Ujasiri huu si wa nchi hii.

Ujasiri huu si wa nchi hii.

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Wadau,siku hiz nimekuwa na ujasiri wa ajabu hadi kuna muda nakaa natabasamu halafu najikubali,

yaan huwez amin kipind cha nyuma nilikua siwez kabisa kuwakwepa mademu wanaopiga vizinga au wale wanaokuja wawil wawil kwenye vidate ,ila siku hiz yaan kama sijiskii kutoa pesa ama kulipia watu/madem pombe ama msos, nmejikuta nawachana live tuu,kua hapana, mpo wengi sana siwez hudumia wote labda mmoja muhusika mkuu tuu,ama kwa wale wa vizinga nawachana stak au sina au mi sio baba ako,ama usinchoshe.

Hayo ndo majib yangu siku hiz,na wananielewa sometime, nawagonga vilevile, na maisha yanaenda, ila kununiwa ni kwa 100%
 
Wazee wa virungu lazima wapinge[emoji13] [emoji13]

Njoo nikupe maisha mtoto mzuri
Sure Mimi napiga virungu,tena sio virungu ni marungu. Na wanaokutana na rungu langu wananipa kile nachokitaka and no body counts,than you na ela zako za ngama yet zinakutia mawazo,hujasikia kwamba starehe gharama.

Pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom