Ujasiri wa Hajjat Amina Said?

Ujasiri wa Hajjat Amina Said?

Hivi JF ni nani? Wewe haumo?

Na hizo conspiracy theory za u-hajjat sijui mwanamke, mdini mkubwa wewe. Kila kitu unakichukulia ktk muonekano wa kidini. Very hopeless.

Hivi ni sheria gani hiyo ya kukata mshahara watu? Yaani unataka tumpongeze kwa kuleta kauli tata ambazo hazina mashiko ya kisheria?

It takes One to know One...Kumbe wewe ni mdini mkubwa!...Bwahahahaa
 
Like father like son, hii ndo staili ya awamu ya nne ya kudhalilisha watendaji hadharani. Sheria, kanuni na taratibu hazifuatwi sishangai na wala sina sababu ya kupongeza ujinga.
 
Tunapenda double standard....!!! Wengi humu ndani tulipenda au tunapenda Rais awachukulie hatua Mafisadi...tena bila kupitia Mahakama or any procedural zilizopo...!!! Leo hii viduchu vya kuwashtua watendaji wetu Waamke....basi DC/RC amekosea....!!! Kweli tunakazi ndefu....!!!

mkuu nimelipenda hilo bandiko lako ... why tusubiri JK afanye maamuzi wakati twaweza wapa ma-RC/DC nguvu za kisheria za kuwashughulikia watumishi wazembe ... wadau naamini pia hili laweza pendekezwa. Kuna ma-RC na ma-DC wachache/wengi wanaofanya kazi nzuri zinazoonekana kwa mashiko ... angalau za kuwashtua hawa watendaji wetu .... kuna huyu RC (nadhani ni kanali mstaafu kama sikosei) aliyeamishiwa Mara (??) sasa hivi, nasikia naye ni mtendaji mzuri tu ... people like Jordan Rugembana!
 
Anae mpongeza huyu mama ana matatizo pia.

mkuu nadhani hata wewe una matatizo pia ... just try to look on both sides of the coin! Kama amaekosea na ana lengo zuri wewe huwezi shauri?? kwanini unaishia kulalama tu badala ya kutoa solution?? halafu tunalialia tu ufisadi ufisadi ... huku kwenye halmashauri na manispaa zetu ndio kwenye ufisadi wa kutisha usisikie! wanatokea watendaji wachache badala ya kuthamini utendaji wao tunaanza kulalama tu ... hivi watanzania tumelogwa au??

huyu mama RC ni binadamu kama ulivyo wewe au mimi, kama ana mapungufu yeke ni sawa na tuyabandike tu hapa, lakini pia kama kuna mazuri anayafanya why don't we give her the credits she deserve???!! at least yeye ametamka kwa sura ya mbuzi, lkn kuna watu wenye hizo mandate but mbona wako kimya kama mabubu??
 
Kukata mtu mshahara sio kinyume cha sheria?
Tupo pamoja mkulu,
Tusikurupuke na kusifia viongozi wasiozingatia kanuni,taratibu na sheria.Nchi hii imeshindwa kupiga hatua kutokana na viongozi wa aina hii.

Hao waliochelesha fedha za miradi wangeshughulikiwa kwa kuzingatia sheria na kanuni.

Ni wakosefu lakini TUNAHOJI UTARATIBU aliotumia huyo mama.

TUNASEMA HATUHITAJI VIONGOZI WA AINA HII.FEDHA SERIKALI INAYOLIPA KAMA FIDIA KWA WATU WALIOATHIRIKA NA MAAMUZI MABOVU YA SERIKALI NI KUBWA
 
Nafikiri hamumjui hata kidogo huyu mama. Nilikutana naye kule Kiteto kwenye kampeni za uchaguzi mdogo mwaka juzi. Huyu mama alikuwa anaabuse power zake na kudhoofisha democracy kwa bidii kubwa. Sasa uzuri wake kwenye kufanya kazi peke yake na kuwabana wapambanaji wengine wasifanikiwe kukemea uovu ni UNAFIKI wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom