Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yericko Nyerere mada kama hizi kuna mtu mmoja humu anaitwa de'levis huyu bwana huwa anachangia vitu vya ndani sana kuhusu mambo ya intelligence...kuna thread moja inasema https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/653467-are-spies-made-or-born.html....huyu bwana ameeleza vitu vingi juu ya aina ya mtu anayetakiwa na mambo mengine lukuki...na pia michango yake mbali mbali.....umewahi kumsoma huyu jamaa?..
Hivi Hao wanaojiunga na usalama wa taifa ni lazima wawe wamepitia jeshini?
Isiyofahamika inayopendwa. . . . . Inayowapenda hawaipendi wanayoipenda haiwapendi. . . .
Kabla ya mtu, kulikuwa na mtu, na baada ya mtu kuna mtu!
:becky:.Ila we jamaa burudani sana mambo yako
Ila we jamaa burudani sana mambo yako
yeriko topic zako ni nzuri sana.irudie ile inayohusiana na ikulu ya magogoni
Ile ipo hapa mkuu, unaweza kuitafuta hapahapa.
Hii nimeileta hapa kwakuwa sijawahi kuiweka hapa, april 20II niliipost kwenye ukurasa wangu wa facebook tu.
sawa mkuu
Mkuu makala zako mara nyingi hunivutia mno, je kuna wapelelezi mpaka sehemu za ibada? Mfano sheikh, ustaadh au padre au askofu naam mchungaji anaweza akawa mpelelezi?
Maccm yatakuja apa kuchafua hali ya hew
Not true, kabla ya Mtu kulikuwa na Mungu. Hakuna zaidi ya hapo. You need a superior being to exist in order for creation not be ex nihilo.Kabla ya mtu, kulikuwa na mtu, na baada ya mtu kuna mtu!
Not true, kabla ya Mtu kulikuwa na Mungu. Hakuna zaidi ya hapo. You need a superior being to exist in order for creation not be ex nihilo.
Don't you think that you need empirical facts than kuamini tu, inter-alia, you can not say God ni dhana dhaifu huku ukisema wewe Binadamu ni Mungu. You can't have both ways.Katika nadharia ya kijasusi Mungu ni dhana mufu,
Kiusalama twaamini hivi:
Binadamu ni Mungu na Muumba tu