Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

Don't you think that you need empirical facts than kuamini tu, inter-alia, you can not say God ni dhana dhaifu huku ukisema wewe Binadamu ni Mungu. You can't have both ways.

Hapa tunaongea tukiwa katika falme mbili tofauti,

Wewe upo kwenye biblia tena iliyoletwa kwa jahazi,

Mimi nipo kwenye imani inayoamini ubinadamu tu katika uweza.
 
Sio kweli kabisa, jifunze kuhusu, Ethiopian Eunuchs utagundua kuwa Biblia ilifika hata kabla ya Yesu kuzaliwa, hakuna kitu kama Jahazi kwenye Ukristo. Hivyo basi, huwezi kuepuka Mungu hata kama unakataa kuwa hayupo kama wale wapinga Mungu.
 
Kule Ethiopia dini ya magharibi iliwahi sana enzi za Utumwa wa Waisrael, kizazi cha Musa ndicho kilileta dini ile kutokea mto nile, Suez na sham,

Hivyo bado ni umagharibi tu,

Dini za afrika ni kulogana na ulozi tu.
 
Nope, you are once again wrong, in fact Ethiopia walisikia mapema na kupokea Imani mapema sana hata kabla ya Ulaya kutajwa. Fuata abstract utaelewa ninacho sema. Christianity was thriving in the Horn of Africa in the 1st century, before this religion had really taken root anywhere in Europe," she writes, adding "from as early as the Carolingian period – 7th to 8th century – African warriors were fighting in Europe under the banner of the lion, the shield and the half moon in order to bring the ‘true faith', Christianity or Islam, to Europe. Europeans at the time were in the majority heathen and did everything in their power to remain heathen.
 
Kabla ya mtu, kulikuwa na mtu, na baada ya mtu kuna mtu!

moja ya nukuu za kijasusi iliyo wahi kuniacha hoi ni ya "we can let you know our secret,then after we do that that we kill you,so what's is your choice?".hii niliwahi kuisikia ktk movie moja ya kijasusi nimeisahau jina.
 
Group nyingine ya double agent ni wale ambao unakuta kwamba yupo kwenye organization A lakini hapendi political ideology ya Organization A (Country/Party). Anapenda ile ya organization B (Country/Party). Huyu mtu ni rahisi kutoa information ya Organization A kwenda kwa B. Hawi driven na financial gain yeyote bali huongozwa na kile anachoamina ni good cause. Mfano wa hii ni wakati wa Cold War. Kuna baadhi ya majajusi wa KGB walikuwa wanaisaliti nchi yao sababu tu walikuwa wanauona mfumo wa kikomunisti kama haufai. Kuna mmoja alikuwa General simkumbuki jina ila baadaye alikuja kudakwa na kuuwawa na KGB. Huyu General ni mfano wa watu waliotoa info kwa sababu ya political ideology yao. Na aligundilikana sababu kuna Magent wa marekani (Wa google Robert Hansen na bwana Ames) ambao nao walisaliti nchi yao ila kwa sababu za kifedha ndo walitoa information zake. Lakini KGB hawakuwahi kpata ushahidi wa moja kwa moja wa nku mlink. Ila mwisho wa siku walimu execute. Hansen na Ames wanafikiliwa kwamba ni traitors walioihujumu nchi yao kwa kiasi kikubwa ambacho hakijawahi kutokea katika historia. Marekani pekee ndo inaweza ina mfumo wa kutoua traitors. Mara nyingi huwa funga. Nchi zingine duniani zikiwemo Tanzania. Iwapo utakamatwa kama double agent wewe ni kifoo tuuu
 
Kila waziri na naibu waziri nchini, hufuatiliwa na majasusi wasiozidi watano kwa mda wa masaa 24,
Hehehehe,kwa hiyo hapa mkuu unataka kuniambia vijana 5 wote wananunuliwa na waziri na naibu wake!!!ama!

wanakuwa nae kwa misingi ya kufuatiria nyendo zake au ulinzi wake??if yes,kwanini kuna uozo unaodhihirika bungeni kutoka kwa wapinzani inamaaana wananunuliwa ili kufumbwa modomo!!!

If ni ulinzi kwanini wengine wanachapwa mpaka boxer hotelini??
 
wee jamaa mbaya kweli kwa kuniibia swali langu:becky:,
umemuuliza jambo ambalo nilikuwa ktk harakati za kumuuliza.ila poa tu usijali mkuu.pamoja na hivyo,namuomba Yericko Nyerere atuambie,kama "Kila waziri na naibu waziri nchini, hufuatiliwa na majasusi wasiozidi watano kwa mda wa masaa 24",mda wa hao mawaziri/naibu waziri kupiga 10% ktk mikataba inayohusu maslahi ya umma,wanaupata wapi?.
 
Group nyingine ya double agent ni wale ambao unakuta kwamba yupo kwenye organization A lakini hapendi political ideology ya Organization A (Country/Party). Anapenda ile ya organization B (Country/Party). Huyu mtu ni rahisi kutoa information ya Organization A kwenda kwa B. Hawi driven na financial gain yeyote bali huongozwa na kile anachoamina ni good cause. Mfano wa hii ni wakati wa Cold War. Kuna baadhi ya majajusi wa KGB walikuwa wanaisaliti nchi yao sababu tu walikuwa wanauona mfumo wa kikomunisti kama haufai. Kuna mmoja alikuwa General simkumbuki jina ila baadaye alikuja kudakwa na kuuwawa na KGB. Huyu General ni mfano wa watu waliotoa info kwa sababu ya political ideology yao. Na aligundilikana sababu kuna Magent wa marekani (Wa google Robert Hansen na bwana Ames) ambao nao walisaliti nchi yao ila kwa sababu za kifedha ndo walitoa information zake. Lakini KGB hawakuwahi kpata ushahidi wa moja kwa moja wa nku mlink. Ila mwisho wa siku walimu execute. Hansen na Ames wanafikiliwa kwamba ni traitors walioihujumu nchi yao kwa kiasi kikubwa ambacho hakijawahi kutokea katika historia. Marekani pekee ndo inaweza ina mfumo wa kutoua traitors. Mara nyingi huwa funga. Nchi zingine duniani zikiwemo Tanzania. Iwapo utakamatwa kama double agent wewe ni kifoo tuuu

"you're now working for us;the CIA.you're under our surveillance 24/7,we hear everything you say,watch anything you do and follow you anywhere you go".
nukuu toka ktk series ya homeland.
 
wee jamaa mbaya kweli kwa kuniibia swali langu:becky:,
umemuuliza jambo ambalo nilikuwa ktk harakati za kumuuliza.ila poa tu usijali mkuu.pamoja na hivyo,namuomba Yericko Nyerere atuambie,kama "Kila waziri na naibu waziri nchini, hufuatiliwa na majasusi wasiozidi watano kwa mda wa masaa 24",mda wa hao mawaziri/naibu waziri kupiga 10% ktk mikataba inayohusu maslahi ya umma,wanaupata wapi?.
hajasema wanafuatiliwaje? Kufuatliwa kwa kufuatwa nyuma au mawasiliano yao kusikilizwa au nin? Huyu jamaa controversial kweli:becky:
 
Intellijensia ya nchi hii ni noma, hakuna ambapo hawapo, misikitini, makanisani, mitaani, wachoma chips, ma baa maid, hata wale wazee mafundi cherehani mbele ya maduka ya wahindi wengi wao wako ktk system. Hata baadhi ya masheikhe, mapadre, maaskofu, wachungaji nk. katika suala la upelelezi Tanzani ni kitu ingine

Wacha Bhana Duh!
 
Bandiko refu, halina kichwa wala miguu.

Wewe umesahau ulivyotudanganya hapa kuwa Mwinyi na Karume wapo Mwitongo?

Mpaka mtoto wa ukweli wa Nyerere akasema ukienda watakuwekea kamba. Unajuwa alimaanisha nini?

Jibu: Wewe ni muongo na Mhehe ukigundulika kuwa muongo inabidi ujitundike ujiuwe.

Punguani wahed.
 
Back
Top Bottom