Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

Wewe ndiyo unampangia kocha mchezaji wa kucheza? Pimbi wewe, wacha Ntiba achukue kiatu, wewe unawashwa na nini huko nyuma mwiko?
Mbona makasiriko aiseee??

Hayo magoli ya mipango yaliyofungwa hapo kwa Nini wasingeifunga Azam
 
Sasa akichukua wewe unaumia nini kwa shutuma zako ambazo ni pumba hazina hata uthibitisho wowote? Kwani mpira si tumeuona wote ulivyochezwa? Kama Ntiba anastahili wacha achukue hakuna shida, tukutane msimu ujao!
Povu hili ni Kolowizards Kungwi kabisa, lenye maumivu makali kuliko hata kipigo cha paka shume [emoji28]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nani mjinga asiyekua na akili kwani Nani asiyejua kuwa Kuna mpango unatengenezwa makusudi ili mchezaji wa Simba sc apate kiatu Cha ufungaji Bora?

Kocha wa Polisi Tanzania hutufai katika ligi yetu kutokana na utumbo /njama za wazi zinazofanyika ili hao Mabwana angalau wafute machozi.

Coastal union na Simba sc ni Kama beka na Bakari tu tunajua Nini kitafuata lazima mazingira yatengenezwe ili Saidoo Ntibazonkiza achukue kiatu mbele ya Fistoni kalala Mayele.
HUNA AKILI.

KWAHIYO TUSIFUNGE MAGOLI???KISA MTINGISHA MANYONYO?
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Nani mjinga asiyekua na akili kwani Nani asiyejua kuwa Kuna mpango unatengenezwa makusudi ili mchezaji wa Simba sc apate kiatu Cha ufungaji Bora?

Kocha wa Polisi Tanzania hutufai katika ligi yetu kutokana na utumbo /njama za wazi zinazofanyika ili hao Mabwana angalau wafute machozi.

Coastal union na Simba sc ni Kama beka na Bakari tu tunajua Nini kitafuata lazima mazingira yatengenezwe ili Saidoo Ntibazonkiza achukue kiatu mbele ya Fistoni kalala Mayele.
saido siku ya coastal atafunga magoli 20
 
Yaani watu wasifunge kwa sababu wataonekana wamenunua game. Akili zenye mwiko nyuma hizo.
Kwa kununua gemu itawezekana kwa Nini juhudi Kama hizo hazikuonekana kabla wakachukua kombe
 
Kitakachowaokoa Coastal ni kama Simba wataamua tu wawaokoe wasicheze playoffs kwa heshma ya Mgunda.
 
Kwa kununua gemu itawezekana kwa Nini juhudi Kama hizo hazikuonekana kabla wakachukua kombe
Wewe ni lofa san aisee prison walifungwa ngapi?mtibwa je?singida big star?utopolo na wao waliuza mechi wakapigwa kama wamesimama?We ni moja ya maboya sana.

Hebu taja top 5 ya scorer wa utopolo hapo, au game uto aliyoshinda goli nyingi zaidi ya hizi alizocheza na dada zake.
Uache u"kocho" wako we lofa.
 
Police ndio taasisi inayoongoza kwa rushwa Tanzania, ukiachana na swala la timu ya mpira.

Ukifika Polisi utakuta mabango mengi tu eti rushwa ni adui wa haki na dhamana ni haki ya mtuhumiwa, sasa usitowe pesa halafu utaona mziki wake.
NAKAZIA.
 
Wewe ni lofa san aisee prison walifungwa ngapi?mtibwa je?singida big star?utopolo na wao waliuza mechi wakapigwa kama wamesimama?We ni moja ya maboya sana.

Hebu taja top 5 ya scorer wa utopolo hapo, au game uto aliyoshinda goli nyingi zaidi ya hizi alizocheza na dada zake.
Uache u"kocho" wako we lofa.
Kweli wewe bichwa lako limejaa kamasi
 
Back
Top Bottom