Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

Siku yake ya hedhi mara ya mwisho lini(siku ya kwanza) na alikuwa anategemea apate siku zake lini?Ana mzunguko wa hedhi wa siku ngapi(cyclus)?
Samahani naomba nikuulize, Hivi kunauwezekana ukasex na msicha siku za harari yaani siku za kupata mimba na asipare mimba, harafu majibu ukaambiwa kiwa, katika uke kuna chemical ambazo huua mbegu, naomba ufafanuzi katika hili pleas
 
Yes unaweza kabisa sio wakati wote yai au mbegu ina rotuba ya kutosha ya kutengeneza ujauzito!Ndio maana kuna watu wanajaribu miezi hata miaka kukutana kimwili siku za hatari na hawabebi ujauzito.

Wakati mwengine anaweza kupata CHEMICAL PREGNANCY yaani ujauzito ambao unaharibika na kuwa hedhi akipata hedhi kwasababu mimba haikuwa viable au ujauzito ungekuwa na mapungufu.Ni njia ya kimwili kueliminiate mimba ambazo zina hitilafu.

Kama umekutana na mtu kwenye siku za hatari anaweza kula AFTER PILL zipo zinazofanya kazi na kuzuia ujauzito usitunge mpaka siku 5 baada ya kukutana kimwili na mtu!Zina badilisha unyevunyevu wa mwanamke ukeni na kufanya mbegu isiweze kuogelea ipasavyo kulifikia yai.Kumbuka ili mwanamke kupata ujauzito kuna secretion anaipata kwenye siku zake za hatari zinakuwa na consistency kama ya ute wa yai ambazo zinasaidia kusafirisha mbegu ya mwanaume.

NB:Hakuna chemical katika uke zinazouwa mbegu,mbegu ya mwanaume inaweza kuishi kwenye kizazi cha mwanamke mpaka siku 5.
 
kuwa Makini.
Mimi nimelea mimba bandia mpaka mtoto bandia anazaliwa.nimekuja kujua juzi Tu kuwa huyo MWANAMKE Hana mtoto alikuwa ananitapeli.ila nashukuru mungu nimejitoa kwenye mtego.
 
Ndio anamimba. Kwani sperms hukaa kweny yai kwa siku tano, huenda effect za utungaji mimba kuanza kutokea ndan y hiz siko. Ndo maana ki afya P2 utakiw kumezw ndani y masaa 48 baada y tendo. Kipimo ch upt[ urine pregnant test] kinaonesha reaction ya antibody na antigen kweny mkojo kuwa mwili umepatw n kitu kisich ch kawaid ndo maana ikawa positive.[ ikaonyesha mistal 2 ].

Ingeosha negative [mstar 1] bas kweny haja ndog hamna chochot yaan reaction yoyot y mimba kutungw. Kam ungewek sample y mkoj kweny kifaa alaf MSTAR WWOTE USITOKEE bas kifaa kingekua kina taitizo [ ERRoR] KWA HIYO TEGEMEA BINTI ANAUJAUZITO au kam umepim sehem nyingin ukambiw maibu negative
 
Kipimo cha ujauzito kinapima HCG-hormone(Human chorionic gonadotropin)
!Ni hormone ambayo inatengenezwa ujauzito ukitunga!
 
๐’๐š๐ฐ๐š, ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐ฉ ๐ค๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ก๐ข๐ข ๐๐ก๐š๐ง๐š ๐ค๐ฐ๐š๐ฆ๐›๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ง๐ฒ๐จ๐ญ๐ž ๐ฆ๐ญ๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐ ๐ซ๐จ๐ฎ๐ฉ 0 ๐ฅ๐š ๐๐š๐ฆ๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š๐ฆ๐›๐š ๐ค๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ฆ๐›๐š ๐ข๐ญ๐š๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ง๐ข๐ฏ๐ข๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ง๐ข๐ฅ๐š๐ค๐ฐ๐ž๐ฅ๐ข
 
Sio group O bali kama mama ni RhD negative group na mtoto amerithi RhD-positive blood group kutoka kwa baba inaweza kusababisha matatizo kwenye ujauzito!
 
Sio group O bali kama mama ni RhD negative group na mtoto amerithi RhD-positive blood group kutoka kwa baba inaweza kusababisha matatizo kwenye ujauzito!
Dr. naomba kufahamishwa siku za hatari kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 25/26

Na je mtu akisex siku mbili au tatu kabla ya ovulation kuna uwezekano kwa kupata mimba.?
 
Ujauzito unaanza kuonekana baada ya wiki 2. Tena mistari inakuwa imefifia (Weak Positive). Hapo kwa kukolea kwa hiyo mistari ni wazi umebambikiwa huo ujauzito.
 
Sio group O bali kama mama ni RhD negative group na mtoto amerithi RhD-positive blood group kutoka kwa baba inaweza kusababisha matatizo kwenye ujauzito!
๐๐š๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ
 
Dr. naomba kufahamishwa siku za hatari kwa mtu mwenye mzunguko wa siku 25/26

Na je mtu akisex siku mbili au tatu kabla ya ovulation kuna uwezekano kwa kupata mimba.?
Ndio anaweza kupata mimba akisex siku 2-3 kabla ovulation kwasababu mbegu ya mwanaume inaishi siku 5!

Siku ya hatari inakuwa katikati ya cyclus mfano kama ana mzunguko wa siku 26 siku ya 13 tangia alipoanza kupata hedhi ndio siku ya hatari,plus 3 days before and 3 days after!
 
ndio . mimba itatungwa. Ila mwanamke atapat matatiz kwan kam n group O na mtot tumbon akaw Nagroup O . Huw anpat matatiz kimwil [ all body system] hasa kam mam ana na mtot wanaendan wot ni O+ au negativ O- . Kun sindan z immune wag mama inabdi achomwe ili awe sawa . Kumueuxh na complication z ujauzito. Sindan izo wana z immune wan order kenya, nairobi . Sijui sahv kam kwetu zimefika ila ata kam zikiwepo zitakuw kweny hospital kubw nazungmzia bugand, mwimbil na nk. Hvyo mwanamke akipat ujauzito inashauliw ajue group l damu ili kuepusha hali hii kama akwepo kweny kituo ch afya au kijijin awe amesh pelekw kweny hospital kubw kwa ungaliz mkubw n madaktar
 
kifupi dam ya mama na mtoto uwa zina kinzana . Hivy inabidi mam achomw sindan y immune ili damu ziwe sawa
 
Asante Madam,

hapo juu uligusia kuwa After pill zinakwamisha mbegu ya kiume kusafiri vilivyo kuelekea kwenye yai, je ni kwa ajili ya mwezi husika pekee.? Haziwezi kuathiri mzunguko ujao?
 
Asante Madam,

hapo juu uligusia kuwa After pill zinakwamisha mbegu ya kiume kusafiri vilivyo kuelekea kwenye yai, je ni kwa ajili ya mwezi husika pekee.? Haziwezi kuathiri mzunguko ujao?
Zinaweza kuchelewesha siku za mwezi ujao kwasababu ni hormone inayozuia ovulation....
 
Daaah Mzee baba umepigwa sijui ila kuna watu ndani ya wiki tu huwa wanaanza kuona mabafiliko hasa kwenye matiti yao
 
Zinaweza kuchelewesha siku za mwezi ujao kwasababu ni hormone inayozuia ovulation....
Mkuu, mwanamke anawezaje kujua mzunguko wake kwa uhakika kuwa 26,27 au 28? Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ