Ujauzito huonekana kwenye kipimo (UPT) baada ya siku ngapi?

Update,,,

Jana alienda kupima malaria na uti,,majibu yalikuja kua na uti,but mimba hakuna ila leo asbh mate yalikua yanamjaa mdomoni sana,nikamuambia huenda n dawa za UTI ndo zinampelekesha,ila bleed bado tunaisikilizia.siku ya nne leo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mimba ya KUBAMBIKA hiyo, wewe kijana wa hovyo sana.
 
Jamani naombeni kuuliza , hivi unaweza kushika mimba ukiwa umetoka kuharibu mimba tena bila wewe mwenyew kujua kma umeharibu mimba?

Na pia je unaweza fanya ultrasound mimba ya week moja na sku kadhaa isionekane?

Na je unaweza ukawa na mimba week na siku kadhaa isionekane kwenye upt?
 
Mimba ikiharibika( misscariage)lazima dalili zionekane na dalili kubwa ni kutokwa na damu ukeni( hii damu ni nyingi kuliko ile inayotoka mwanamke akiwa period) hivyo lazima utajua kwamba ulikuwa na mimba ikaharibika

Huwa mimba kwenye upt inaweza kuonekana baada ya siku 14 na kuendelea baada ya tendo! Ila kwa majibu ya uhakika zaidi subiri hadi mwanamke atakapokosa siku zake za hedhi.
 
Hiyo tar 11/4 mi nlkuwa kanisani natubu madhambi kumbe kuna jitu lilikuwa linazini[emoji17][emoji51]
 
kwanza kushika mimba wakati mimba nyingine iliharibika au kutoa inawezekana kabisaa asilimia 99.. UPT inaona uja uzito kuanzia siku 10 japo kimstari kitakua kwa mbalii ila kuanzia week mbili hapo UPT inakua very clear.. ULTRASOUND inaona uja uzito wa kuanzia week 6 hapo ndo utaona ujauzito japo kwa week 4 au less utaona kile kizygote kwa mbali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…