SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

Stories of Change - 2021 Competition
Joined
Apr 6, 2020
Posts
8
Reaction score
10
UJASIRIAMALI ni mchakato endelevu unao ambatana na Imani juu ya kujikomoa kiuchumi kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ya juu zaidi. Nchi nyingi duniani hasa mataifa makubwa toka miaka ya 1960 zimepata kuendelea kutokana na sera tofauti tofauti zilizoanzishwa na serikali zao juu ya UJASIRIAMALI Kama nyenzo ya kuinua uchumi wa nchi na kuwekwa kipaumbele Kama sera au kaulimbiu ya nchi.

Hivyo kwa nchi yetu takribani zaidi ya miaka 50 mpaka sasa toka tupate Uhuru sera ya UJASIRIAMALI imekuwa haina kipaumbele na imekuwa Kama praystation kwasababu serikali haina njia maalumu ya kuboresha njia na fursa za UJASIRIAMALI Kama walivyofanya nchi zingine na kuwa chachu ya kuboresha uchumi wa nchi.

Changamoto kubwa ambazo sekta hii inaikumba hasa ni:

1: Ukosefu wa mitaji ambayo wajasiriamali inaweza kuwafanya wakawa committed na biashara zao bila uoga wowote katika shughuli zao.

2: Mazingira yasiyo rafiki katika ufanyaji wa biashara zao mfano mzuri maeneo ya Malimbe Mwanza wajasiriamali wengi ni WANAFUNZI lakini biashara zao sio rafiki kwa maana ya mazingira sio rafiki kuendesha shughuli zao hivyo husababisha wajasiriamali wengi kushindwa kumudu hali tofauti tofauti na kuacha shughuli zao.

3: Ukosefu wa Sera rafiki au persuasive policies ambazo zitawafanya wajasiriamali kuwa mstari wa mbele katika kujituma kwenye shughuli zao na kupiga hatua kiuchumi binafsi na hata taifa kwa ujumla.

Nini kifanyike ili kuondoa changamoto na kufanya UJASIRIAMALI kuwa first priority kwa serikali katika kuhakikisha inakuwa tegemezi la pato au ukuaji wa uchumi wa nchi?

1) Serikali inatakiwa kuunda taasisi/tume maalumu ya kiserikali itakayokua inatoa elimu, semina na ujuzi na njia sahihi za kupata mitaji kwa wajasiriamali ili kufanikisha UJASIRIAMALI kuwa njia mojawapo ya kitega uchumi katika sekta zingine.

2) Serikali kwa kushirikiana na sekta/taasisi binafsi inatakiwa kuunda SERA SHIRIKISHI kwa nchi nzima ili kuboost wajasiriamali kujiona wanathaminika na wanapewa kipaumbele Kama sekta zingine za uchumi hii itasaidia kuwapa wajasiriamali morale ya kufanya kazi na kujituma kwa Dhati katika shughuli zao.

3) Kuundwa kwa Platforms maalumu mfano inaweza Kuundwa NATIONAL ENTERPENEURSHIP PLATFORM au NATIONAL ENTERPENEURSHIP COMPETITION kwa lengo la kuinua,kukuza na kuboresha ubunifu wa wajasiriamali. Maana jamii ya watanzania wengi wanafanya UJASIRIAMALI wa kuiga yaani wajasiriamali waigaji na sio kuwa wajasiriamali wabunifu na watafiti.

Mwisho vijana ni taifa la kesho hivyo hatuwezi kuwa taifa la kesho Kama hatuna njia maalumu zitakazotufanya tuwe Bora na wakomavu
 
Upvote 9
Shukrani Sana ndugu Batholomeo Batho kwa maelezo yako mazuri lakini siku zote huwezi fanya biashara au ujasiriamali wa kuiga na ukategemea mafanikio na ndo Mana wengi wanaoiga wanashindwa kusonga mbele sababu moja bidhaa au huduma ni ileile hakuna utofauti wowote Kati ya mjasiriamali wa mwanzo na mpya ambaye ameiga kwa wakwanza,hivyo moja atafail sababu ya customer Competition na ni vigumu kwa mteja kumuama mtoa huduma angali ashazoea na hakuna utofauti wa huduma, hivyo Bora mjasiriamali anayeiga na kuboresha naye atutamuita mjasiriamali muigaji uyu atakua wa Aina yake yani mtafiti amepata kujua mapungufu ya mjasiriamali wa awali na amekuja na wazo jipya la uboreshaji na uyu anaweza kua ana high competitive advantage kuliko wa kwanza anayeiga tuu.
Asante.
Nothing New Under the Sun...,
If I have Seen further than others is because of standing on the shoulders of the Giants

Ukiangalia sana wote kina Alibaba, Microsoft Windows n.k. wote ni waigaji tu..., kufanikiwa katika biashara kama ni salesman mzuri utashinda every given day kuliko hana the man with great ideas..., na Idea to pan out inahitaji ingredients nyingi mojawapo ikiwa ni being at the right time on the right time...

Kwa ushauri kama una idea nzuri side with giants waweze kuwekea hati miliki idea yako na wewe kunufaika, hata yule alikuja na wazo la mmpesa (ingawa haikuwa new idea mobile money) ila bila Vodacom sasa hivi angekuwa anaongea tu "Dah !!! nilikuwaga na wazo kama hili wanalofanya huu mtandao wa simu).....
 
Hii nayo unatarajia kushinda?
Kushinda au kushindwa ni sehemu ya maisha lakini ukiwa una nia ya kushinda haijarishi nini unafanya kwa wakati gani na mazingira gani Bali kitu chenyewe unachofanya kitajidhihirisha japo hakina uitikio mkubwa kwa watu lakini kwa wachache kinaweza kuwa chenye tija na kukufikisha hatua nyingine.
 
Back
Top Bottom