OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Kwanza nikushukuru kwakuuliza maswali mazuri,
I. Kesi ya Naibu Waziri ilikuwa na sura nyingi ambazo inahitaji mjadala pekee ili watu wafahamu namna ya ufanisi wa taasisi ilivyofanikisha kwa asilimia miamija.
Naomba nirudie kufafanua jambo hapo, invisible spy wapo chini ya ofisi ya rais sio chini ya waziri/naibu ambao ndio wanaofatiliwa.
2. Tukio la waziri lilikuwa sio hatarishi sana kwa upande wa kikazi ila kwake binafsi ndiomaana njia rais ilikuwa ile ya kutumia harot spy ambao ni njia ya kumdhalilisha mlengwa bila yeye kujua.
3. Kila sheria duniani imeweka akiba ya maamuzi, hivyo pamoja na kuwa sheria inaelekexa vile, bado inampa jasusi nguvu ya kuamua vingine. Kumbuka jasusi vilevile ni askari.
4. Swali hilo linajibiwa na jibu la 3,
Shukran
1. Unapoamua kumdhalilisha kiongozi wa nchi ambaye ungeweza kumuonya kwa njia za kawaida hapo unamdhalilisha yeye au mamlaka ya uteuzi??!!!
2. Kama mamlaka ya uteuzi ndio hiyo hiyo "mshauriwa" una maana hapo ilikiwa ni suicide mission??!!
3. Kama ilikuwa ni name and shame op. . .ilikuwa imnufaishe nani??!!
4. Kama ni black mailing/mud slinging mbona bado anadunda??!!