Ujauzito wa Rihanna; Kila siku yupo barabarani

Pata na wewe mimba izurulishe.

Ningekuwa mwanamke mfano kipindi cha ujauzito,hakika nisingekuwa natoka hata nje. Yaani kila mmoja ajue “ume*o*mb*a“. “umek*j**ewa sh**awa
Kwani kuna ajabu gani ku sex? Ku sex ni kitu cha kawaida kama kwenda chooni tu
 
Mambo yake mauchie mwenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Uzuri wa Marekani hiyo mimba na kuzurula kwake inamuingizia pesa mingi sana ambayo ukoo wenu wote mkistaafu pensheni zenu hazifiki pesa ya mimba ya Rihana.....punguza libido!!
 
Jibu zuri.
 
mahusiano ya Rihanna ndio yame conclude utafiti niliofanya kwa muda mrefu kuwa wanawake wanapenda 'bad boys' na hawapendi 'good guys'
Kwa kipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri wa Marekani hiyo mimba na kuzurula kwake inamuingizia pesa mingi sana ambayo ukoo wenu wote mkistaafu pensheni zenu hazifiki pesa ya mimba ya Rihana.....punguza libido!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nasubir ajifungue nimpelekee zawadi za mtoto, nampenda mnoo shost angu. [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Muacheni azurule jamani [emoji23]. Mimba ni jambo la kheri..
 
Duniani ipo hivi 'Beauty is in the eye of the beholder' na ndiyo maana watu kama Jay z, Chrisbrown etc walimpiga chini, yaani hawakulizika na uzuri wake......
Chris brown hakumpiga chini, acha uongo wako wee, wale waliachanishwa na Beyonce na yule Opra Winfrey, kupitia kile kipigo, but breezy anampenda Riri had kesho.

Kuhus Jay z Riri aliamua kumuacha coz n mchepuko na sio main chick lol.
 
Hii mimba ameipigia picha nying sana
 
Chris brown hakumpiga chini, acha uongo wako wee, wale waliachanishwa na Beyonce na yule Opra Winfrey, kupitia kile kipigo, but breezy anampenda Riri had kesho.

Kuhus Jay z Riri aliamua kumuacha coz n mchepuko na sio main chick lol.
sasa 'kipigo' cha vile adi kwenda kuripoti kweli si ilikuwa ni sababu na 'mpango -kazi' wa kumwaga tuu au unadhani yalikuwa ni 'mahaba' yale…...
 
Na bado kwa akili hii utajishangaa kwa nini wewe ni maskini?

Mindset ndio mchawi wako.
Imagine....wabongo hovyo sana...mwenzao na kuzurura kwake ni bilionea hapo[emoji1787]
 
Duniani ipo hivi 'Beauty is in the eye of the beholder' na ndiyo maana watu kama Jay z, Chrisbrown etc walimpiga chini, yaani hawakulizika na uzuri wake......
Si kweli
 
Azurure yeye kwa pesa yake uchoke wewe uliyoko Kisamvule??

Na kama umechoka si uache kumfuatilia.

Huna akili wewe
Angejua kuwa Rihanna huo ujauzito anavyotembea vile anaingiza pesa kupitia makampuni ya matangazo na kuandikwa mitandaoni😆😆😆
 
sasa 'kipigo' cha vile adi kwenda kuripoti kweli si ilikuwa ni sababu na 'mpango -kazi' wa kumwaga tuu au unadhani yalikuwa ni 'mahaba' yale…...
Iltokeaa ktk makasiriko ndani ya mahusiano, mbna baadae breezy aliomba sanaa msamaha kwa riri ila ndo hivyo bey na opra wakaweka kizuizi.

Ila breezy anampenda na kumkubali riri had kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…