Ujauzito wa Rihanna; Kila siku yupo barabarani

Ujauzito wa Rihanna; Kila siku yupo barabarani

Pata na wewe mimba izurulishe.

Ningekuwa mwanamke mfano kipindi cha ujauzito,hakika nisingekuwa natoka hata nje. Yaani kila mmoja ajue “ume*o*mb*a“. “umek*j**ewa sh**awa
 
Me ananipa kinyaa kuonyesha tumbo muda wote nje nje sijui maadili ya wapi utadhani sio binti wa kiafrika.... Msyuuuuuuuu pumbavu
 
Rihanna Kwa sasa ana umri wa miaka 34, baada ya kufanya kazi ya kutafuta pesa Kwa bidii na kwa muda mrefu mpaka kufikia kuwa bilionea, nadhani sasa amejiandaa kulea

Rihanna amechagua wa kuzaa nae, amechagua muda wa kuzaa, na anaenjoy Mimba yake,yote afanyayo Kwa sasa ni Kwa sababu anafurahia kuja kuitwa Mama

Turudi kwetu, wadada wengi wanapata mimba wakiwa hawana mbele wala nyuma,wanazaa na watu wasio chaguo Lao,wanapata mimba wakiwa ktk umri mdogo, hivo ni ngumu kukuta mdada anafurahia Mimba yake zaidi ya malalamiko Tu

Ukikuta mtu amepata Mimba ktk wakati sahihi na mtu sahihi lazima utamuona Tu vile anaenjoy kuwa na Mimba, tofauti ni kwamba hawezi kutembea tumbo wazi km Rihanna kutokana na mila zetu ila ukimuona tu unajua huyu anaenjoy, kwahiyo Mleta mada we achana nae tu huyo kwani anafanya kwa Raha zake
Jaribu uone balaa lake we hauoni dada zako wanavyohangaika na mahusiano na maisha. Ukileta uzungu afrika imekula kwako
 
Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana.

Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti.

Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 🤔

Kwa kweli nimechoka kila siku kumuona yeye tu na ajifungue apumzike na sisi pia tupumzike.

Kila siku kitumbo jujuu kama yeye ndo wa kwanza kupata mimba hapa duniani... ✍️View attachment 2175940View attachment 2175941View attachment 2175942View attachment 2175943
AFu anazurula kitumbo wazi🤔
 
mahusiano ya Rihanna ndio yame conclude utafiti niliofanya kwa muda mrefu kuwa wanawake wanapenda 'bad boys' na hawapendi 'good guys'
 
eheeee kumbe hizi make up ni nouma kweli kweli, yaani rihana amekuwa kituko baada ya kutopakwa make up, juzi kati niliona picha yake mmoja na kitumbo tumbo chake nikashindwa kumto- fautisha kabisa na ajuzaa
 
Hivi mbona hana mstari mweusi tumboni? Mbona mwenzetu hajavimba pua?
Screenshot_20220407-095402~2.png
 
eheeee kumbe hizi make up ni nouma kweli kweli, yaani rihana amekuwa kituko baada ya kutopakwa make up, juzi kati niliona picha yake mmoja na kitumbo tumbo chake nikashindwa kumto- fautisha kabisa na ajuzaa
Rihanna mzuri hata bila ya make up
 
Back
Top Bottom