa kuondoa Uonevu kwa watu ambao sio wa Imani hio ? Na unaweza vipi kuepusha Imani moja au kutokuwa na Imani moja kuonea wengine zaidi ya kusema kwamba wewe kama nchi / serikali huwapangii watu cha kuamini wala huwatungii sheria ya Kuamini au kutokuamini bali wajipangie wenyewe ?Ndio maana utaona sheria kama ya ugaidi inawalenga na kukamatwa kundi moja tu la jamii. Sababu kubwa Usekyula ktk nchi za kijamaa hudhibiti baadhi ya makundi na hasa ya dini.
Mkuu hapa tu JF watu kumi tunashindwa kuelewana mambo ya Imani sasa hapo unataka iundwe Serikali ambayo inajumuisha watu accoarding to Imani zao, sasa Imani ipi itashika hatamu na kama zikikinzana what then ? Unaona kweli muda wa kuulizana kuhusu ugawanaji wa keki ya taifa (elimu, chakula, barabara, matibabu) hautoshi sasa tuongezeane muda wa kujadili Imani kitaifa ?Ndio maana najaribu kuleta fikra kuwa taifa linapaswa kuwa na itikadi ya kuunda serikali ya dini zote.
Ili sheria kandamizi kama ya ugaidi ifutwe ili kulinda watu wa dini zote.
Bali mhalifu yyt ahukumiwe kwa sheria ya uhalifu ambayo ipo.
Na kwa kuwa wapo watz wanaoamini itikadi ya taifa/serikal isilo na dini basi pia kuwepo na option ya sisi yenye kuamini na kutaka kuunda serikali ya dini zote. Kwa kuwa sisi si Wasekyula, sisi tunaamini uwepo wa Mungu na hivyo sisi ni Wadaivasi version inavyoamini uwepo wa Mungu.
Na wakishinda watu ambao Imani yao inasema labda hata Huduma za Ki-afya maybe blood transfusion inakwenda against Mungu na kuacha kuwekeza kwenye Mahospitali what then... Kikishinda Chama chaNa kwamba viwepo vyama vinavyoshindanisha itikadi hizi mbili.
1. Serikali isiyo na dini - hivi viwe vyama visivyoamini uwepo wa Mungu.
2. Serikali ya dini zote - hivi viwe vyama vinavyoamini uwepo wa Mungu.
Kwani uhalisia uko hivi.
1. Itikadi ya serikali isiyo na dini: no mfumo ulioshidwa.
Taifa letu linongozwa na ktk serikali
Mfumo huu inalinda Uasherati na waasherati na kudhibiti baadhi ya dini.
Serikali inakusanya Kodi kwa watu wote no matter Imani zao tukianza kupangia Kodi yangu ifanye nini kulingana na Imani ya fulani hatutafika hakuna mtu atatoa Kodi...., Na hata leo unaweza ukalaumu kwanini Kodi yangu inatumika kuwekeza kwenye vilezi unless Kiwanda cha kilevi kinazalisha zaidi na kuleta faida hata ya kumletea maji huyo Mpemba....Ni mfumo unaoaminisha kuwa tukimchanganya Mungu ambae hayupo/kauwawa maendeleo hayatopatikana. Matokeo yake kodi inayokusanywa pemba kwa mfano imepelekwa ktk kiwanda cha chibuku. Lkn kama serikali ingekuwa ni ya dini zote; watu wa pemba wasingekubali Jodi yao izalishe chibuku rather ingepeleka ktk kutoa huduma za kijamii bure na endelevu. Mfano afya, elimu.
Unapoongelea majimbo kwa muktadha huu ni kama kuongelea jambo lile lile microscopically..., kama jimbo langu mimi mkristo wengi ni waislamu what then ? Kwamba serikali na Sheria zinihukumu mimi kama Muislamu sababu ni minority ? Which is better kufanya hivyo au kuachana kabisa na mambo kuunganisha Imani na Serikali ?Nb: serikali inahodhi zaidi ya 50% ya share kwa kiwanda cha chibuku.
Nb: itikadi ya kuunda serikali ya dini zote inakubaliana na mfumo wa serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe. Case study mfumo wa utawala wa taifa la Switzerland.
Pitia attachment na jaribu kupima na hali halisi ya Usekyula nchini.
Mfano uko mingi ya udhibiti wa makundi huku waasherati wakilindwa
Unajua ingawa naweza ku-sound kama an idealist am a pragmatist..., Hizi theory / idelogies ni kama guidelines wala sio Msahafu tukichukulia Socialism na Capitalism (na hapa sitaki kusema Ujamaa) theory inaweza ikakwambia kwamba moja ni opposite ya nyingine lakini realistically hakuna nchi ambayo ni 100 sociliast wala 100 percent capitalist..., Nchi kama USA pomoja na kujinasibu kama ya Kibepari lakini kuna Social welfare ya kufa mtu..... Now Je Ujamaa tunaongelea nini kama ni Commanding Heights za Economy kuwa kwenye State Ownership that is good, kama ni planned economy ya kupangiana Bei (kama sasa hivi sukari n.k. sijui bei elekezi n.k.) hio will never work and meddling will make it worse....
Tukija kwenye vijiji vya Ujamaa it was badly planned and could never work, huwezi kuwa-force watu waache mali zao na kuwapeleka kama mifugo (people have free will) LAKINI naweza kukwambia modern cities of today they are nothing more than vijiji (watu wakiwepo karibu ni rahisi kuwapelekea huduma)..., Lakini kumbuka Israel na kibbutz walifanya hili jambo na kwenda to such an extreme hadi kuingilia haki za individual to me that was an utopian idea... Kwa ufupi ndio maana sitaki sana kujikita kwenye hizi theories sababu kama nilivyosema haya mambo sio msahafu ni mixture ya hapa na pale na kinachoweza kufanya kazi hapa huenda kwenye jumuia nyingine kisifanye
Unajua kwanini tuongelee kuwalinda hawa au kuwaonea hawa ? Kwanini wote wasiishi no matter wingi wao au uchache wao ? Point unayotaka kusema kwamba Ujamaa ni kulinda baadhi ya watu sikubaliani nayo unless hao watu ni so called wanaonyonywa (sikatai kwamba practically Ujamaa mwingi ulikuwa ni Ubepari kwenye ngozi za Kijamaa ambapo wachache waligeuza kula Keki wakati wengine wanashangaa) ila hio sio Misingi.... Na tatizo la kuangalia hizi theory ni kuchanganyana.... Mfano niki-qoute Hotuba....
Karne ya kumi na tisa. Wakati ambapo Ubepari Ulaya. Ubepari Ulaya, umekomaa sana. Ubepari: hapa wakati mwingine lazima ueleze maana ya Ubepari maneno haya maneno mapya yote haya: maana ya Ukabaila ni nini? Maana ya Ubepari nini. Ulaya si lazima kueleza hii. Wanajua kabisa Ukitamka tu wanajua maana yake. Ukisema Feudalism, Ulaya wanajua kabisa unasema nini. Huna haja ueleze-eleze. Mnyamwezi ukisema Ukabaila, anakuuliza: "Ukabaila ndio nini?” Ueleze taratibu, anauliza tena: 'Makabaila hao wako wapi?” Maana Unyamwezini hawapo. Hawapo 'hao wamiliki wa ardhi. Hao wanaomiliki ardhi, na nyinyi wengine mnakaa katika ardhi ya watu mnawatumikia tu; hawapo hao. Mnyamwezi hajui habari hiyo. Ulaya wanajua sana habari hiyo ya kwamba ardhi kama hii ya Tabora yote inaweza ikawa ni ya miamba miwili tu na wengine wote mnakaa katika ardhi ambayo ni yao hao miamba mkabaila wakubwa hao. Na mnakaa kwa ruhsa yao. Wanaweza kusema: "Toka katika arthi yangu; nenda zako”
Mnyamwezi hajui habari hiyo; hajui habari hiyo. Ulaya wanajua habari hiyo. Wanajua taabu ya kuwa huna ardhi. Ardhi ukitaka unamwomba mtu. Hakuna ardhi ya Ummal Unamwomba mtu,.binadamu, akupe ardhi.” Akupe kwa ruhusa yake; na akupe masharti yake. Waswahili Tanzania hamjui habari hii hata kidogo. Na uchungu wake hamuujui. Kwani tunapolieleza hili, wakati mwingine tunakinga hatari iko mbali. Waswahili hawana habari na hatari hiyo.
Hio ni sababu ya Kijamaa ? (kwamba tunachagua rangi) au ilikuwa sababu ya kijamaa kwamba most companies ni state owned hivyo automatically hawa sio kwamba walitengwa bali walijitenga; Vilevile sitaki kujikita kwenye theory sababu practically kilichotokea na utendaji mbovu sio necessarily what the theory / ideology says na hapa unaongelea Ujamaa versus Liberalism na Sio Ujamaa vs Capitalism of the time Kitu ambacho the Socialist at the time were fighting against....
Kwamba uwepo wa Sheria mbovu au uonevu wa baadhi ya watu ni sababu ya watu kufuata Ujamaa, Ubepari au hata Imani fulani ? Hivi unajua hadi watu kuamua Separation of Church and State ilikuwa kuondoa Uonevu kwa watu ambao sio wa Imani hio ? Na unaweza vipi kuepusha Imani moja au kutokuwa na Imani moja kuonea wengine zaidi ya kusema kwamba wewe kama nchi / serikali huwapangii watu cha kuamini wala huwatungii sheria ya Kuamini au kutokuamini bali wajipangie wenyewe ?
Mkuu hapa tu JF watu kumi tunashindwa kuelewana mambo ya Imani sasa hapo unataka iundwe Serikali ambayo inajumuisha watu accoarding to Imani zao, sasa Imani ipi itashika hatamu na kama zikikinzana what then ? Unaona kweli muda wa kuulizana kuhusu ugawanaji wa keki ya taifa (elimu, chakula, barabara, matibabu) hautoshi sasa tuongezeane muda wa kujadili Imani kitaifa ?
Na wakishinda watu ambao Imani yao inasema labda hata Huduma za Ki-afya maybe blood transfusion inakwenda against Mungu na kuacha kuwekeza kwenye Mahospitali what then... Kikishinda Chama cha
Serikali inakusanya Kodi kwa watu wote no matter Imani zao tukianza kupangia Kodi yangu ifanye nini kulingana na Imani ya fulani hatutafika hakuna mtu atatoa Kodi...., Na hata leo unaweza ukalaumu kwanini Kodi yangu inatumika kuwekeza kwenye vilezi unless Kiwanda cha kilevi kinazalisha zaidi na kuleta faida hata ya kumletea maji huyo Mpemba....
Unapoongelea majimbo kwa muktadha huu ni kama kuongelea jambo lile lile microscopically..., kama jimbo langu mimi mkristo wengi ni waislamu what then ? Kwamba serikali na Sheria zinihukumu mimi kama Muislamu sababu ni minority ? Which is better kufanya hivyo au kuachana kabisa na mambo kuunganisha Imani na Serikali ?
Mohamed Abubakar
Kaka nadhani jambo unalokosea ni uhuru wa hata wachache kufanya wanachotaka kufanya popote...; wewe hapo una uhuru katika premises zako kufanya lolote lile au kutekeleza Imani yako vyovyote vile...
Sasa naomba unijibu mfano kwenye Jimbo lako wako wa Imani fulani wameshinda, kwao mambo ya Pombe Vilabu au aina ya starehe kwao ni Haramu..., Sasa mimi kama Mtanzania ninayeishi hapo huoni kwamba utakuwa umeniwekea Sheria zako kwenye Mamlaka yangu (Yaani Sheria zako unanitungia hata mimi ) na sio kwamba upo kwako hata kwenye public...
Kwahio njia yoyote ya kuepusha hayo ni kila mtu na sheria zake kwenye premises zake tukiwa kwenye public tunaongozwa na sheria ambazo Imani ya mmoja haisumbui mwingine
Mohamed Abubakar
Kaka nadhani jambo unalokosea ni uhuru wa hata wachache kufanya wanachotaka kufanya popote...; wewe hapo una uhuru katika premises zako kufanya lolote lile au kutekeleza Imani yako vyovyote vile...
Sasa naomba unijibu mfano kwenye Jimbo lako wako wa Imani fulani wameshinda, kwao mambo ya Pombe Vilabu au aina ya starehe kwao ni Haramu..., Sasa mimi kama Mtanzania ninayeishi hapo huoni kwamba utakuwa umeniwekea Sheria zako kwenye Mamlaka yangu (Yaani Sheria zako unanitungia hata mimi ) na sio kwamba upo kwako hata kwenye public...
Kwahio njia yoyote ya kuepusha hayo ni kila mtu na sheria zake kwenye premises zake tukiwa kwenye public tunaongozwa na sheria ambazo Imani ya mmoja haisumbui mwingine
Argumentum ad Populum - Are Majority always right ?!!!Kwanini tuongezwe wote na imani ya Ujamaa wakati wengine imani hiyo inatusumbua.
The thing is ngazi yyt ya utawala kuanzia serikali ya mtaa ina mamlaka ya kutunga sheria na ni haki kuifata. Na usipofata unaingia makosani. Ni haki ya kidemokrasia.
Kwa mfano kijijini kwangu kumefunguliwa club cha usiku. Watu wengi wanalalamika. Nimewaambia mna haki ya kupiga kura ya maoni. Upande utakaoshinda ndio watakaowezesha baa hiyo ifungwe au iendelee.
Muhimu ipigwe Kira ya maoni. Sasa wengi ya wanaopinga
Ukifanya uchunguzi wengi ya wanaopinga ni wale wa imani moja ambao ndio majority. Lkn ktk kupiga kura haiangaliwi imani bali wingi wa kura.
Soma mfumo tuelewe nimekupa case study
Kwa ufupi tanzania ni muunganiko wa matabaka yenye mila, utamaduni tofauti lkn wako nchi moja.Mohamed Abubakar
Ngoja nichukulie tu Kazi husika na Nguo za kazi Husika; Mfano Jeshini; kwanini wanavaa wanavyovaa ? Binafsi kuna sehemu mimi kama mlipa Kodi nikitaka kwenda kupata huduma nitahitaji kuona sura ya anayenipa hio Huduma..., Na kama nikuona nguo za pale haziendani na maadili yangu basi sitaomba kazi pale taomba pengine
Argumentum ad Populum - Are Majority always right ?!!!
If two Wolves and a Sheep were to decide what's to have for Dinner a Sheep would be on the Menu everytime...
Unaongelea Bar Kijijini, kama hio Bar ni premises ya hao wachache, hawawapigii kelele wala haipo kwenye sehemu ya makazi kuleta kero..., Kwanini starehe ya wachache izuiwe na nyie wengi ? Pilipili msiyoila inawawasha kwanini ? Hapo si ni kuingilia Uhuru Binafsi?
Katiba hairuhusu Separation of Church / Faith na State ?Katiba inaruhusu hilo.
Ni sehemu ya haki ktk misingi ya kidemokrasia. Maamuzi yyt ktk nchi zilizoamua kufata mfumo wa kidemokrasia yatatokana na kura.
Kwanini nihame wakati nchi ni moja na mimi nina haki ya kufanya ninchofanya kama sikuingilii nyumbani kwako ?.., Kama nimenunua eneo, nimeweka fensi na ni eneo langu na wateja wangu / marafiki zangu walevi tunauza na kunywa Pombe kwanini wewe kwa Imani yako uingie kwenye premises yangu ?Kura ya maoni.
Waswisi kwa kuona hilo yakachagua nchi iendeshwe kwa mfumo wa federal autonomous.
Ili kama kuishi eneo fulani unakosa uhuru hamia ktk kaunti ambayo utakuwa huru, kinyume chache wachache wanaleta vurugu ktk nchi.
Tatizo la nguruwe hata mimi ninayekula nguruwe kama mtu anafuga katika eneo langu ninaweza nikapinga kama ile harufu na pollution inaingia kwenye mazingira yangu; na sio nguruwe tu hata mbuzi au hata zile kelele za walokole kwenye eneo la makazi ya watu....Na tunayo case study ktk vurugu zilizotokea manzese sakata la mabucha ya nguruwe miaka kama 20 iliyopita.
Pale mchaga alipofumgua Bucha ya nguruwe eneo ambalo wakazi walio wengi si walaji wa nyama hiyo.
Bahati mbaya jamii ya watu wachache walioshika mamlaka ya nchi wakalazimisha bucha uendelee kufanya biashara eneo hilo.
Matokeo yake vurugu kubwa ikitokea. Mabucha yakavyunjwa kwa nguvu ya umma.
Mara zote chache wamepoamua kufata utamaduni wa walio wengi. Amani hutamalaki, upendo huongezeka.
Case study swiss political system