Ujasiri wa JWTZ katika kulinda! Apambana na Chatu

Nilikua napitapita kule YouTube nilipokutana na hii vidio ilio nishtua sana, eti mwanajeshi kaua chatu kwa "mikono yake" miwili (Ingawaje hapo akijieleza anasema alitumia mkuki na pia panga).....

Kilichonishtua ni jinsi vile media ya jeshi ilirukia na kuingia kazini eti kutoa taarifa kana kwamba kitendo kilichofanyika ni cha kusifia au hata cha kuonyeshwa kwa mitandao, Tena kwenye hio video naona hata kamanda wa cheo cha juu ako hapo anaruhusu ahojiwe......

Chatu mkubwa kama vile hafai kuuliwa, unajua amechukua mda gani kua mkubwa kama vile? mnyama kama huyu ni kivutio kikubwa sana cha utalii, anaweza akaleta mapato makubwa sana akiwekwa kwa snake park.. Inakuaje mlinda amani kama huyu ndo anaongoza kwa kumaliza raslimali na kivutio kizuri kama hichi? Tena anachapishwa kwa video eti sifa........ Hizi s zile enzi za 1950's ambapo wanyamapori walikua wengi kuliko binadamu, hata wamasaai waliacha mila za kuua simba eti ndo waonyeshe ujasiri wa kubalehe kwasababu ya kulinda mazingira na kusupport sector ya utalii.

Huyu askari anafaa ashikwe na kushtakiwa, huu ni ushamba wa hali ya juu, kama kazi yake ya kulinda kambi imemboesha, mpelekeni msumbiji kule kabo-delgado akapambane na magaidi .
View attachment 1849529
Wewe ni mpuzi snaa ....kifupi Tz atupigi kelel km nyie tukitoa troops ila muhusika ndio anajua kz yetu so usicho jua funga bakuli as for this matter huo ndio ushujaa i wonder vile wale takatak wenu walikimbia mlivyo vamiwa na alshabab sijui km mnajua hata kupamban zaid ya kuwa lawiti mifugo
 
Acha hizo wewe kwani wasiingie? Si taratibu zinafuatwa? Mbona wanavamiwaga na majambazi wanawaita polisi?
Nikwambie tu hata kambi ya polisi,jwtz hawaingii hovyo. Sijasema hawawezi lakini utaratibu ni mgumu sana
Kuhusu majambazi,unakumbuka wale magaidi kule amboni Tanga ambao waliwajeruhi polise ? Ilibidi kibali cha jwtz kuingilia kitoke kwa CDF. Hoja yangu ni kwamba, askari wa wanyama pori hawawezi kwenda kambi ya jeshi kisa chatu wakati hapo kambini kuna wanajeshi
Ukimsikiliza hata huyo mwanajeshi amesema ana ufahamu mkubwa kuhusu nyoka,hii inamaanisha wanajeshi wamefunzwa ku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua napitapita kule YouTube nilipokutana na hii vidio ilio nishtua sana, eti mwanajeshi kaua chatu kwa "mikono yake" miwili (Ingawaje hapo akijieleza anasema alitumia mkuki na pia panga).....

Kilichonishtua ni jinsi vile media ya jeshi ilirukia na kuingia kazini eti kutoa taarifa kana kwamba kitendo kilichofanyika ni cha kusifia au hata cha kuonyeshwa kwa mitandao, Tena kwenye hio video naona hata kamanda wa cheo cha juu ako hapo anaruhusu ahojiwe......

Chatu mkubwa kama vile hafai kuuliwa, unajua amechukua mda gani kua mkubwa kama vile? mnyama kama huyu ni kivutio kikubwa sana cha utalii, anaweza akaleta mapato makubwa sana akiwekwa kwa snake park.. Inakuaje mlinda amani kama huyu ndo anaongoza kwa kumaliza raslimali na kivutio kizuri kama hichi? Tena anachapishwa kwa video eti sifa........ Hizi s zile enzi za 1950's ambapo wanyamapori walikua wengi kuliko binadamu, hata wamasaai waliacha mila za kuua simba eti ndo waonyeshe ujasiri wa kubalehe kwasababu ya kulinda mazingira na kusupport sector ya utalii.

Huyu askari anafaa ashikwe na kushtakiwa, huu ni ushamba wa hali ya juu, kama kazi yake ya kulinda kambi imemboesha, mpelekeni msumbiji kule kabo-delgado akapambane na magaidi .
View attachment 1849529
Tatizo la chatu akiona chakula tu achezi mbali...yule chatu japo angefukuzwa na imani angerudi tu kuangalia menu yake kama imezubaa apite nayo...nilifahamu hii tabia kipindi mikumi kulikuwa na shughuri ya uchimbaji wa mitaro ya kulaza cable za internet: wakati shughur inaendelea kulikuwa na harufu nzur ya wali ukinukia...wale askar husika akatuambia wote tuliokaa chini ya vivur vya mti na vichakani tutoke tuje kukaa pamoja kuna chatu karibu anawinda...kwa bahati mbaya mwamba mmoja alijitenga mwenyewe hatua kidogo akiwa anapiga cha arusha, na chatu ndio lilikuwa windo lake uyo mwamba, wale askar wakajitahidi kumfukuza na wakafanikiwa chatu akaenda zake kisha akatufuata na kutuambua yule chatu lazima atarudi kwasababu kashaona kuna chakula ivyo kuweni makini musikae vichakani then kaeni kwa makundi kidogo....basi baada ya muda kidogo yule chatu alirudi tena na askar akamfukuza kwa mara ingine tena then this time akatuambia lazima tumuue la sivyo atasumbua kwa sababu atarudi tu, basi tukamuambia ua mkuu asije pita na mtu kisha akatuambia inabidi mukiulizwa museme alishaanza kuleta madhara ili kibarua changu kisiote nyasi....kweli bwana yule chatu aliuliwa na watu walipoulizwa walijibu kweli alishaanza kuleta madhara...then shughur ya uchimbaji ikaendelea
 
MY TAKE:
Nithahiri kwamba chatu wa ndanganyi-ass pia wanahamu ya nyama kiti-mtu na si siri tena.Hili jambo lime shangaza sana maullana CEO geza ulale, mliki wa kiwanda cha wet meat(kiti-mtu) processing plant lililoko sumbawanga.
 
Huyu jamaa tumlipishe hela.....
hawezi kuuwa mnyama wetu bure namna hii....eti baada ya kumuona akampiga mkuki..!!?
jamaa hajui kwamba hii ni nyara ya serekali...!!?
angekimbia alafu awajulishe mamlaka husika.....
waje wachukue nyoka wao...
Bavicha
Akili zenu mnazijua wenyewe
 
Hivi chatu ni mtamu?
Nimesikia kutapika
Naskia ni kama mchanganyiko wa kuku na samaki... Akiingizwa kitunguu saumu utajiramba bila kujua Wala nini..labda tukawaulize wachina kama Hawa hapa chini... Wanakula black mamba! Wachina wakipewa kandarasi karibu na kwenu ficheni hadi konokono!

-------
Naivasha, Kenya: Police in Naivasha are holding three Chinese and a Kenyan after they were arrested cooking a snake.
The four were arrested in Olkaria area by Kenya Wildlife Service officers following a tip-off that they had killed a Black Mamba and were cooking it.

Drama unfolded at Naivasha police station where the suspects were taken after the snake which had been brought in a cooking vessel was displayed.

Tens of their countrymen flocked the police station enquiring on their fate as KWS officers took the exhibit for safe keeping.
The Chinese are involved in the construction of the Olkaria IV power plant, the biggest in Africa and there has been complains of them eating snakes and dogs in the area.
According to a witness, the foreigners had made it a habit of visiting the nearby Hellsgate national park for snakes.

Confirming the incident, Naivasha deputy OCPD Paul Korir said that the four would be arraigned in court on Monday.
“KWS officers were informed and moved in, arresting three of them as they prepared the ‘snake stew,’” he said.

“KWS officers acting on a tip off found four men including three Chinese cooking a snake which is against the law and they were arrested,” he added.

Korir added that the four had been released on cash bail pending the case as investigations into the incident continued.

Hapana Mimi samaki tu mfano wa nyoka simuli sembuse chatu, wakati tuna nyama nyingi nchi hii kwa kweli hapana
 
Kama mwanajeshi alitakiwa kumrudisha huyo chatu kwenye makazi yake ili waendelee kuzaliana. Wenzetu weupe wanafanya animal rescuing sisi tunajisifu kwa kufanya animal killing
 
Ujinga mtupu. Chatu siyo nyoka wa kuua. Hata ukipita mbele yake atakutisha tu hana madhara kwa binadamu labda mlevi na mtoto
 
Wenzetu wanaingiliwa na Mamba mpaka kwenye makazi
Ila wanapiga Simu na anaondolewa bila kuuwawa maana walikuwepo kabla
IMG_1696.jpg

IMG_1694.png
 
We wanakugusa masaburi! Jamaa anafanya ulinzi kwenye ranch za nguruwe ghafla akakutana na chatu na yeye yupo lindo! Sasa afanyeje amuachie akameze nguruwe ama ulitakaje
Swali lako lina muwanga mpana mno na likinakita kwenye uwelidi kwa sisi kama binadamu kuhifathi kwa manufa ya kuzazi la kesho.
Big up kwako!!
Maullana CEO geza ulale take ana pendekezo la choma ata vifaraga kuku.
 
Back
Top Bottom