tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #41
Nimekupata vema mkuu cleokippo umeongea mambo ya msingi sana kuhusu uozo uliomo ndani ya jeshi la polisi. Mamlaka za uteuzi zinapaswa kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha kwamba nyang'au hawa wanadhibitiwa kabla hawajawamaliza watanzania wasiokuwa na hatia. Nashangaa hadi sasa Rais Samia, IGP na Waziri mkuu hawajatoa tamko lolote kuhusu ujambazi na mauaji haya yanayofanywa na polisi kila kukicha hapa nchini. Inasikitisha sana 😳 😳 😳