Ujana haudumu, kuchora tattoo kunaweza kukugharimu sana maisha yako ukubwani

Mzee baba.....hivi Kuna uhusiano gani Kati ya kuchangia damu vs mtu aliechora tatoo........coz hili Jambo nalisikia sana
Mimi pia nimeshangaa. Kwani tujuavyo kabla ya kutoa damu mtu hupimwa vyote alivyovitaja mtoa mada.
 
kwa nchi kama ulaya na marekani tattoo sio shida hata kidogo, ila kwa hapa bongo hali tofauti sana
Mzungu akila parachichi mnasema anakula vizuri, mtu mweusi akila hilohilo parachichi mnamwambia ataharisha.....

Hizo akili za mtu mweusi nizawatu wavijijini hata wewe mleta mada akili yako nayo niya huko kutokana na nilicho ku quote hapo
 
Mzee baba.....hivi Kuna uhusiano gani Kati ya kuchangia damu vs mtu aliechora tatoo........coz hili Jambo nalisikia sana
Huwezi kumchangia mtu damu sababu unapochora tatoo kuna marangi wanatumia damu inakuwa sio safi tena,hio wanapewa mbwa tuu
 
kuna mchepuko wangu una tatoo mkononi na shingoni,huwa nikiifikiria namuacha namuona kama danga. baadae namuonea huruma.
anajutia sana maana kuna muhuni mwenzie alimpenda akaenda kumtambulisha ukweni akakataliwa kwa sababu ya tatoo
 
Ebu toa madhara ya Tatoo na usitageti katika .... Kuajiriwa tu.
nimekuona unajitetea sana. bila shaka una tatoos. umesema tusitageti kuajiri,lakini hapo huoni kama unajiwekea kauzibe?! umeambiwa huwezi kumpa mtu damu. unawezaje kuishawishi jamii kwamba wewe sio muhuni?
 
Maisha yenyewe yako wapi???
Sema tu itakugarimu ukiichoka na mindset ikibadilika
 
Mm nimechora tattoo kwenye dushe na mademu wanalipenda sana kulifyonza.
Hii ni moja ya faida ya tattoo kwa wale msiojua.
 
Huwa nawaonea huruma wanaochora tats kwa kufuata mkumbo, i got mine almost 3years now and it was purposely, sitokuja kujuta coz ilinichukua zaidi ya miaka minne kutafakari juu ya uamuzi wa kuchora ama kutokuchora.
Umefanya makosa San kuchora vitu hvyo hata Kama uoimchora mama ako umekozea Sana San na utakuja kujuta
 
Ila tambua kuwa hao madad Ni single forever wamejikatia ticket
 
Mm binafsi nakwerwa nao haswa nawaona tu kuwa Ni wahuni fln hv

Mwaka Jana Niko na date na mwanamke mmoja mzuri sna kila siku namuomba show anahairisha na akikupa ataki kukupa mchana show Ya mbuz kagoma kumbe alichoraga tatu ya njooka kutoka mabegani had mwanzo wa kalio .yey mwenye amekiri kuwa amefanya kosa pasipo kujuwakuwa alikosea dad Ni mzur Sana ila Ni single forever mm binasf nilichakata kimoko tu sikuweza kurudia Tena kutokana na lile joko kwenye mgongo wake

Jmn acheni UPUUZI HUU WA KUTOBOA MAPUAA NA KUJICHORA MATATU
 
Mwamba Yuko tpsf
 
kama unaitaka sana basi chora ambazo hufutika baada ya miaka kadhaa.
 
Si bongo hata ulaya, mtu mwenye tattoo haruhusiwi kichangia damu, labda ulazmishe,
Sababu kubwa ni mbili ama tatu,

kwanza uchoraji hutumia ncha Kali ambazo znaweza tumika multiple Hvo kusambaza vrusi,

Pili ni Cancer tattoo husababisha immature blood cell zisiwe under control, Hvo kusababisha cancer ya damu,

Hitimisho watu wenyew tattoo wanatakiwa kubadili damu walau mara1/ annum .

Hapa bongo hatuyajui hayō Mungu anasaidia TU watu hawaugui pengne Kinga zko vzr.
 
Mimi kuna tatoo nilijichora niko form linanitesa hilo,,,,,,Sisubutu kuvaa singlend mbele ya watoto wangu
 
Ndo nna mpango wa kuchora tattoo, tena kiunoni. [emoji6][emoji6][emoji6]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…