Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

Kwa mwenye ufahamu hapa umeshatoa picha nzima ya uraisi na watangaza nia and how pic inachezwa we mkali
 
Kila waziri na naibu waziri nchini, hufuatiliwa na majasusi wasiozidi watano kwa mda wa masaa 24,

Mkuu sasa kama hawa Mawaziri wetu huwa wako kwenye uangalizi wa kiasi hicho ina maana wanapopiga mikwanja mirefu kama Richmond na Escrow na hao majasusi wanakuwa wanahisika..Tukiachilia na haya yanayojulikana..Kwa yale ambayo mpaka sasa yako kimya hatuyafahu
 
Sheria zinazounda taasisi ya Usalama wa Taifa. Hii itatusaidia kupata picha flani ya wanachotakiwa kukifanya hawa ndugu zetu.

THE TANZANIA INTELLIGENCE AND SECURITY SERVICE ACT, 1996
PART 11

THE TANZANIA INTELLIGENCE AND SECURITY SERVICE

4.-(l) There is hereby established a department of Government within the office of the President which shall be known as the TanzaniaIntelligence and Security Service or, when referred to in brief, by the acronym ''TISS''.

(2) Subject to this Act, the intelligence and security department existing before the enactment of this Act shall be deemed to have been established and its employees and officers to have been recruited and appointed in pursuance of the relevant provisions of this Act.

(3) The Director-General may, with the prior written approval of the Minister establish regional and district offices of the Service.

5.-(1) Subject to the control of the Minister, the functions of the Service shall be-

(a) to obtain, correlate, and evaluate intelligence relevant to security, and to communicate any such intelligence to the Minister and to persons whom, and in the manner which, the Director-General considers it to be in the interests of security;

(b) to advise Ministers, where the Director-General is satisfied that it is necessary to do so, in respect of matters -relevant to security,so far as those matters relate to departments or portfolios of which they are in charge;

(c) To cooperate as far as practicable and necessary with such other organs of state and public authorities within or outside Tanzanians are capable of assisting the Service in the performance of its functions.

(d) To inform the President, and any other person or authority which the Minister may so direct, of any new area of potential espionage,sabotage, terrorism or subversion in respect of which the Director-General has considered it necessary to institute surveillance.

(2) It shall not be a function of the Service (a) To enforce measures for security; or (b) To institute surveillance of any person or category of persons by reason only of his or their involvement in lawful protest, or dissent in respect of any matter affecting the Constitution, the laws orthe Government of Tanzania

PART IV

DUTIES,AND POWERS OF TISS

14.-(1) It shall be the duty of the Service to collect, by investigation or otherwise, to the extent that it is strictly necessary, and analyse andretain information and intelligence respecting activities that may on reasonable grounds be suspected of constituting a threat to the securityof the United Republic or any part of it.

(2) The Service shall, in relation to the information dealt with under subsection (1), report to and advise the Government.

(3) The Service may provide security assessments to departments ofthe Government.

(4) The Service may(a) advise any Minister on matters relating to thesecurity of Tanzania; or

(b) provide any Minister with information relating to security matters.

15.-(1) The Service shall, subject to this Act, have power to investigate any person or body of persons whom or which it has reasonable cause to consider a risk or a source of risk of a threat to the state security.

(2) The Service may conduct any investigations which are required for the purpose of providing security assessments pursuant to section 14.

(3) The Servicemay, with the approval of the Minister, enter into an arrangement with-

(a) any person or body of persons;

(b) any local government or other authority; 1996

Tanzania Intelligence and Security Service No. 15

(c) Any police, force or other policing organisation.authorising the Service to providesecurity assessments.

(4) The Service may, with the approval of the President after consultation with the Minister for Foreign Affairs, enter into an arrangement with the government of a foreign state or an international organization of states authorizing the service to provide the government, institution or organisation with security assessment.

16-(1) Subject to this section no person shall, without the written consent of theMinister, publish or cause or allow to be published in a newspaper or other document, or broadcast or cause or allow to be broadcast by radio or television or otherwise, the fact that any person, other than the Director-General-

(a) is a member of the Service;

(b) is connected in, any way with a member of the service.

(2) The written consent of the Minister in relation to any proceedings in any court may be filed in the court and when so filed shall besufficientauthority to all persons to act in accordance with it.

(3) Any person who fails or refuses to comply with the provisions of this section commits an offence and upon conviction is liable to a fine not exceeding five hundred thousand shillings.

17.-(l) Information and intelligence obtained in the performance of the duties and functions of the Service pursuant to this Act shall not be disclosed by the Service except in accordance with this section.

(2) The Service may disclose information referred to in subsection

(1) For the purposes of the performance of its duties and functions under this Act or the administration or enforcement of this Act or as required by any other law and may also disclose that information-

(a) where the information may be used in the investigation or prosecution of an alleged offence under any law in force in the United Republic, to any public officer having jurisdiction to investigate the alleged ofence and to the Attorney-General or the law officer concernedwith the proceedings in respect of the alleged offence;

(b) where, in the opinion of the Minister, disclosure of the informaion to any Minister or public officer is essential in the public interest and that interest clearly out weighs any invasion of privacy that could result from the disclosure, to that Minister or public officer.

18.-(1) For the purpose of performing its duties and functions under this Act, the Service may, with the prior approval of the Minister-

(a) Enter into an arrangement or otherwise cooperate with any department or other institutions of the Government or a local government authority;Restriction on publication and broadcasting information Authorised disclosure of information Cooperation 1996 10 No. 15 Tanzania Intelligence and Security Service Protection of officers and ernployees Protec tion of sources of information Delegation of powers

(b) After consultation with the Minister for Foreign Affairs, enter into an arrangement or otherise cooperate with the Government of a foreign state or its institution or an international organization
of states or its institution.

(2) Where a written arrangement is entered into pursuant to subsection (1) of section 15(3) or (4), a copy of the arrangement shall be given to the Attorney-General.

Haka ni kasehemu tu ka sheria hiyo
 
Mkuu sasa kama hawa Mawaziri wetu huwa wako kwenye uangalizi wa kiasi hicho ina maana wanapopiga mikwanja mirefu kama Richmond na Escrow na hao majasusi wanakuwa wanahisika..Tukiachilia na haya yanayojulikana..Kwa yale ambayo mpaka sasa yako kimya hatuyafahu

Ukisoma makala haya utaelewa kwanini haya yanatokea
 
nashukuru wajuvi wa haya mambo wametulia na huwa hawachangii chochote wewe yeriko ktk hiyo fani huna unachojua ila kuja kudanganya watu tu humu na wsio jua wanakusifu et somo zuri nakwambia ww mweupe sana katka hili afu unajifanya kuwafundisha watu kazi zao na kiona tanzania iko nyuma sana katika hilo .hebu nenda kamuulize kagame kipindi kadindisha alipozungukwa kila kona ndio anayeifahamu bongo alinywea mwenyewe sio kwa kupenda alikua anabadili shemu za kulala usiku moja mara tatu narudia tena huna unachokijua hapo toa mada ambayo ni meredi kwao kuliko kuja kudanganya umma
 
siamini hata kidogo labda kipindi cha nyuma sana..kwa sababu kazi kubwa ya intelligensia hasa ya nchi ni kuchunguza then unazifanyia kazi hizo taarifa ulizozipata... haina maana kujua kitu alafu ukaacha kitokee.. sasa kama maelezo yako kama ni kweli tusingekua na ufisadi wa kutisha kiasi hiki, au uchochezi wa udini, ujambazi au uhalifu unaozidi kukua.​

  • kuna grades za utendaji, yapo mambo ambayo itendaji wake lazima uidhinishwe kutoka makao makuuu, yapo ya immediate, yapo yanayohitaji research mfano kama ushahidi hauko wazi, yapo yasiyo na madhara kwa nchi hayo huachwa, kiujumla serikali inajua karibu kila kitu. shida iko kwenye go ahead kutoka kwa wakubwa wa system, lakini walio ktk fild sio mchezo
 
Hujui hataw unabisha nini ebu soma mchango wangu hata kama alizungukwa Kwa nini aliweza kubadili vitanda
Mbona hao wa kagame wapo mpaka leo nchini hadi ikulu
Tunazungumza sharia na utendaji
 
siamini hata kidogo labda kipindi cha nyuma sana..kwa sababu kazi kubwa ya intelligensia hasa ya nchi ni kuchunguza then unazifanyia kazi hizo taarifa ulizozipata... haina maana kujua kitu alafu ukaacha kitokee.. sasa kama maelezo yako kama ni kweli tusingekua na ufisadi wa kutisha kiasi hiki, au uchochezi wa udini, ujambazi au uhalifu unaozidi kukua.​

  • kuna grades za utendaji, yapo mambo ambayo itendaji wake lazima uidhinishwe kutoka makao makuuu, yapo ya immediate, yapo yanayohitaji research mfano kama ushahidi hauko wazi, yapo yasiyo na madhara kwa nchi hayo huachwa, kiujumla serikali inajua karibu kila kitu. shida iko kwenye go ahead kutoka kwa wakubwa wa system, lakini walio ktk fild sio mchezo

Sheria ndio ina mapungufu hata ufanyeje bila sheria kubasilika hamna kitu
Uimara wa taasisi si watu ni katiba au kanuni au sheria
Tuibadlishe halafu tuone matokeo lazima
 
nashukuru wajuvi wa haya mambo wametulia na huwa hawachangii chochote wewe yeriko ktk hiyo fani huna unachojua ila kuja kudanganya watu tu humu na wsio jua wanakusifu et somo zuri nakwambia ww mweupe sana katka hili afu unajifanya kuwafundisha watu kazi zao na kiona tanzania iko nyuma sana katika hilo .hebu nenda kamuulize kagame kipindi kadindisha alipozungukwa kila kona ndio anayeifahamu bongo alinywea mwenyewe sio kwa kupenda alikua anabadili shemu za kulala usiku moja mara tatu narudia tena huna unachokijua hapo toa mada ambayo ni meredi kwao kuliko kuja kudanganya umma

Kwaniaba ya wasomaji, ninakushukuru kwa mchango wako, wupumbavu ni kipaji!
 
lin tz ili msumbua kagame had akawa halal? thnk b4 u wrt .ujasus wet una mapunguf makubwa sna hasa nje ya tz.
 
mchangia mmja kaelezea vzur inabd iundw kintenge kingine ndan ya Tiss ili kuipa taasis h weld .kuna mamb meng yanaachwa
 
Back
Top Bottom