Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehe,kwa hiyo hapa mkuu unataka kuniambia vijana 5 wote wananunuliwa na waziri na naibu wake!!!ama!
wanakuwa nae kwa misingi ya kufuatiria nyendo zake au ulinzi wake??if yes,kwanini kuna uozo unaodhihirika bungeni kutoka kwa wapinzani inamaaana wananunuliwa ili kufumbwa modomo!!!
If ni ulinzi kwanini wengine wanachapwa mpaka boxer hotelini??
hajasema wanafuatiliwaje? Kufuatliwa kwa kufuatwa nyuma au mawasiliano yao kusikilizwa au nin? Huyu jamaa controversial kweli:becky:
Uharo mtupu
Sheria ya mwaka 96 iliyounda tiss haina tatizo kabisa.kuhusu kunyimwa uwezo wa ukamataji na uwajibishaji moja kwa moja.lengo hapa ni kugawa nguvu ya uwajibikaji na polisi.Hao ni invisible, kazi yao ni kufuatilia nyendo za waziri tu,
Sheria ya TISS ya mwaka 96 ndio inayoruhusu uozo mwingi nchini. Sheria hii haimruhusu afisa usalama kuchukua hatua za kuzui jambo lolote hata kama ni la hatari. Sheria inamtaka afisa huyo kuzishauri mamlaka nyingine ili zichukue hatua, pia sheria hiyo haimlazimishi anayeshauriwa kutekeleza,yani hapo matakwa yamshauriwa ndio uamzi wa kila kitu.
Sheria ya mwaka 96 iliyounda tiss haina tatizo kabisa.kuhusu kunyimwa uwezo wa ukamataji na uwajibishaji moja kwa moja.lengo hapa ni kugawa nguvu ya uwajibikaji na polisi.
If kweli wanachunguzwa,itakuwa ni kama wana nia mbaya na chama tawala,wapigwe zengwe nothing more.
toa ujinga wako hapa na wewe , peleka madhabahuni katika upelelezi mungu dhana isiyo na mantiki.not true, kabla ya mtu kulikuwa na mungu. Hakuna zaidi ya hapo. You need a superior being to exist in order for creation not be ex nihilo.
mkuu Yericko Nyerere naomba utofautishe kati ya upelelezi na ujasusi, yaani intelligence and investigation.
toa ujinga wako hapa na wewe , peleka madhabahuni katika upelelezi mungu dhana isiyo na mantiki.
Nje ya TISS na JWTZ (TMI) hao wengine huitwa intelijensia tu, ama domestication intelligence's
You are dumbtoa ujinga wako hapa na wewe , peleka madhabahuni katika upelelezi mungu dhana isiyo na mantiki.
Hehehehe,kwa hiyo hapa mkuu unataka kuniambia vijana 5 wote wananunuliwa na waziri na naibu wake!!!ama!
wanakuwa nae kwa misingi ya kufuatiria nyendo zake au ulinzi wake??if yes,kwanini kuna uozo unaodhihirika bungeni kutoka kwa wapinzani inamaaana wananunuliwa ili kufumbwa modomo!!!
If ni ulinzi kwanini wengine wanachapwa mpaka boxer hotelini??
Hivi mishahara yao inakuaje?
Inatoka serikalini?
Wana Ac za bank?
Na huwa wanakwenda vp ofisini ili watu wengine wasiwaone?
Vipi kuhusu bodi yao, huwa wanatimiziwa kilakitu kias cha kwamba hakuna malumbano wala migomo ndani ya taasisi yao?
Na je, huwa wanaongelewa bungeni? Au matatizo yao wanayatatua kimya kimya? Mfano upungufu wa vifaa vya mawasiliano?
Hao ni invisible, kazi yao ni kufuatilia nyendo za waziri tu,
Sheria ya TISS ya mwaka 96 ndio inayoruhusu uozo mwingi nchini. Sheria hii haimruhusu afisa usalama kuchukua hatua za kuzui jambo lolote hata kama ni la hatari. Sheria inamtaka afisa huyo kuzishauri mamlaka nyingine ili zichukue hatua, pia sheria hiyo haimlazimishi anayeshauriwa kutekeleza,yani hapo matakwa yamshauriwa ndio uamzi wa kila kitu.
Intellijensia ya nchi hii ni noma, hakuna ambapo hawapo, misikitini, makanisani, mitaani, wachoma chips, ma baa maid, hata wale wazee mafundi cherehani mbele ya maduka ya wahindi wengi wao wako ktk system. Hata baadhi ya masheikhe, mapadre, maaskofu, wachungaji nk. katika suala la upelelezi Tanzani ni kitu ingine
"Mshauriwa". . . . . . .anakuwa ni nani katika muktadha wa swali la msingi kwa mujibu wa kesi iliyochaguliwa na muulizaji kama mfano???!!!