Corosive
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 1,460
- 2,908
Update,,,Ila maisha bhaNA,wangu nlisex nae week 2 zilizopita,huwa ana bleed tarehe 20-25,hadi leo hajapata bleed ameenda kupima ameambiwa hana mimba na nikicheki zimepitiliza siku 3,jamaa wa mahabara amemwambia usijali huna mimba,sasa kwa wataalaam iv inaweza kutokea bleed ikachelewa siku 3 kweli
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Jana alienda kupima malaria na uti,,majibu yalikuja kua na uti,but mimba hakuna ila leo asbh mate yalikua yanamjaa mdomoni sana,nikamuambia huenda n dawa za UTI ndo zinampelekesha,ila bleed bado tunaisikilizia.siku ya nne leo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app