Ujasusi / Upelelezi / Udukuzi: Maana yake halisi na uhatari wake

vijiwe vya kahawa vnakuharibu mkuu. jiulz t y rwnda ka nch kadg kalitucheza mchezo mchafu, idar y usalam tz n dhaif xna
 
walmu wangap kagera walipoteza kaz coz hawkuwa watz kwny operatn tokomeza ? je unadhn wte walikuw n wlm tu? kna ka uzmbe
 
Zamaaani kuna ''jambazi'' alipigwa risasi moshi mkoani kilimanjaro
akifananishwa na ''mkuu'' wa mambo kama hayo.
 
Hivi hao jamaa wapo hadi mashuleni? Na unawezaje kuwatambua ?

Ni vigumu mtu wa kawaida kuweza kuwatambua majasusi kwakuwaangalia, mpaka nawe uwe jasusi ndipo utamtambua jasusi kwa lugha ya mwili
 
Zamaaani kuna ''jambazi'' alipigwa risasi moshi mkoani kilimanjaro
akifananishwa na ''mkuu'' wa mambo kama hayo.

Kwa jasusi kuuawa ni jambo la karibu 75% katika kipenyo cha utumishi wake, kwakuwa huwinda na kuwindwa.
 
Ni vigumu mtu wa kawaida kuweza kuwatambua majasusi kwakuwaangalia, mpaka nawe uwe jasusi ndipo utamtambua jasusi kwa lugha ya mwili

Na mpelelezi?
Maana utasikia huyo mpelelezi mara usalama wa Ukraine taifa bila yeye kusema, wengine Kwa sababu yuko serious what is the exactly identif ied?
 
Na mpelelezi?
Maana utasikia huyo mpelelezi mara usalama wa Ukraine taifa bila yeye kusema, wengine Kwa sababu yuko serious what is the exactly identif ied?

Mpelelezi huwa katika sura mbili, moja hufanya kazi wazi, yani anaweza kukuita wewe nakuchukua maelezo yako kwakukuhoji anakwaana ili akamilishe upelelezi wake,

Sura ya pili mpelelezi hufanya kazi kwa siri, hutafuta taarifa kwa siri kubwa.

Mara nyingi hawa wapo ndani ya jeshi la polisi kwa Tanzania
 
Na la pili maana kuna maswali mawili katika moja
 
nimesoma nimeelewa ila nitaendelea baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…