Jina lako linasadifu kilichokutokea. Anyway, acha tutarajie yasiyo tarajiwa!kuwa Makini.
Mimi nimelea mimba bandia mpaka mtoto bandia anazaliwa.nimekuja kujua juzi Tu kuwa huyo MWANAMKE Hana mtoto alikuwa ananitapeli.ila nashukuru mungu nimejitoa kwenye mtego.
Jina lako linasadifu kilichokutokea. Anyway, acha tutarajie yasiyo tarajiwa!
Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
As long as hana mashaka na niko comfortable, maisha yanaendelea.[emoji16][emoji16][emoji16].ushawahi kupima DNA na Baba yako?.
As long as hana mashaka na niko comfortable, maisha yanaendelea.
Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
Ndio maana nikakujibu, kwakuwa hana mashaka and we are good maisha yanaendelea. Kufukua mengine ni kujichimbia kaburi ungali hai!Basi kuna watu wanapigwa mimba.sio zao na watoto wanazaliwa na wanawalea.
Bora Mimi mimba yenyewe ulikuwa bandia.
Nimelea mtoto bandia kuazia tarehe 15 mwezi wa 5 mwaka 2020.mpaka juzi hapo ndo nimejua.
Mimi nipo dar MWANAMKE alikuwa Zanzibar.
Haya Mambo hayana ujanja yeyote anaweza akapigwa.
Usije ukashangaa Baba aliyekulea sio Baba yako.nfo maana nimekuuliza Hilo swali.
[emoji120]Zinaweza kuchelewesha siku za mwezi ujao kwasababu ni hormone inayozuia ovulation....
Asante mkuu..Anatakiwa ahesabu kuanzia anapopata siku mwezi huu mpaka ujao...kuanzia siku ya kwanza ya hedhi.
Na kama mzunguko unabadilika anatakiwa achukue average ya mizunguko ya miezi 3!
Ultrasound itakwambia ukweli.. ila naona ni live umepigwaHata hivyo naomba msaada, nifanye nini nigundue ukweli
Tuhurumie jaman .Na tutawapakazia mpaka mjute, si huwa mnakataa watoto wenu
Hongera baba kijachoIla maisha bhaNA,wangu nlisex nae week 2 zilizopita,huwa ana bleed tarehe 20-25,hadi leo hajapata bleed ameenda kupima ameambiwa hana mimba na nikicheki zimepitiliza siku 3,jamaa wa mahabara amemwambia usijali huna mimba,sasa kwa wataalaam iv inaweza kutokea bleed ikachelewa siku 3 kweli
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Ni sahihi, Siku kumi baada ya tendo kinasoma vizuri, Anzeni kwenda clinic. Na hongereni sanaHabarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa.
Jaman naombeni msaada wenu, wajuzi wa mambo ipo hivi kama tarehe 11/04/21 nilikutana na huyu binti(kimapenzi) lakini kama mnamo tarehe kuanzia 20 hivi mwezi huu huu wa nne akaanza masihara kudai ana ujauzito mara baba kija mara ooohh pempereree kibao kwa kudai ananitania.
Leo nikaamua ninunue kipimo nimpelekee apime kwa sababu anadai hajaona siku zake leo siku ya 3. Baada ya kupima kitu ikatiki, majibu yanaonesha ni mjamzito kweli.
Sasa waungwana naomba mnisaidie, ni kweli kwa siku hizo mimba inaweza kuonekana, na najiuliza kwa nini alianza ku doubt kabla ya vipimo...?
Ushauri wako muhimu
Usiseme ivo maana amesema kipimo kimesema hakuna mimba,sasa sielew lkn cku ya 3 hajaziona siku zetuHongera baba kijacho
Siku zenu [emoji23][emoji23][emoji23] Jiandae tu bossUsiseme ivo maana amesema kipimo kimesema hakuna mimba,sasa sielew lkn cku ya 3 hajaziona siku zetu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sielew kwa kweliSiku zenu [emoji23][emoji23][emoji23] Jiandae tu boss
Siku zenu[emoji3].Usiseme ivo maana amesema kipimo kimesema hakuna mimba,sasa sielew lkn cku ya 3 hajaziona siku zetu
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Habarini wanajamvi wa MMU.Natumai mu wazima wa afya kabisa.