Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
- #81
chakuLa cha ubongo
Karibu sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chakuLa cha ubongo
:confused2::A S-rap:
Tofauti yake nikuwa ujasusi hufanywa kwa siri bila unayemjasusi kujua,
Upelelezi waweza kufanywa kwa siri ama kumuita mhusika nakumweleza wazi kuwa wew ni mpelelezi, hivyo unataka kumhoji, hii ipo ndani ya jeshi la polisi nchini.
Dhana kuu inasimama palepale
Hapa tunaongea tukiwa katika falme mbili tofauti,
Wewe upo kwenye biblia tena iliyoletwa kwa jahazi,
Mimi nipo kwenye imani inayoamini ubinadamu tu katika uweza.
Kwamfumo wa nchi yetu TISS ipo china ya ofisi ya rais.
Kwa hiyo kaulimbiu ya chama chako ya"Tulianza na mungu na tutamaliza na mungu" ni ya kizushi na hao walioiasisi ni wapuuzi tu kwa kuwadanganya watu, eti? kwanini usiwapinge hao viongozi wanaopenda kuitumia maana haina ukweli kiuhalisia ndani yako.
Kwa hiyo huyo waziri au naibu unayedai ana tails tano akikabiliwa na "situation" inashauriwa ofisi ya Rais??!!!
Unapochukua dhima kuwa makini mkuu. . . . . . .
Well presented
Chadema sio idara ya ujasusi
nimekuja gundua mwalimu wangu wa primary alikua jasusi baada ya muda mrefu sana; system inafanya kazi wengi hatutambui.
nimekuja gundua mwalimu wangu wa primary alikua jasusi baada ya muda mrefu sana; system inafanya kazi wengi hatutambui.
Nani kasema kwamba ni idara ya ujasusi?
Real unaitwa Intelligent????
Mkuu huna sababu ya kunilaumu mimi kama huielewi dhana nzima ya ujasusi nchini na mamlaka ya rais kikatiba
Ulaumiwe we una jukumu gani ambalo hukulitekeleza. . . . . ???!!
1. Jibu tu maswali mkuu. . . . . Mshauriwa ni nani katika kesi uliyoulizwa kuhusu Naibu waziri yule wa Moro??!!
2. Kama ana watu watano wanamfuatilia na walinusa nyendo hatarishi. . . ana/ali shauriwa nani??!!
3. Pamoja na 1996 sheria unayoegemea/kuisingizia "limited to advice" je ikitokea "situation hatarishi na ad hoc" jasusi ataachia course of nature sababu anatakiwa ashauri au kuna loop ya corrective/abortive
intervention?????
4. Shughuli zote "overt and covert" zinaendeshwa kwa mujibu wa sheria hiyo??!!!
Kama kweli wapelelezi wapo Issue ya Escrow ingekuwa rahisi tu,watu walibeba pesa kwenye Lumbesa mbona mpKa leo haijulikani,Richmond kampuni fake lkn hawakujua,sasa wapelelezi wa bongo wana kazi gani.Bongo upelelezi naona ni sifuri tu.Intellijensia ya nchi hii ni noma, hakuna ambapo hawapo, misikitini, makanisani, mitaani, wachoma chips, ma baa maid, hata wale wazee mafundi cherehani mbele ya maduka ya wahindi wengi wao wako ktk system. Hata baadhi ya masheikhe, mapadre, maaskofu, wachungaji nk. katika suala la upelelezi Tanzani ni kitu ingine