Ujamaa wa Tanzania na Dini (Hotuba ya J. K. Nyerere - 1970)

Sawa. Hiyo ndio demokrasia. Lazima kuwe na tofauti za maoni.

Bali mwisho wa siku kura ndio inayoamua.

Kinyume chake hata kwenye uchaguzi ktk theory unayoisimamia ipo siku utakataa maamuzi ya wengi.

Muhimu tuendelee kujifunza.

Case study zipo. Mfano ile nchi ambayo wananchi wake wana furaha, amani, usalama, standard ya juu ya maisha swiss wanaoongoza kuwa na demokrasia ya juu kabisa duniani namekubali kuongozwa na referendum ktk kila jambo LENYE maslahi ya kifederal
 
Sawa. Hiyo ndio demokrasia. Lazima kuwe na tofauti za maoni.
Demokrasia yoyote ambayo haiangalii Haki za wachache ni Recipe for disaster.., muhimu haki ya kila mtu iangaliwe both individually ana collectively

Nyie hata mkiwa wengi kiasi gani kwenye premises zangu / au ninachopenda mimi haifai mkiingilie iwapo ninachokifanya mimi hakiwasumbui directly...
Bali mwisho wa siku kura ndio inayoamua.
Kura ikiamua kwamba watu weusi ni mediocre na wawe watumwa kuwatumikia watu ambao ni wengi inawalinda vipi hao weusi ?

Kwanini mambo ya Kura yasipigwe katika kujadili vitu ambavyo vinatuhusu wote tukiwa pamoja na kuachana na vitu ambavyo ni individually ?
Kinyume chake hata kwenye uchaguzi ktk theory unayoisimamia ipo siku utakataa maamuzi ya wengi.

Muhimu tuendelee kujifunza.
Maamuzi ya wengi kufanya nini ? Maamuzi ya kutaka kuingilia maisha hata ya mtu mmoja sababu nyie wengi mmeamua inaweza kuwa a dictatorship au kuleta mob justice...; Narudia mimi ninachosimamia ni individual rights kusimamiwa no matter hao watu ni wachache kiasi gani (ila kama wewe unachukua kazi ya kutumikia wengi / utumishi basi lazima ufuate utaratibu wa huo utumishi) sio unafanya kazi benki watu wanataka pesa jpili au ijumaa wewe useme unakwenda kwenye Ibada (basi katafute kazi msikitini au kanisani)
Case study zipo. Mfano ile nchi ambayo wananchi wake wana furaha, amani, usalama, standard ya juu ya maisha swiss wanaoongoza kuwa na demokrasia ya juu kabisa duniani namekubali kuongozwa na referendum ktk kila jambo LENYE maslahi ya kifederal
Demokrasia ambayo inasema nini ? Je ikisema hatutaki watu wa rangi fulani inadhani hao watakaobaguliwa watakuwa na furaha ?

Ofcourse binafsi siamini duniani hizi tunazoita demokrasia ni demokrasia za kweli na tumefikia wakati ambapo tuna teknolojia ya kuweza kuwa na Direct Democracy..., lakini even then tunajadili vitu gani ? Sidhani kama tutakuwa kama Taifa tunajadili mtu anywe glasi ngapi za Wine (hio kazi tutamuachia mtu na daktari wake wa afya)

By the way Binafsi naamini Democracy can and should be automated

 

Unanitia nguvu nianze kukusanya sahihi za wananchi wanaotaka club za pombe ziondolewe kwenye maeneo ya makazi ya watu hapa kijijini.

Hii ni hatua muhimu kuelekea kura ya maoni ya kutaka pasiwepo kabisa shughuli zote za Uasherati kijijini kwetu iwapo kwani sahihi 100 pekee zatosha kuitisha mkutana wa ngazi ya mamlaka na kupiga kura ya kutunga kanuni ndogo.

Kwakuwa tu shughuli hizo zinazopingana na maoni na utamaduni wa walio wengi.

Kama ni haki kupewa wachache kisikilizwa na kufanya Uasherati basi ni haki pia kwa wengi wasiotaka shughuli za Uasherati kusikilizwa na kuzuia shughuli yyt sawa na matakwa ya walio wengi. (Referendam)

kuanza mamlaka ya ngazi yyt inayotambulika. Mf mtaa, kata, tarafa nk
 
Alikuwa na akili sana

Kuna uzi humu unasema dini moja imedhulumiwa haki
 
Oky kwa hiyo Dini ya CCM ni Dini ya Islamu na unashauri tuwe tunaanza kwa adhana kwenye mikutano sio
 
Hata kama mimi mpenda pombe au mday wa uanasherati takuunga mkono kama vilabu hivyo vya pombe vipo kwenye makazi yenu na mnapigiwa kelele za miziki au ukitoka nje unakuta na walevi wanakuvunjia heshima.... Hii sio Haki kabisa kwa starehe zao kukupa wewe karaha...

Ila kama vilabu hivyo zipo kwenye nyumba za starehe na wala furaha yao haikunyimi wewe usingizi mpaka uende kuchungulia au kupita mitaa ile (basi wewe ndio utakuwa unaingilia furaha ya wengine) na tukiachia hii tunaweza kusema katika kijiji chetu watu weupe wanatukumbusha ukoloni basi wasionekane katika kijiji chetu au waliopo waondoke.... Na hii itakuwa sio ustaarabu
Kwakuwa tu shughuli hizo zinazopingana na maoni na utamaduni wa walio wengi.
Majority are not always right....; Nyie wengi hamuwezi kunipangia mimi Maisha kama ninachofanya sikifanyi kwenye majumba yenu au premises zenu bali nikakifanya kwenye nchi ambayo mimi nina uhuru na wala hamlazimishwi kuja kwenye hio sehemu yangu (kumbuka ni yangu na sio yetu as in private property)
Huo Uasherati wanaufanyia wapi ? Barabarani na hivyo kuleta a Public Nuisance au kwenye Majumba yao Binafsi ? Na uasherati ni wapi tunapiga mstari ? Kitchen Party Zote ? House Party au hata Disco ? Utaona kwamba si rahisi kupangia watu maisha bali ni rahisi watu wenye maisha tofauti kuyafanya mambo yao private bila kuwabughudhi wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…