Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

Juzi nilinunua paket ya yoghurt nikala na msosi nikalala, nakwambia nimeendesha usik mzima! Sitasahau mh, niliona huruma kuexpose brand name yao ila niliiisoma! Nini kinasababisha maziwa kusababisha hali hii, walikosea wapi
[emoji1]
 
Kuna sababu mbili
1. Maziwa kuwa na mafuta mengi sana, hasa ng'ombe wa kienyeji huwa na fat contents nyingi. Ndio maana kunafanyika cream separation kupunguza fat. Tena inaweza kuwa walikupa maziwa ya juu.
Sijajua ni kiwanda kipi, lkn kama ni hivi vya wajasiriamali wadogo wengi hutumia mwiko kukoroga

2. Contamination ya maziwa wakati wanasindika, hasa baadabya kuchemsha na kupooza. Food hygiene haikuwa nzuri
Ushauri wako upo kwenye maziwa tu au bidhaa nyingine kama unga,juice n.k?
 
Asante kwa huu uzi, tunasubiri muendeleze wa namna ya kutengeneza mtindi
 
Mi huwa natengeneza maziwa mgando (sijui ndio mtindi) kwaajili ya familia tu, hutokea mazuri sana waweza kula na kijiko ukitaka kunywa labda uweke maji kidogo. Nimepata ujuzi wa ziada kisayansi zaidi kwenye huu uzi. Tuendelee tafadhali mkuu.
 
majukumu yamebana sana mkuu, kila nikitaka kuendelea nakuta nimechoka na kichwa hakija tulia.

Lkn soon nitaleta Uzi wa Mtindi
 
Back
Top Bottom