Lakini mbona hata walimu wanaishi maisha magumu lakini hatuoni wakifanya uhalifu kama huu wa polisi? Lazima polisi wajitazame, wajithathmini na kujijunguza kwanini wao wanakuwa na tamaa za kipumbavu kama hizi. Au kukabidhiwa bunduki imekuwa shida?Labda polisi wawekewe mazingira bora,kuanzia mishahara,makazi,afya etc wawalipe vizuri
Ili kuwapunguzia kujingiza kwenye tamaa na kushirikiana na wahalifu
Ova
Rwanda polisi wao ndiyo kdg wako straightSi kweli mkuu. Mbona kule Kenya, Rwanda na Burundi hakuna mapolisi wenye njaa kali kama hawa waliotapakaa hapa nchini tanzania. Hawa wa hapa wamezidi, sio kwa njaa hizi wanazopora mali za raia na kisha kuwaua. Ni uhuni na ujambazi wa hali ya juu.
Polisi wao wana deal na kukamata kuzuia uhalifuLakini mbona hata walimu wanaishi maisha magumu lakini hatuoni wakifanya uhalifu kama huu wa polisi? Lazima polisi wajitazame, wajithathmini na kujijunguza kwanini wao wanakuwa na tamaa za kipumbavu kama hizi. Au kukabidhiwa bunduki imekuwa shida?
Basi hili bara lote limeoza. Lakini nadhani kitu kilichowasahaulisha polisi majukumu yao ni ile hali ya kudhani kwamba wao ni idara ya CCM (poliCCM) kwa kuwa kila wakitenda uhalifu, tunasikia viongozi wakija kuwatetea. Mwendazake alisema wanachukua hela za kung'arishia viatu na mama akasema wanakula kulingana na urefu wa kamba yao. Huu utetezi wanaotetewa kila wakifanya uhalifu ndio uliotufikisha hapa. Nini kifanyike kuondoa tatizo hili? Tafakari, chukua hatua!Mh nani kakuambia
Kenya polisi wao wana njaa,wako polisi macrooks mzee
Hata burundi,zambia,Malawi kote huko
Nchi kidg ambsyo polisi wao wako kikaz ni Namibia na Botswana
South Africa tu polisi wao wapo ma crooks pia
Ova
Sawa,polisi wanatumika kisiasaBasi hili bara lote limeoza. Lakini nadhani kitu kilichowasahaulisha polisi majukumu yao ni ile hali ya kudhani kwamba wao ni idara ya CCM (poliCCM) kwa kuwa kila wakitenda uhalifu, tunasikia viongozi wakija kuwatetea. Mwendazake alisema wanachukua hela za kung'arishia viatu na mama akasema wanakula kulingana na urefu wa kamba yao. Huu utetezi wanaotetewa kila wakifanya uhalifu ndio uliotufikisha hapa. Nini kifanyike kuondoa tatizo hili? Tafakari, chukua hatua!
Nimesoma post hii kwa umakini wangu wote umeongea fact tupu! Ila suluhisho ni nn? Maana hakuna ambaye atakuja hapa mwenye 51yrs ambae hatakupa kasoro za jeshi la polisi bila suluhisho lakePolisi bila rushwa na wizi hawawezi ishi. Kwa nini ?
Sababu ni kuwa polisi hawana muda wa side hustlle kama walimu, madaktari, wauguzi, wahasibu .
Polisi wigo wake ni mdogo zaidi ya kubambikia kesi na dhulma.
Hivyo basi polisi nao wapewe muda wa kutosha waweze kuwekeza biashara, ufugaji na ufundi na jamii iwape ushirikuano.
Wauguzi na madaktari wanamaduka ya madawa na maabara za mtaani .
Walimu wanalima, vituo vya twisheni, stationary maduka ya mahitaji, wanafuga na hata wengine wamejiongeza ni mafundi, wanapiga boda nk.
Watu wa idara nyingi wanacompasate ktk shughuli za ziada.
Niwaambie kitu. askari ndio kundi linaloongoza kufa mapema baada ya kustaafu, ni watu wenye stress sana.
Nadhani jamii na serikali tujadili hili suala vizuri na wala si kwa mihemko, lazima serikali ichukue hatua na jamii iwape polisi ushirikiano badala ya kuwatenga na kuwabeza kwani polisi ni ndugu zetu, watoto wetu, kaka zetu, baba zetu nk hatuwezi wakwepa ni jipu letu.
Mkuu umeongea vizuri sana lakini kabla ya kufanya haya yote ni sharti serikali iangalie namna inavyochuja watu wanaoingia polisi. Kuna haja ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaopata madaraja ya juu nao wanachaguliwa kujiunga na jeshi la polisi kuliko kuchukua failures ambao wengi wao wana asili ya uhalifu na ujambazi.Polisi bila rushwa na wizi hawawezi ishi. Kwa nini ?
Sababu ni kuwa polisi hawana muda wa side hustlle kama walimu, madaktari, wauguzi, wahasibu .
Polisi wigo wake ni mdogo zaidi ya kubambikia kesi na dhulma.
Hivyo basi polisi nao wapewe muda wa kutosha waweze kuwekeza biashara, ufugaji na ufundi na jamii iwape ushirikuano.
Wauguzi na madaktari wanamaduka ya madawa na maabara za mtaani .
Walimu wanalima, vituo vya twisheni, stationary maduka ya mahitaji, wanafuga na hata wengine wamejiongeza ni mafundi, wanapiga boda nk.
Watu wa idara nyingi wanacompasate ktk shughuli za ziada.
Niwaambie kitu. askari ndio kundi linaloongoza kufa mapema baada ya kustaafu, ni watu wenye stress sana.
Nadhani jamii na serikali tujadili hili suala vizuri na wala si kwa mihemko, lazima serikali ichukue hatua na jamii iwape polisi ushirikiano badala ya kuwatenga na kuwabeza kwani polisi ni ndugu zetu, watoto wetu, kaka zetu, baba zetu nk hatuwezi wakwepa ni jipu letu.
Ushawahi kusikia au kuona jaji,hakim ana asili ya uhalifuMkuu umeongea vizuri sana lakini kabla ya kufanya haya yote ni sharti serikali iangalie namna inavyochuja watu wanaoingia polisi. Kuna haja ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaopata madaraja ya juu nao wanachaguliwa kujiunga na jeshi la polisi kuliko kuchukua failures ambao wengi wao wana asili ya uhalifu na ujambazi.
Jeshi la polisi linakila watu mkuu. Polisi sio kulinda benki tu mkuu.Mkuu umeongea vizuri sana lakini kabla ya kufanya haya yote ni sharti serikali iangalie namna inavyochuja watu wanaoingia polisi. Kuna haja ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wanaopata madaraja ya juu nao wanachaguliwa kujiunga na jeshi la polisi kuliko kuchukua failures ambao wengi wao wana asili ya uhalifu na ujambazi.
Suluhisho ni KATIBA MPYABasi hili bara lote limeoza. Lakini nadhani kitu kilichowasahaulisha polisi majukumu yao ni ile hali ya kudhani kwamba wao ni idara ya CCM (poliCCM) kwa kuwa kila wakitenda uhalifu, tunasikia viongozi wakija kuwatetea. Mwendazake alisema wanachukua hela za kung'arishia viatu na mama akasema wanakula kulingana na urefu wa kamba yao. Huu utetezi wanaotetewa kila wakifanya uhalifu ndio uliotufikisha hapa. Nini kifanyike kuondoa tatizo hili? Tafakari, chukua hatua!
Na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo.Maadamu mshahara hautoshi hata Wiki mbili hakuna kitu kitafanyika kubadilisha chochote I mean, mtu analipwa laki 3 kwa mwezi unategemea aishi vipi ? Hapo sijaongelea vitendea kazi kama uniform, viatu, gloves na vinginevyo, Polisi pia kama walivyo Watanzania wa profession nyingine wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana hapo hapo wanasikia Raisi wa nchi akiwaruhusu Mawaziri ambao tayari wanalipwa vizuri kuiba mali ya umma halafu unategemea Polisi awe Malaika ?
Shida ya kubwa Tanzania ni INJUSTICE, maadamu hakuna haki wala usawa Polisi mnawaonea tu, kwani Walimu wana shida, Madaktari wana shida, Manesi wana vilio wote hao wanatakiwa wawe waaminifu lakini Waziri kuiba ruksa, huwezi kujenga jamii yenye heshima na hofu ya Mungu kama kuna injustice kuanzia kwa Raisi mwenyewe .
Mkuu umeongea ukweli 100%Na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo.
Tatizo la Tanzania ni Injustice. Wanasiasa ndiyo wanaokula mema ya nchi pekee.
Huko juu wanatakiwa wawe role models, la sivyo nji hii inazidi kuangamia.
Hebu tutajieni, ni kada gani ya serikali ambayo inajitahidi kuwahudumia wananchi angalau kwa 60% bila mizengwe yoyote?
Wafanyakazi wa serikali kila mmoja anataka kuchukua chake mapema kuanzia juu mpaka chini.
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unakuta ni Polisi Jambazi huyo anajatibu kitetea Majambazi wenzake kama anjaa si aache kazi akaoleweKwa hiyo wewe unakubaliana na UJAMBAZI huu wa polisi au msimamo wako ni upi? Nini kifanyike?
Acha kutetea Majambazi wenzako kama kama mshahara mdogo ndio wafanye ujambazi wa kupora raia?? Waache kazi waje waolewe huku mtaani watalishwa na kuvishwa.Ukisharuhusu injustice huwezi kukontrol how far injustice can go, ni ukweli wa maisha huo, ndiyo maana nchi za Kidini zilizostaarbika zote za Kikristu na Kiislamu Viongozi wanahakikisha kila raia anapata stahiki yake kwa wakati na inayomtosheleza kuishi maisha ya heshima.
Wakati mwingine ni stress tu zinafanya Binadamu awe mnyama, wewe unamwambia Polisi akalinde amani akapambane na Majambazi ambapo uwezekano wa kufa wa kulemaa upo wakati huo huo ana njaa tumboni au mtoto hana karo ya Shule, uniform imetoboka, viatu vimechanika na kavaa smg unategemea nini ?