Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

kuwa Makini.
Mimi nimelea mimba bandia mpaka mtoto bandia anazaliwa.nimekuja kujua juzi Tu kuwa huyo MWANAMKE Hana mtoto alikuwa ananitapeli.ila nashukuru mungu nimejitoa kwenye mtego.
Jina lako linasadifu kilichokutokea. Anyway, acha tutarajie yasiyo tarajiwa!

Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
 
Basi kuna watu wanapigwa mimba.sio zao na watoto wanazaliwa na wanawalea.
Bora Mimi mimba yenyewe ulikuwa bandia.
Nimelea mtoto bandia kuazia tarehe 15 mwezi wa 5 mwaka 2020.mpaka juzi hapo ndo nimejua.
Mimi nipo dar MWANAMKE alikuwa Zanzibar.
Haya Mambo hayana ujanja yeyote anaweza akapigwa.
Usije ukashangaa Baba aliyekulea sio Baba yako.nfo maana nimekuuliza Hilo swali.
As long as hana mashaka na niko comfortable, maisha yanaendelea.

Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
 
Basi kuna watu wanapigwa mimba.sio zao na watoto wanazaliwa na wanawalea.
Bora Mimi mimba yenyewe ulikuwa bandia.
Nimelea mtoto bandia kuazia tarehe 15 mwezi wa 5 mwaka 2020.mpaka juzi hapo ndo nimejua.
Mimi nipo dar MWANAMKE alikuwa Zanzibar.
Haya Mambo hayana ujanja yeyote anaweza akapigwa.
Usije ukashangaa Baba aliyekulea sio Baba yako.nfo maana nimekuuliza Hilo swali.
Ndio maana nikakujibu, kwakuwa hana mashaka and we are good maisha yanaendelea. Kufukua mengine ni kujichimbia kaburi ungali hai!

Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
 
Ila maisha bhaNA,wangu nlisex nae week 2 zilizopita,huwa ana bleed tarehe 20-25,hadi leo hajapata bleed ameenda kupima ameambiwa hana mimba na nikicheki zimepitiliza siku 3,jamaa wa mahabara amemwambia usijali huna mimba,sasa kwa wataalaam iv inaweza kutokea bleed ikachelewa siku 3 kweli

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hongera baba kijacho
 
Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa.

Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh pempereree kibao kwa kudai ananitania.

Leo nikaamua ninunue kipimo nimpelekee apime kwa sababu anadai hajaona siku zake leo siku ya 3. Baada ya kupima kitu ikatiki, majibu yanaonesha ni mjamzito kweli.

Sasa waungwana naomba mnisaidie, ni kweli kwa siku hizo mimba inaweza kuonekana, na najiuliza kwa nini alianza ku doubt kabla ya vipimo...?

Ushauri wako muhimu

Ni sahihi, Siku kumi baada ya tendo kinasoma vizuri, Anzeni kwenda clinic. Na hongereni sana
 
Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa.

Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh pempereree kibao kwa kudai ananitania.

Leo nikaamua ninunue kipimo nimpelekee apime kwa sababu anadai hajaona siku zake leo siku ya 3. Baada ya kupima kitu ikatiki, majibu yanaonesha ni mjamzito kweli.

Sasa waungwana naomba mnisaidie, ni kweli kwa siku hizo mimba inaweza kuonekana, na najiuliza kwa nini alianza ku doubt kabla ya vipimo...?

Ushauri wako muhimu

Muombe kalenda yake kwanza. Mzunguko wake ni wa siku ngapi? Na hedhi yake ya mwisho ilianza tarehe ngapi? Wewe ulishiriki naye tendo lini? Exact dates tafadhali.

Ukishapata hizo taarifa njoo tukusaidie kwa uhakika zaidi. Hakuna kubambikiwa mimba.
 
Back
Top Bottom