Ujasusi ni funguo waliyoipoteza vijana wengi. Sio ajabu wakahangaika

kuna uzi niliandika 2021 kuhusu namna ya ku behave ktk eneo lako la makazi.umegusa mulemule nilimogusa.

unaweza kuupitia:
'Street codes' za kukusaidia uishi vizuri na watu mtaani kwako katika mji wowote Tanzania
 
Naam Mkuu
Kuna uzi wako nautafuta unazungumzia tabia ya watu (vijana)kuendekeza utoto! Unakuta kijanaa ana miaka 20, 21 n k anashindwa kufanya na kupuuza vitu vya maana akitumiia utoto kama scapegoat.
Sijui nawezaje kupata huo uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…