The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
nimekuja gundua mwalimu wangu wa primary alikua jasusi baada ya muda mrefu sana; system inafanya kazi wengi hatutambui.
Ilikuwaje ukamfahamu mkuu hebu funguka mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekuja gundua mwalimu wangu wa primary alikua jasusi baada ya muda mrefu sana; system inafanya kazi wengi hatutambui.
Kama kweli wapelelezi wapo Issue ya Escrow ingekuwa rahisi tu,watu walibeba pesa kwenye Lumbesa mbona mpKa leo haijulikani,Richmond kampuni fake lkn hawakujua,sasa wapelelezi wa bongo wana kazi gani.Bongo upelelezi naona ni sifuri tu.
Aseee...sasa tutumie vifaa toka wapi?
@Yerico Nyerere: Je wewe ni mpelelezi?
Tutengeneze vya kwetu wenyewe ndo tutakuwa salama.
Yericko we n mwanachadema, tena inawezekana wa karibu na system tena mwenye ushawishi mkubwa tu, je kweli umeshindwa ku washawishi wabunge wa chadema na kujadili nao mabadiliko haya ya sheria yetu hii kandamizi?
Kama unaweza Kwa nn unasita? Kama huwez unasubir nn au mabadiliko yatatoka huku na wakat hatutungi sheria?
Tuelezane mkuu
Sheria tunayozungumzia humu ni sheri a ya thread hii
Usalama wa taifa
Tunayojadil mapungufu yake
Watanzania wenzangu sio kila kitu mnaweka hadharani ila ashukuriwe Mungu wenyewe huwa wako kimya hawachangii wengi wanaotoa michango na mleta mada no wasomaji wazuri was spy novel na spy moves hamna kitu hapa
Mie nina vyo jiaminisha ni kwa kila binadamu anaweza kuwa ni spy au mpelelezi na jasusi!
Kama utakuwa na utaalamu sayansi ya tabia za wanadamu, elimu au ujuzi wa ujasusi na u upelezi ni tabia ambayo ipo ndani ya nafsi ya kila mwanadamu, wanadamu wengi wana tabia za usiri na kujilinda kwa kila hali lakini pia ni wa dadisi, sasa ukiwa na umefunzwa ujasusi au upelezi unakuwa kama jasusi mkuu na inakuwa rahisi kujua hidden futures za huyo unaye mfuatilia.
Ujasusi na upelelezi unakuja kuwa mchungu pale tu unapokuwa authozied kufanya hio kazi kwani lolote linaweza kukutokea ikiwa ni pamoja na kudhuriwa na yule mhusika unayemfuatilia. Kwani katika hali hii utachukuliwa kama traitor na mnafiki hilo tu!!
Utamu wa ujasusi,upelelezi unapendeza na kuwa mtamu pale ambapo unaufanya kwa minajili ya mafanikio yako binafsi, kama biashara au kujilunda na maadui
Majasusi na wa pelelezi wengi huwa na akili za kufikiri na kusolve mambo kwa haraka mno, ni watu wenye maamuzi ya haraka, ni watu wenye ueledi wa kuuliza maswali na kujenga hoja na ni wataalamu wa kusikiliza na kutambua lugha za picha au verbal communication , ni wazuri katika kufanya marafiki au ku destruct relationship, sio waoga wanauwezo wa ku cope na hali yeyote ile, ni wajuzi wa kulinda hisia zao, wanapenda kujitenga au kukaa mbali na jamii,tabia nyingine ya hawa watu ni kwamba ni wasomi mno wengi wao wanauwezo wa ku cope na fani yeyote/ wanauwezo wakujifunza kitu kwa uharaka zaidi...
Hivyo basi binadamu akiwa na hizo tabia anauwezo wa kuwa mpelelezi au jasusi au spy ambapo akiutumia kwa manufaa yake anauwezo wa kufanikiwa kimaisha na kuwa na afya.
Mkuu du umewaokota mbululaz
Mkuu hawa watu sio kwamba hawafahamu ila wanasiasa wamekuwa na nguvu kuliko hawa watu.
Watanzania wenzangu sio kila kitu mnaweka hadharani ila ashukuriwe Mungu wenyewe huwa wako kimya hawachangii wengi wanaotoa michango na mleta mada no wasomaji wazuri was spy novel na spy moves hamna kitu hapa
Umemeliza mkuuu siongezei kituMie nina vyo jiaminisha ni kwa kila binadamu anaweza kuwa ni spy au mpelelezi na jasusi!