kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa.
Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh pempereree kibao kwa kudai ananitania.
Leo nikaamua ninunue kipimo nimpelekee apime kwa sababu anadai hajaona siku zake leo siku ya 3. Baada ya kupima kitu ikatiki, majibu yanaonesha ni mjamzito kweli.
Sasa waungwana naomba mnisaidie, ni kweli kwa siku hizo mimba inaweza kuonekana, na najiuliza kwa nini alianza ku doubt kabla ya vipimo...?
Ushauri wako muhimu