Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Sawa. Hiyo ndio demokrasia. Lazima kuwe na tofauti za maoni.Katiba hairuhusu Separation of Church / Faith na State ?
Kwanini nihame wakati nchi ni moja na mimi nina haki ya kufanya ninchofanya kama sikuingilii nyumbani kwako ?.., Kama nimenunua eneo, nimeweka fensi na ni eneo langu na wateja wangu / marafiki zangu walevi tunauza na kunywa Pombe kwanini wewe kwa Imani yako uingie kwenye premises yangu ?
Na wapi tuna-draw the line majority wakipiga Kura kwamba Upagani ndio mpango mzima na sheria za kufungia misikiti na makanisa ikapitishwa watu wa Imani hizo wahame nchi ?
Tatizo la nguruwe hata mimi ninayekula nguruwe kama mtu anafuga katika eneo langu ninaweza nikapinga kama ile harufu na pollution inaingia kwenye mazingira yangu; na sio nguruwe tu hata mbuzi au hata zile kelele za walokole kwenye eneo la makazi ya watu....
Ila kama ni butcher haichafui mazingira wala haina harufu ya kufika sebuleni kwako..., wewe unayepinga mimi haki yangu ya kula ninachotaka eti nikifuate sehemu nyingine ndio una fujo (haya mambo ni biashara nina uhakika kama kungekuwa hakuna wateja basi wasingefungua hapo butcher)
Hizi sekeseke za kuingia mambo ya Imani ndio kidogo yaingize nchi kwenye matatizo kwenye sakata la nani achinje na nani asichinje....
Bali mwisho wa siku kura ndio inayoamua.
Kinyume chake hata kwenye uchaguzi ktk theory unayoisimamia ipo siku utakataa maamuzi ya wengi.
Muhimu tuendelee kujifunza.
Case study zipo. Mfano ile nchi ambayo wananchi wake wana furaha, amani, usalama, standard ya juu ya maisha swiss wanaoongoza kuwa na demokrasia ya juu kabisa duniani namekubali kuongozwa na referendum ktk kila jambo LENYE maslahi ya kifederal